QUR'AN 5:90Pamoja na kwamba mimi sio mnywaji wa pombe lakini siamini kwamba unywaji tu eti ni dhambi inayoweza kumfanya mtu asitinge peponi, hakuna panaposemwa kwamba unywaji tu ni dhambi.
Na pia ukiwa hapa duniani huwezi kukwepa kufanya aina yoyote ya dhambi na unafanya ukifahamu fika kabisa kwamba hii ni dhambi.
Ndio maana inasemwa wanaohukumu nao watahukumiwa.
There is absolutely no utopia in this world.
Like all alcoholic beverages, the Bible prohibits abusing beer (Isaiah 5:11; 28:7; Proverbs 20:1; 31:4). But in moderation, drinking beer was encouraged (Proverbs 31:6). In fact, Deuteronomy 14:26 actually commands Israelites to use some of their tithe money to buy some beers and celebrate before the Lord.30 Sep 2016QUR'AN 5:90
Kwa wakristo ukifanya dhambi yyt wiki nzima ikifika weekend unaenda kwa Padri au Mchungaji unatoa sadaka anakusamehe madhambi yote.Like all alcoholic beverages, the Bible prohibits abusing beer (Isaiah 5:11; 28:7; Proverbs 20:1; 31:4). But in moderation, drinking beer was encouraged (Proverbs 31:6). In fact, Deuteronomy 14:26 actually commands Israelites to use some of their tithe money to buy some beers and celebrate before the Lord.30 Sep 2016
Kwahiyo unataka kusema walokole ni wendawazimu?Pamoja na kwamba mimi sio mnywaji wa pombe lakini siamini kwamba unywaji tu eti ni dhambi inayoweza kumfanya mtu asitinge peponi, hakuna panaposemwa kwamba unywaji tu ni dhambi.
Na pia ukiwa hapa duniani huwezi kukwepa kufanya aina yoyote ya dhambi na unafanya ukifahamu fika kabisa kwamba hii ni dhambi.
Ndio maana inasemwa wanaohukumu nao watahukumiwa.
There is absolutely no utopia in this world.
So!?Like all alcoholic beverages, the Bible prohibits abusing beer (Isaiah 5:11; 28:7; Proverbs 20:1; 31:4). But in moderation, drinking beer was encouraged (Proverbs 31:6). In fact, Deuteronomy 14:26 actually commands Israelites to use some of their tithe money to buy some beers and celebrate before the Lord.30 Sep 2016
Mimi sijui mambo ya walokole waulize wenyewe.Kwahiyo unataka kusema walokole ni wendawazimu?
Wanarudi ktk enzi za Ujahilia. Enzi za akina AbujahalSaudi Arabia wao wana Saudi Vision 2030 ambayo haifananishwi na chochote kinachoendelea hapo ME
Hayupo mtu anaweza samehe,Kwa wakristo ukifanya dhambi yyt wiki nzima ikifika weekend unaenda kwa Padri au Mchungaji unatoa sadaka anakusamehe madhambi yote.
Hata ukibaka ukiiba ukazini ba mke wa mtu.
We andaa sadaka tu. Mambo yote anayamaliza Baba Mchungaji.
Tena km una laki 1 we tuma Mpesa tu . Anakusamehe kupitia WhatsApp fasta
Hiyo sio kweli, hakuna mwanadamu mwenye mamlaka ya kuhukumu wengine hivyo kama kuna anayefanya hivyo basi ni kujidanganya tu na ndio maana mimi siamini katika hizi dini zilizoletwa na wanadamu kwa maslahi yao binafsi.Kwa wakristo ukifanya dhambi yyt wiki nzima ikifika weekend unaenda kwa Padri au Mchungaji unatoa sadaka anakusamehe madhambi yote.
Hata ukibaka ukiiba ukazini ba mke wa mtu.
We andaa sadaka tu. Mambo yote anayamaliza Baba Mchungaji.
Tena km una laki 1 we tuma Mpesa tu . Anakusamehe kupitia WhatsApp fasta
Lakini wanatubu kwa Allah Mmoja asiye na Mshirika, Mwenye Kusamehe. Hawaendi kuungama/kudhihirisha madhambi yao walioyafanya sirini kwa wanadamu halafu hao wanadamu eti wakatangaza kuwa wamesamehewa. Toba yao wanaomba kwa Allah tu.Hayupo mtu anaweza samehe,
Hata waislamu ni hivyo hivyo wanangu ninashinda nao kila siku wanatomba mademu ijumaa wanavaa kanzu kuingia msikitini wakitoka wanakuja kwenye goli la chips tunakula kitimoto.
Sioni mantiki yao sababu wakitoka msikitini wanrudi kufanya yale yale.Lakini wanatubu kwa Allah Mmoja asiye na Mshirika, Mwenye Kusamehe. Hawaendi kuungama/kudhihirisha madhambi yao walioyafanya sirini kwa wanadamu halafu hao wanadamu eti wakatangaza kuwa wamesamehewa. Toba yao wanaomba kwa Allah tu.
Hahaaa mnawaita makafir sababu ya ushia waoBaada ya majaribio kadhaa kushindwa kuingiza satelite kwenye orbit,leo Iran imefanikiwa kurusha satelite 3 kwa mpigo na kwa mafanikio.
Mafanikio hayo yamekuja siku chache baada ya taifa la Saudi Arabia kutangaza kufungua duka kubwa la kisasa la kuuzia ulevi.
View attachment 2886245
Iran successfully launches 3 satellites into space
Hiyo fiqh kuhusu shia na Iran haieleweki kabisa katka kuitetea Saudia.Allah ailinde Dola ya Saudia na aiangushe Dola ya kishia ya Iran na airudishe Iran katika mikono ya Waislam. Iran ya kishia imeua Waislam wengi zaidi kuliko hata mazayuni. Bali ni waovu zaidi. Allah awadhalilishe watu hao washirikina wanaowatukana na kuwakufurisha maswahaba wa Mtume na wake za Mtume. Allah awaangushe hao na vibaraka wao akina Houthi, Hezbo na wengineo wanaozichezea damu za Waislam na kuchochea makafiri kuzimwaga zaidi kwa maslahi yao binafsi na agenda zao ovu pamoja na baba zao mazayuni.
Watu wanaomkufurisha 'Umar (Radhi za Allah ziwe juu yake) na kumtukana matusi mazito mazito hawawezi kuikomboa al-Quds ambayo ilikombolewa na Amir wa Waumini 'Umar Ibn al-Khattab (Radhi za Allah ziwe juu yake) kwa idhini ya Allah.
Saudia na mapungufu yake bado ni bora mno kuliko hao punda wa mayahudi.