Iran haiwatetei chochote Waislam bali inachochea vurugu zaidi katika ukanda ule kama maandalizi ya kuja kwa "mahdi" wao. So hawajali kumwagika damu za Ahlus Sunnah. Wao wataleta vurugu ukanda usikalike, lakini wakati huo huo wakisambaza itikadi zao za kishetani kwa upande mwengine. Na watu kama wewe mnatumika katika hili kwa kujua au bila kujua.
Pili, Saudi Arabia kiuhalisia imefanya mengi kwa ajili ya ndugu zao Wapalestina. Kwa kujua kuwa ndugu zetu hawawezi kupigana na maadui wa Allah mazayuni, wamekuwa wakitumia diplomasia na kutafuta njia za kufanya amani na makafiri ili angalau ndugu zetu wapate nafuu. Achilia mbali misaada ya kibinadamu wanayowasaidia ndugu zao. Ila nyinyi mnataka wafanye vurugu na kufanya damu zao zimwagike zaidi ndio ionekane wamewasaidia? Unajua Waislam wangapi huko Palestina wameuawa tokea Hamas wafanye shambulizi lao dhidi ya Dola la kizayuni bila kujali? Unajua damu ya Muislam ina thamani kuliko Al-Ka'aba?
Wanaopambana damu za Waislam zisimwagike bila sababu za msingi ndio wana huruma zaidi na Waislam. Sio mashia wa Iran.
Naam Saudia ndio w wasimamizi wa Miji miwili mitukufu. Allah aidumishe miji ile katika mikono ya watu wa Tawheed na kamwe mikono ya washirikina isiifikie Miji ile Mitukufu.
Bali hili limefanywa na mashia kushirikiana na kafiri Putin kuua ndugu zetu huko Syria.
Hii propaganda mbona imejibiwa tayari.
View attachment 2886951View attachment 2886952
Halafu shirki ni dhambi ovu zaidi kuliko zote na ndio kubwa zaidi. Bali ndio ambayo haisamehewi akifa nayo mtu bila ya kutubia dhambi hiyo. Angalia Iran mashia walivyojaza mikaburi ambayo watu wanajazana kwenda kuiabudia. Shirki inatangazwa Iran kwa kiwango cha kutisha, kuwaomba na kuwaabudia wasiokuwa Allah. Uko wapi wewe na hili? Ushawahi kusema lolote kupinga hili? Saudia hukuti mambo hayo yakifanyika waziwazi. Bali dola ile iliposimama makaburi yaliyojengewa yalivunjiliwa mbali kutekeleza amri ya Mtume (Swala na Salamu ziwe juu yake). Saudia hukuti kanisa, hekalu au sinagogi limejengwa na watu wanakusanyika kuabudu. Makafiri wanaoishi kule wanaabudu kwenye makazi yao huko.
Ila Iran kuna mpaka masinagogi mayahudi wanaabudu kwa raha huku Ahlus Sunnah wakikandamizwa.
Saudia wana mapungufu yao, ila kwa kuipigania kwao Tawheed na Sunnah na kupiga vita Shirki na Bida'a wamejitahidi mno na Allah awaongezee baraka , neema, nguvu na kheri kwa hilo na awaepushe na shari za maadui zao na mahasidi wao. Ameen. Allah aliangushe dola la kishia la Iran na airudishe katika mikono ya Waislam na awaunganishe Waislam katika Tawheed na Sunnah, Ameen.