Ni kawaida watu waliovamia maeneo ya watu hujidhatiti kwa kila hali ili waonekane wana haiki ..hii vita kama ya hamasi ni kama imetibua kila kitu kwa IsraeliUkisoma historia ya mwisho wa dunia hii vita naona sio poa kabisa. Kuna kilala dalili ya yule kiumbe anakuja kutaka kufanya yake.
Hongera sana kwa kuwa na kumbukumbu nzuri mkuu.Empty threats walitishia kuingia vitani iwapo israel itavamia gaza lakini mbona hawakuingia na gaza imechapwa
Iran wameamua kuwa wakristo hadi waseme ukweli? This is kawaida yao... tujuavyo yupo vitani tokea October 7 sasa vitisho vya nini wakati tayari wapo vitani... wanawachuuza waarabu wanajua ni wajinga sakizio sakiza tu
Unadhani nani ni baba mlezi wa hivyo vikundi kama sio Iran!?Kwanini hawasemi wao watakwenda?!
Toka lini mkristo akawa mkweli!??Iran wameamua kuwa wakristo hadi waseme ukweli? This is kawaida yao... tujuavyo yupo vitani tokea October 7 sasa vitisho vya nini wakati tayari wapo vitani... wanawachuuza waarabu wanajua ni wajinga sakizio sakiza tu
Iran ni MUAJEMI sio MUARABU.Mwarabu sio wa kumdhamini utajikuta peke yako. MWARABU anashika nafasi ya pili kwa Unafiki. Namba moja inakamatwa na Mzee Baba MTU MWEUSI.
Toka mwaka jana Oktoba mlisema vivyo hivyo na kikowapi!?Hao hizbollah kutwa kuanzisha uchokozi wasubiri dawwa iwaingie na hao mahujaji wanao taka kushiriki iyo karamu wata enda kutanishwa na mtangulizi wao bwana Raisi
Wanakumbi.
MPYA:
๐ฎ๐ท๐ฎ๐ฑ Iran katika Umoja wa Mataifa:
"Iwapo Israel itaivamia Lebanon, mashirika yote ya Kiislamu ya Mashariki ya Kati yatakwenda Lebanon na kujiunga na Hezbollah"
Iran imesema katika Umoja wa Mataifa kwamba iwapo Israel itaanzisha vita vikali dhidi ya Hizbullah nchini Lebanon, basi chaguzi zote zitakuwa mezani ikiwa ni pamoja na kuhusika kwa pande zote katika mhimili wa muqawama.
View: https://x.com/megatron_ron/status/1807016405834912086?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Mkuu kipindi wewe unasema hivyo huko Lebanon wanapishana viongozi wa US kutuliza hali isiwe mbaya.Iran amebaki anabwekabweka kama mbwa koko, ametutia aibu sana muajemi huyu. Hamuoni nduguye Kim anachokifanya
Moto mnao tembezewa daily uko Rafah hauoni au ndo ushazoea kwa kua mzee upo jehanamu kwa sasa!!Toka mwaka jana Oktoba mlisema vivyo hivyo na kikowapi!?
Rafah kumbe ipo Lebanon siku hizi!?Moto mnao tembezewa daily uko Rafah hauoni au ndo ushazoea kwa kua mzee upo jehanamu kwa sasa!!
Wanakumbi.ao
H
Hao hao Hizbollah tu wanatoka kwa Israel, Israel hamna kitu zilikuwa sifa tu wanaauwa na raia na kuangusha majengo ya raia tu vita wameshindwa ata ni Hamas tuWanakumbi.
MPYA:
๐ฎ๐ท๐ฎ๐ฑ Iran katika Umoja wa Mataifa:
"Iwapo Israel itaivamia Lebanon, mashirika yote ya Kiislamu ya Mashariki ya Kati yatakwenda Lebanon na kujiunga na Hezbollah"
Iran imesema katika Umoja wa Mataifa kwamba iwapo Israel itaanzisha vita vikali dhidi ya Hizbullah nchini Lebanon, basi chaguzi zote zitakuwa mezani ikiwa ni pamoja na kuhusika kwa pande zote katika mhimili wa muqawama.
View: https://x.com/megatron_ron/status/1807016405834912086?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
BREAKING:Iran amebaki anabwekabweka kama mbwa koko, ametutia aibu sana muajemi huyu. Hamuoni nduguye Kim anachokifanya
Waislamu gani hao watakaoenda huko Lebanon? Tuache ushabiki. Vita inaleta shida nyingi na dhiki kuliko haya maneno mengi yasiyo tekelezeka
Iran akienda na mataifa mengine yote ya kiarabu, itakuwa ndio mwisho wa Israel. Na haitakaa kutokea.
Zipo nchi kadhaa za kiarabu ambazo ni marafiki wa wazi au wa siri wa Israel.
What matters in the Islamic world ni either wewe ni Shia au Suni. Mengine sisi wapiga kahawa wa mitandaoni tunajichangamsha
Hongera sana kwa kuwa na kumbukumbu nzuri mkuu.
Netanyahu hawezi kutamka maneno 10 bila kuitaja irani ..huwa anateseka sana kwa kweliIran ni MUAJEMI sio MUARABU.
Iran ndio taifa linalohofiwa kwa usalama wa Israel hapo mashariki ya kati.
-Hizbollah iko chini ya Iran.
-Houthi iko chini ya Iran.
Na Iran ni baba wa AXIS of RESISTENCE,makundi ya wapiganaji takriban yote yanafadhiliwa kisilaha na kifedha na Iran.
Iran ni baba wa ugaidi duniani. His days are numberedToka lini mkristo akawa mkweli!??
Ona hili jamaa!!
Iran hakuwahi kwenda kinyume na ahadi zake,au mmeshasahau Iran ndio baba wa AXIS OF RESISTENCE hapo mashariki ya kati!!??
Stupid ayatola hana jipya. Ni mbwa koko
Hawata sogea hao kule Gaxa leo wanakuambia kuimaliza Hamasi inataka miaka miwili.Wanakumbi.