jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Nazidi kuelewe kwanini wengi wakipata chance wanakimbilia ulaya na marekani..nchi zenye sheria kali za kidini..ni nchi zakikatiri sana.Ujue hapo Wanawake wanatembea na mazito moyoni kutokana na kunyanyaswa na Sharia za Kidini.
Hili hawalielewi wanaamini mwanamke akivaa hijabu ni mtakatifu..kumbe wahuni kila siku tuna walaza miguu juu na hijabu zao.Ni ujinga kuamini dhambi iko kwenye macho ya mtu. Dhambi iko moyoni.
Wajue tangu anguko la mwanadamu akili, uelewa, na kila nyanja iko corrupted hakuna jema. Ni Mungu tu ndio hupatikiza moyo mpya kwa anayemuamini Yesu. Ova
Haziwezi badilika ila zitazidi kupuuzwa..kama zinavyopuuzwa kila siku.Yaendelee hata miaka 100000 huko.Hakuna kitakacho badilika.Wewe unapoteza muda tu,Uislamu na sheria zake kamwe hazitabadilika.
Sasa nyie mnaishije Bongo mkuu na hizo nyege mshindo, ambazo zikiona nywele tu ni hatariSiyo wenyewe, ni hao wanawake wapumbavu wachache tu! Na nimeona wanamwagiwa maji ya kuwasha, safi sana kwa serikali. Watataka tu hata kibabe!
Ni utumwa wa kifikra..uzuri jamii kwa sasa zinaelimika na hivyo hizi tamaduni zinazidi kufa mdogo mdogo..ndio mana wale vilaza wanaumia mioyo yao na kuamu kujilipua mana wengi ni zero brain.Wasichana warembo wanalazimishwa kufunikwa mitambala mwili mzima yasalie macho tu.
Ni ujuha wa kiwango cha barabara ya matope.
Kwa mtazamo wakoHawajapata kitu. Bure kitendo
Wairan siyo waarabWaarabu bwana wana umoja hatari. Wakiamua jambo lau hawataki ujinga. Sasa hawa ndio super women tunaohitaji kuoa
Either way ...arab or not persian or not moral of the story here is that wao wanauthubutu kuliko waafricaWairan siyo waarab
Kivipi!?Either way ...arab or not persian or not moral of the story here is that wao wanauthubutu kuliko waafrica
Sii kama hivyo unaona wamama wameandamana wapo tayari kufa. Mataliban wanajilipua moaka mmarekani kaondoka mwenyewe. Hawa watu wana kuwa na imani kubwa kwenye kile wanachoamini na udhubutu. Sie hapa tozo tuu tumeshindwa onyesha ujasiriKivipi!?
Milambo,mkwawa,kinjekitile hawakuonesha uthubutu!?..tozo ni lazima ziwepo,unapotoa pesa mitandao ya simu inakukata,ukitia ATM card unakatwa,kwa nini tozo za miamala ya simu zisiwepo!?..serikali hupata fedha za kuhudumia watu wake toka kwa haohao watu wakeSii kama hivyo unaona wamama wameandamana wapo tayari kufa. Mataliban wanajilipua moaka mmarekani kaondoka mwenyewe. Hawa watu wana kuwa na imani kubwa kwenye kile wanachoamini na udhubutu. Sie hapa tozo tuu tumeshindwa onyesha ujasiri