Iran warusha satelite 3 kwa mpigo na kwa mafanikio.Saudi Arabia wafungua bar ya mwanzo ya ulevi na viwanja vya kujirusha.

Huo ninuwongo, Padri au Mchungaji jana uwezo wa kumsamehe mtu dhambi. Yeye mwenyewe anasubiria hukimu mbele ya Mwenyezimubu. Tusijidanganye.
Kwahio wale wanakwenda KUUNGAMA MADHAMBI huwa wanafuata maandazi au?
 
Kwani wamekulazimisha uwe kwenye uongo wao
We umia kasirika ila wakristo wanaabudu Mungu
Andiko linasema.

Mithali 10:8 “Aliye na akili moyoni mwake atapokea agizo; Bali mpumbavu mwenye maneno mengi ataanguka

Na pia linandelea kusema.

Mithali 12:15 “Njia ya mpumbavu imenyoka machoni pake mwenyewe; Bali yeye aliye na hekima husikiliza shauri”.

Km hutaki kusikiliza Andiko limeshatoa jibu.

Jioni njema
 
Huo ndo mstari unaosema wakristo wanatakiwa kutubu kwa mtu
 
Hakuna dhehebu lolote la ukristo mtu anatoa sadaka Ili asamehewe
Njoo hapa magomeni Weekend uone SAKRAMEMTI ZILIVYOJAA wana Kondoo wanao UNGAMA MADHAMBI.
Kisha tazama kikapu.
Kabla ya kuingia kuongea na PADRE lzm uache HELA kwenye Kapu.
 
Sasa unawapangia wakristo jinsi ya kuabudu waislamu mnashida sana
wakiabudi mtu wewe unapungukiwa nini kwenye maisha yako
Mind your business this is free world
Sasa museme kama munaabudu mtu msiseme kama muna abudu Mungu
Hakuna alowapangia ila mnaambiwa ukweli mkibisha shauri yenu
 
Pole sana ila Hunijui
Kwani unahati miliki ya hiyo dini
Sikujui ila hoja yako mfu tu inaonesha kama hujawahi kua muislamu
Huna hata dalili moja ya kua ulishawahi kua muislamu ewe mshirikina
 
Acheni kudanganywa mungu hawezi umba Dunia yote hii harafu akachagua baadhi miji kuwa mitukufu
 
Inabidi FaizaFoxy Bwana Utam Ritz na Malaria 2 waseme amin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…