Iran warusha satelite 3 kwa mpigo na kwa mafanikio.Saudi Arabia wafungua bar ya mwanzo ya ulevi na viwanja vya kujirusha.

Hakuna binaadamu amekamilika.
Na Kurudia madhambi ni asili ya binaadamu yyt.

Uislamu hautegemei wewe uwe msafi asilimia 100% bali unahimiza USIKATE TAMAA NA MSAMAHA WA MUNGU.
Kila ukijisahau ukafanya Dhambi ni wajibu wako KUOMBA TOBA na Kujitahidi Kuacha hio Dhambi.
Lkn ikitokea UKAFANYA tena Dhambi Muhimu ni kurudi kwa Mungu na Kufanya Toba.

Mzunguko huo utaendelea mpk siku utakapo kutana Na Mungu wako siku ya malipo.
Ndipo utahukumiwa .

Usije kusema sababu ulirudia dhambi kwahio HUNA MSAHAMA TENA.
Hapana.
Mungu anaweza kukusamehe hata km umerudia dhambi mara kwa mara.
 
hili ndo jambo wanalofanya sababu wanaamini msamaha upo ijumaa anaingia msikitini akitoka baadae club kutafuta malaya, akirudi msikitini akitoka tena malaya na pombe.
Dini hazina shida si ukristo wala uislamu shida ipo kwa watu hakuna dini bora zaidi
 
Uislam HAUNA SIKU YA IJUMAA WALA JUMATATU.
Hao hawana elimu ya Dini yao.
Na huwezi kuendelea kufanya madhambi KUSUDI ukitegemea Kusamehewa kila siku.
Huo ni upumbavu wa hali ya juu.
MUNGU HACHEZEWI.
We unajua kabisa kesho unaenda Kuzini leo unaomba Toba kwa nani?
Hio ni KUJIDANGANYA NAFSI YAKO.
Dhambi ni zile za kupitiwa.
Lkn sio za kila siku.
Huko sio kupitiwa bali WEWE UTAKUWA UNA LAANA YA DHAMBI ZA KUSUDI.

Waambie wakasome Dini yao vizuri.

UKRISTO ndio unaruhusu hayo. Muhimu mwisho wa wiki tu ukamuachie Padri Fungu la 10.
Ndio maana WAKRISTO WANAAMINI DHAMBI ZAO ZOTE KABEBA YESU.
Wao ni wasafi kabisa.
Muhimu ni kutoa maokoto weekend.
 
ukristo unaruhusu watu wafanye dhambi kusudi Halafu wakatub?

Basi ungeweke Aya inayosema haya maneno.

Si kweli hawaijui dini, wamekulia madrasa na wengine ni wapemba ila tu wanaamua kufanya hivyo kama ilivyo kwa masheikh wanaokawiti wakijua ni dhmbi na kama mapadri wanavyawiti wakijua ni dhambi
 
Hakuna picha.
Hizo ni story tu za kwenye kahawa.
Yaan Sisi wakazi wa huku Ukonga Mazizini ZOGO na viunga vyake mpaka Bombomu tulitaka kuona Picha kabisa tuthibitishe
 
Mwenye Picha ya hio Bar ya Saudi Arabia atuwekee na Sisi tuione
 
Ukiwa muislam dhambi zinapimwa kwenye mzani, mzani wa mema ukizidi pepo ni yako ukizidi wa mabaya moto wa kwako kwa hiyo ukiwa Muislam unatakiwa ubalance mema yazidi kuliko mabaya


Hii ndo raha ya uislam

Sent from my SM-A145F using JamiiForums mobile app
 
Kuna aina mbili za toba kijana toba ya kwanza kabisa ni ile ya mja kwa mola wake yaani kuomba toba kwa kumkosea muumba wake moja kwa moja mfano kuacha sala nk
Sasa sharti la toba ya kuacha sala kwakua unamuomba Allah ina masharti matatu
1-ujutie kwamba ulifanya dhambi kibinaadam ujute kuifanya
2-ung'oke kabisa kuachana na hio dhambi ulio tubia yaani
3- hapa wanaokumbuka wataniekea maana nimeisahau

Ila sharti la toba kwa mtu kumkosea mtu mwenzake
Ni hayo hayo mawili na la tatu nililolisahau na la nne nikumfata mtu ulomkosea ukamuomba msamaha sababu Allah hakusamehi kama hujamuomba msamaha ulomkosea

Sharti la toba unatakiwa ukitubia usirejelee kosa ila kama binaadam hatujakamilika kuna muda unajikuta unakosea kwakudhamiria ama bahati mbaya sababu ya ubinaadam
Hivyo milango ya toba ipo wazi kuanzia jioni mpaka jioni
Isipokua ukitokwa na roho ikiishafika mabegani pale tena Allah haikubali toba yako mfano kama farao(firauni) alitaka kushahadia wakati roho ishafika hapo ila akakataliwa na akafa kafiri
Pia siku ambayo jua litachomozea magharibi na kuzamia mashariki ndio siku ambayo milango yatoba rasmi inafungwa hapo

Allah ndio anajua zaidi
 
ndio maana nikasema ni watu wanaofahamu kila kitu sababu wamekulia madrasa ila tu wanajitoa ufahamu
Dini huwa Hazina shida na hakuna dini inayoruhusu dhambi ila watu tu ndio wanafanya hivyo .
 
ndio maana nikasema ni watu wanaofahamu kila kitu sababu wamekulia madrasa ila tu wanajitoa ufahamu
Dini huwa Hazina shida na hakuna dini inayoruhusu dhambi ila watu tu ndio wanafanya hivyo .
Sawa nakuelewa ingawaje kukaa karibu na mahakama sio kujua sheria pia
 
Hujajibu swali uislamu hauna kutubu dhambi ukishanawa miguu na mikono ndo imeisha hio
 
Quran inasema
 
Hujajibu swali uislamu hauna kutubu dhambi ukishanawa miguu na mikono ndo imeisha hio
Unauliza swali au unatoa jibu?
Au hujui tofauti ya kuuliza na kujibu.
We ulidhani waislamu wanasafisha madhambi kwa maji ya ubatizo kama wakolosai?
Uliza swali usaidiwe kijana.
Acha mihemko
 
Hakuna dhehebu lolote la ukristo mtu anatoa sadaka Ili asamehewe
 
Unauliza swali au unatoa jibu?
Au hujui tofauti ya kuuliza na kujibu.
We ulidhani waislamu wanasafisha madhambi kwa maji ya ubatizo kama wakolosai?
Uliza swali usaidiwe kijana.
Acha mihemko
Tumeshakua waslaimu lia lia tunajua tunachoongea uislamu hauna kutubu ukishatawadha imeisha hio
 
Acha upotoshaji kutubu ni siri kati yako na Mungu
 
Acha upotoshaji kutubu ni siri kati yako na Mungu
Nimepotosha kusema Wakristo wanaungama madhambi kwenye vile viosk ndani ya makanisa?

Nimesoma shule ya kanisa miaka kadhaa.
Najua kila kitu kinachofanyika mule.


Mkristo hata akibaka lzm akaseme dhambi yake ili apate msamaha.
 
Tumeshakua waslaimu lia lia tunajua tunachoongea uislamu hauna kutubu ukishatawadha imeisha hio
Teh teh teh
Dahh... mara mgalatia umegeuka kuwa msemaji wa waislamu. 🤣🤣

JF sitoki tena manake ni Ze komedi full fulu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…