Iran yafanya shambulio Kubwa katika eneo la viwanda vya chuma na Chemicals huko Israel

Sir John Deere

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Posts
14,246
Reaction score
27,509
Katika Hali iliyotarajiwa ya kulipa kisasi baada ya marekani na Israel kushambulia viwanda vya chuma huko Iran. Muda mfupi uliopita Iran imefanya shambulizi na kulenga eneo la viwanda kusini mwa Israel ambapo uharibifu mkubwa na Moshi mzito umeonekana ukitanda katika anga kutokana na shambulizi hilo. Habari katika picha inaeleza zaidi kilichotokea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…