Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
We ni muongo nitajie mstari wa biblia unaosema mtu aungame kwa mtuNimepotosha kusema Wakristo wanaungama madhambi kwenye vile viosk ndani ya makanisa?
Nimesoma shule ya kanisa miaka kadhaa.
Najua kila kitu kinachofanyika mule.
Mkristo hata akibaka lzm akaseme dhambi yake ili apate msamaha.
Nikusaidie hayo ni mapokeo ya roman catholic na sio kwenye madhehebu mengine na hayapo kwenye biblia