Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
We ni muongo nitajie mstari wa biblia unaosema mtu aungame kwa mtuNimepotosha kusema Wakristo wanaungama madhambi kwenye vile viosk ndani ya makanisa?
Nimesoma shule ya kanisa miaka kadhaa.
Najua kila kitu kinachofanyika mule.
Mkristo hata akibaka lzm akaseme dhambi yake ili apate msamaha.
We mbona ulisoma shule ya makafiri wakristoTeh teh teh
Dahh... mara mgalatia umegeuka kuwa msemaji wa waislamu. 🤣🤣
JF sitoki tena manake ni Ze komedi full fulu
Nilikuwa nina maswali mengi sana.We mbona ulisoma shule ya makafiri wakristo
Kwahio ROMAN wametoa kichwani au?We ni muongo nitajie mstari wa biblia unaosema mtu aungame kwa mtu
Nikusaidie hayo ni mapokeo ya roman catholic na sio kwenye madhehebu mengine na hayapo kwenye biblia
Tatizo lako una-compare uislamu na ukristoNilikuwa nina maswali mengi sana.
Nikuwa najiuliza inakuwaje mtu anaabudu picha na Sanamu ya mzungu na anajua kabisa huyu ni mtu km mimi?
Inakuwaje mtu anaamini Dhambi zake ABEBE YESU ambae hana kosa?
Inqkuwaje Mtu na akili yake timamu Aamini kuwa MUNGU ALIUAWA NA VIUMBE ALIOWAUMBA ILI ASAMEHE DHAMBI ZA VIUMBE HAO HAO?
Na Inakuwaje mtu aamini kabisa bila wsws kuwa Mungu alizaliwa na mwanamke ambae alimuumba yeye.
Sasa huyo mwanamke (Maria) wakati Mungu yuko tumboni kwake alikuwa ANAABUDU MUNGU GANI?
NIkaona Bora Nikasome kabisa kwa WAKRISTO huenda Nikaelewa.
Baada ya miaka MINNE maswali yamekuwa mengi kuliko mwanzo.
Nimetambua kuwa Asilimia 70% ya wakristo wana maswali km haya yangu lkn WANAOGOPA KUULIZA.
Waliobaki WANAIGA TU IMANI YA WAZAZI. Lkn hawana IMANI NA UKRISTO HATA KIDOGO.
ndio maana Wengi wamekuwa WAISLAMU km Mimi.
Onyesha mstari wa biblia unaosema mtu akatubu kwa mtuKwahio ROMAN wametoa kichwani au?
UKRISTO UNAFUNDISHA HIVI
Je, umesahau namna ya Kuungama?
Ukifika katika kiti cha kitubio unasema
"Padre unibariki kwa kuwa nimetenda dhambi"
Padre atakubariki kisha utaendelea ukisema
"Namuungamia Mungu Mwenyezi, nawe Padre wangu, sijaungama tanngu (.....taja mara yako ya mwisho kuungama...)
Kisha eleza dhambi zako waziwazi, bila kuficha na eleza umezitenda mara ngapi, ikiwezekana na namna ulivyozitenda. Kuzitaja dhambi zako inakusaidia kujuta kwa mara ya pili juu ya makosa uliyomtendea Mungu.
Baada ya hapo, msikilize Padre, atakuambia usali sala ya kutubu, kisha atakuondolea dhambi zako, akimaliza atakupatia malipizi. Hakikisha unatimiza malipizi.
LEO UNATAKA KUPINGA?
we mgalatia wa Rwanda au?
Tatizo lenu wakristo mkisha onyeshwa maovu yenu mnadai MaandikoOnyesha mstari wa biblia unaosema mtu akatubu kwa mtu
Msingi wa wakristo ni biblia
Wakristo wanaongozwa na biblia na sio kitu kingine kama hakipo kwenye biblia hayo ni maoni ya mtu ukristo haufuati mawazo ya mtuTatizo lenu wakristo mkisha onyeshwa maovu yenu mnadai Maandiko
Na wewe onyesha andiko YESU KASEMA "MIMI NI MUNGU NIABUDUNI" au Andiko lolote Yesu ALIJIITA MUNGU.
ANDIKO HILO HAKUNA lkn Nyie wote mnamuita YESU MUNGU.
Umeona mlivyo wapinga Mungu ! Yaani nyie mkiendeleq na IBADA hizo za kumkufuru MUNGU HAKI YA MUNGU MOTONI HAMTOKE MILELE.
Endeleeni tu kuleta Ubishi.
Kifo hakiko mbali
Hilo umesema wewe.Tatizo lako una-compare uislamu na ukristo
Kila dini ina-mapekeo yake mimi ukiniambia Mungu wa kristo anamtoto nawakubalia kwa sababu ni mapokeo yao
Mungu wa waislamu, wakristo, hindu na budha wako tofauti kwa asilimia 100
Sasa unawapangia wakristo jinsi ya kuabudu waislamu mnashida sanaHilo umesema wewe.
Wakristo wanaabudu MTU sio MUNGU.
BUDHA wanaabudu SANAMU Sio MUNGU.
HINDU wanaabudu NYANI, Ng'ombe, miti, na miongoni mwao wanaabudu mpk sehemu za siri
Wenye KUABUDU MUNGU MMOJA ASIE NA MSHIRIKA NI WAISLAMU PEKE YAO.
Hilo Kubali kataa.
Wala usijidanganye WAKRISTO WANAABUDU MUNGU.
Hakuna MUNGU mzungu bro.
Hakuna MUNGU aliepigwa mpk akalia na kuomba msaada mpk akafa .
huyo SIO MUNGU HATA SIKU MOJA.
We endelea kubisha.
Very soon utakutana na MUNGU aliyekuumba Ndio utaona Faida ya Ubishi wako.
MUNGU NI MMOJA TU.
HANA ANAEFANANA NAE
WALA HANA MSHIRIKA.
UTATU MTAKATIFU NI KUFURU YA HALI YA JUU KABISA. na Ni UONGO ULIO WAZI.
Na hata maana yake wewe na yyt hawezi kuieleza ikaeleweka kwa binaadamu yyt.
Hakuna sehemu biblia inasema binaadamu anasamehe lkn MNAFANYA MAKANISA KUUNGAMA KILA LEO.Wakristo wanaongozwa na biblia na sio kitu kingine kama hakipo kwenye biblia hayo ni maoni ya mtu ukristo haufuati mawazo ya mtu
Nimekuuliza swali nionyeshe mstari kwenye biblia kwani kuna ubaya gani
Nitajie mstari wa bibliaHakuna sehemu biblia inasema binaadamu anasamehe lkn MNAFANYA MAKANISA KUUNGAMA KILA LEO.
Hilo Kataa kubali lkn Ukikataa wakristo wenzako wanakuona wewe ni MUONGO usie na AIBU.
Hata Nyerere alisema wazi kuwa anaungama
I do mind my business BUT TRUTH MUST BE TOLD.Sasa unawapangia wakristo wakiabudi mtu wewe unapungukiwa nini
Mind your business
unaumia kwa mtu kuishi maisha aliyoyachaguaI do mind my business BUT TRUTH MUST BE TOLD.
Msidai mnaabudu MUNGU wakati MNAABUDU MTU.
HUO NI UONGO na sisi Tuliosoma BIBLE SCHOOL tunajua kila kitu.
Na siri ingine nakupa.
HAKUNA PADRI YYT ATAPEWA UPADRE BILA KUFUNDISHWA KUSEMA UONGO KUTETEA IMANI YAKE.
Sio kuumia.Ukweli upi yaani unaumia kwa mtu kuishi maisha aliyoyachagua
Unaumia kwa mtu kuchagua maisha aliyoyataka uislamu una shida sana kama unaamini uko sahii unaumia nini wengine wakiabudu watakavyo
Kwa wakristo ukifanya dhambi yyt wiki nzima ikifika weekend unaenda kwa Padri au Mchungaji unatoa sadaka anakusamehe madhambi yote.
Hata ukibaka ukiiba ukazini ba mke wa mtu.
We andaa sadaka tu. Mambo yote anayamaliza Baba Mchungaji.
Tena km una laki 1 we tuma Mpesa tu . Anakusamehe kupitia WhatsApp fasta
Kwani wamekulazimisha uwe kwenye uongo waoSio kuumia.
Nakukatalia huo UONGO WAKO.
We unadai unaabudu MUNGU.
WAKRISTO mna tabia ya kujipa vyeo vya UONGO kila mara.
JUZI KATOKEA MSUKUMA MMOJA ANAJIITA YESU. Ati amekuja Kuwakomboa .
TB Joshua anadai ANAFUFUA WAFU.
GWAJIMA anaonekana LIVE kwenye TV eti kafufua mtu hali ya kuwa MAMA YAKE MZAZI KAFA NA KAMXIKA.
YAANI upumbavu wa hali ya Juu kabisa na bado WAKRISTO WANAJAA MAKANISANI MWAO.
Sasa nyie vueni hata Nguo brbrni lkn UKWELI TUTAWAAMBIA kuwa Hio sio IBADA bali ni UKAFIRI MKUU.
Mna hiari kuendelea nao au kuamka kabla ya kifo.
Hii ni NCHI HURU kila mtu Ana haki ya kuabudu chochote LkN MSITULETEE UONGO HADHARANI kuwa mnaabudu MUNGU..
Tutawaambia tu ili JAMII IFAHAMU kuwa HUO NI UONGO.
Hakuna cha GWAJIMA WALA BABAKE GWAJIMA. mwenye uwezo wa KUFUFUA HATA NZI.
wacha kufufua mtu
Hayupo mtu anaweza samehe,
Hata waislamu ni hivyo hivyo wanangu ninashinda nao kila siku wanatomba mademu ijumaa wanavaa kanzu kuingia msikitini wakitoka wanakuja kwenye goli la chips tunakula kitimoto.
labda kama unakaa ndani wew mwali nenda sehemu za starehe, mabar club uoneWacha uongo.