Iran yafanya shambulio Kubwa katika eneo la viwanda vya chuma na Chemicals huko Israel

Iran Wana akili. Jana Israel na marekani wamefanya shambulizi katika chuo kikuu Cha sayansi na teknolojia huko tehran.wanadhani ukipiga majengo ya chuo utakua umeua knowledge 🀣
🀣
 
Unaumia ukiwa wapi kaka !? πŸ˜πŸ˜€
 
Ni jambo jema nala kuigwa na mataifa yote
 

Attachments

  • 20260329_210118.jpg
    41.1 KB · Views: 11
Wakija waisraeli wa Mpitimbi na Utegi, ujiandae kwa matusi. 😁
😁😁 Kaka Taifa kubwa haliwezi kutandikwa Kwa kiwango hiki wanacho tandikwa Sasa ,

Taifa kubwa compared to Whom labda Waarabu wa middle east na sio Iran
 
Hii vita hakuna kuamulia dunia iwaache hivyohivyo ili baadae waheshimiane wote watatu

 
😁😁 Kaka Taifa kubwa haliwezi kutandikwa Kwa kiwango hiki wanacho tandikwa Sasa ,

Taifa kubwa compared to Whom labda Waarabu wa middle east na sio Iran

Sio waarabu, kuna nchi za ulaya nyingi tuu hazinkamati Irani kwa mmambo mengi. Wewe umesikia juzi kwamba anazo kombora za 4000km na katengeneza mwenyewe, ana drones katengeneza mwenyewe. Tuwe wakweli hawa wavaa vilemba na kobazi wa Irani wapo mbali sana kimedani.
 
Nakubali ila sio waisrael
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…