Israeli Siku zote sio mwanzilishi wa vita.
1. Unajua vita huku ni kutokea 1947?
2. Kwamba wewe ni mjuzi kuliko hata kina Madiba?
3. Huwa hata tunajihurumia kweli?
4. Aibu mbona naona miye? Looh!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Israeli Siku zote sio mwanzilishi wa vita.
Uislam tena unaingiaje hapoKafiri utakufa mdomo wazi. Uislam huwezi kabisa
1. Kwa hiyo ngoma draw siyo?
2. Kwamba kama manyani, hamchekani siyo?
3. Kazi kweli kweli.
"Kutoka 21:10 Kama huyo bwana akioa mke mwingine, lazima aendelee kumtosheleza mkewe wa kwanza kwa chakula, mavazi na haki zake za ndoa. | Biblia Habari Njema (BHN) | Pata programu ya bure ya Bibilia sasa hivi." Kutoka 21:10 Kama huyo bwana akioa mke mwingine, lazima aendelee kumtosheleza mkewe wa kwanza kwa chakula, mavazi na haki zake za ndoa. | Biblia Habari Njema (BHN) | Pata programu ya bure ya Bibilia sasa hivi.
we ndo unawasemea??Isarael waliishindwa enzi hizo ikijikusanya watu wake kutoka mataifa mbalimbali, wasahau kabisa kuipiga kwa sasa, inauwezo wa kufanya chochote kwenye taifa lolote hapo mashariki ya kati!
Unajua, Mungu aliyewapa hiyo nchi na hilo jina Israel, nchi hiyo inautisho wa ajabu na kuogofya, jiulize Umoja wa mataifa mbali na veto yao, wamefanya nini sasa?
Bado Israel ameendelea kuwatandika warabu kama watoto
Mpaka sasa Israel na watu wake, ni watu wanaotegemewa mno duniani, DUNIA INAIHITAJI ISRAEL kwa mambo ya technology kuliko watu wowote duniani
Unapokuwa na taifa la watu dizaini hiyo, unategemea Iran afanye nini sasa?
Braza.....masaa 48 bado au 🤣🤣🤣
"Kutoka 21:10 Kama huyo bwana akioa mke mwingine, lazima aendelee kumtosheleza mkewe wa kwanza kwa chakula, mavazi na haki zake za ndoa. | Biblia Habari Njema (BHN) | Pata programu ya bure ya Bibilia sasa hivi." Kutoka 21:10 Kama huyo bwana akioa mke mwingine, lazima aendelee kumtosheleza mkewe wa kwanza kwa chakula, mavazi na haki zake za ndoa. | Biblia Habari Njema (BHN) | Pata programu ya bure ya Bibilia sasa hivi.
Mmhh kweli kuna watanzania huwaambii kitu kwa israel, mpaka bendera kwenye magari yao wameweka na wanatembea nazo 🇮🇱
Al hamduliLlah najivunia sana sana kuwa Muislamu
Israel huwa hawatishiwi nyau. Kauli ya huyu itamponza. He'll be neutralised soon
Kwanini anaomba sada kwa Ujerumani na nato?Israel huwa hawatishiwi nyau. Kauli yake itamponza. He'll be neutralised soon
Mkuu,1. Mafundisho yetu ni ya amani tuwafundishe tunaowadhania kuwa washari Kwa vitendo.
2. Hata Petro alipomkata adui sikio, si kuwa alikumbushwa tu, bali Yesu alilirejesha kama lilivyokuwa.
3. Tupambane dhidi ya ubaya kwa wema.
Au nasema uongo ndugu yangu?
Mkuu,
Siyo kwa hawa magaidi wa sasa wa Kiarabu wanaoua hovyo watu wasio na hatia.
Ukiwachekea nyani utavuna mabua
Vizuri mkuu1. Mkuu, nakubaliana nawe kuwa gaidi si wa kuvumilia.
Zingatia kuwa wakati Mandela anatamka hayo hawa magaidi wa Hamas walikuwa hawajakuwapo bado. Madiba asingeunga mkono hawa wahuni, wauaji..2. Zingatia tofauti ya HAMAS, Palestina na magaidi wale Boko Haram, ISIS au Al Shabab:
![]()
Russia alianza kuvamia Ukraine kama Hamas walivyoanza kuvamia Isreal. Kwa hiyo tupo consistent5. Ni muhimu consistent kwenye kushutumu; huwezi mshutumu Russia kule Ukraine ila ukawa na mahaba na Israel hapa!
Tuliambiwa watapiga ndani ya masaa 48, Israel ikasema thubutu. Sasa naona wameufyata na kuja na mengine.
Msichokijua nyie wavaa makobaz ni kwamba Israel ilipiga hao makamanda wa Iran ikijua inachokifanya na huyo kubwa gaidi lenu Iran amekua makini sana kutonasa kwenye huo mtego.
===============
Iran informed the US that it would refrain from responding to the airstrike in which senior Islamic Revolutionary Guard Corps (IRGC) commanders were killed in Damascus if a ceasefire in Gaza is reached, Jadeh Iran reported on Sunday.
The news outlet cited an anonymous Arab diplomatic source, saying the source spoke to the news outlet two days ago. The source added that "If America succeeds in containing the situation, it will be a great success for the Biden administration and we can build on that."
The report comes as negotiations for a ceasefire and hostage release deal resume between Israel and Hamas in Cairo and as Israel continues preparations for a possible response to the Damascus airstrike that Syria and Iran blamed on Israel.
The airstrike targeted the Iranian consulate in Damascus last Monday, killing IRGC commander Mohammad Reza Zahedi - the main Iranian official responsible for operations in Syria and Lebanon - as well as his deputy and several other IRGC officers.
Iran's Supreme Leader, Ayatollah Ali Khamenei looks at the coffins of members of the Islamic Revolutionary Guard Corps who were killed in the Israeli airstrike on the Iranian embassy complex in the Syrian capital Damascus, during a funeral ceremony in Tehran, Iran April 4, 2024 (credit: Office of the Iranian Supreme Leader/WANA/Handout via Reuters)
Iran threatens 'harsh response' to Damascus airstrike
Since the airstrike, Iran has made repeated threats of a "harsh response" against Israel. US media has reported that US and Israeli intelligence believe that Iran could target Israel directly with cruise missiles and kamikaze drones. The reports indicated that the response could come by the end of the month of Ramadan, which is expected to end on Tuesday or Wednesday, depending on the sighting of the moon.
IDF Chief of Staff Herzi Halevi stressed on Sunday that Israel knows "how to handle Iran."
"We are prepared for this; we have good defensive systems and know how to act forcefully against Iran in both near and distant places. We are operating in cooperation with the USA and strategic partners in the region," said Halevi.
Jerusalem Pom
Mpango wa Iran ni kuishinikiza Marekani amwambie jamaa yake Israel asitishe vita ya Gaza kwa kudumu.Iwapo atafanikiwa Iran ataongeza ushawishi mkubwa sana Mashabiki ya Kati kidiplomasia.Iran anaicheza vizuri sana hii karata pande zote mbili.Ngoja tusubiri kama Israel itakubali kumaliza vita yake,kukubali kumaliza vita ni ushindi mkubwa kwa Hamas.Hapo Netanyau atajiweka karibu sana kuangushwa utawala wake.Tuliambiwa watapiga ndani ya masaa 48, Israel ikasema thubutu. Sasa naona wameufyata na kuja na mengine.
Msichokijua nyie wavaa makobaz ni kwamba Israel ilipiga hao makamanda wa Iran ikijua inachokifanya na huyo kubwa gaidi lenu Iran amekua makini sana kutonasa kwenye huo mtego.
===============
Iran informed the US that it would refrain from responding to the airstrike in which senior Islamic Revolutionary Guard Corps (IRGC) commanders were killed in Damascus if a ceasefire in Gaza is reached, Jadeh Iran reported on Sunday.
The news outlet cited an anonymous Arab diplomatic source, saying the source spoke to the news outlet two days ago. The source added that "If America succeeds in containing the situation, it will be a great success for the Biden administration and we can build on that."
The report comes as negotiations for a ceasefire and hostage release deal resume between Israel and Hamas in Cairo and as Israel continues preparations for a possible response to the Damascus airstrike that Syria and Iran blamed on Israel.
The airstrike targeted the Iranian consulate in Damascus last Monday, killing IRGC commander Mohammad Reza Zahedi - the main Iranian official responsible for operations in Syria and Lebanon - as well as his deputy and several other IRGC officers.
Iran's Supreme Leader, Ayatollah Ali Khamenei looks at the coffins of members of the Islamic Revolutionary Guard Corps who were killed in the Israeli airstrike on the Iranian embassy complex in the Syrian capital Damascus, during a funeral ceremony in Tehran, Iran April 4, 2024 (credit: Office of the Iranian Supreme Leader/WANA/Handout via Reuters)
Iran threatens 'harsh response' to Damascus airstrike
Since the airstrike, Iran has made repeated threats of a "harsh response" against Israel. US media has reported that US and Israeli intelligence believe that Iran could target Israel directly with cruise missiles and kamikaze drones. The reports indicated that the response could come by the end of the month of Ramadan, which is expected to end on Tuesday or Wednesday, depending on the sighting of the moon.
IDF Chief of Staff Herzi Halevi stressed on Sunday that Israel knows "how to handle Iran."
"We are prepared for this; we have good defensive systems and know how to act forcefully against Iran in both near and distant places. We are operating in cooperation with the USA and strategic partners in the region," said Halevi.
Jerusalem Post
Vizuri mkuu
Zingatia kuwa wakati Mandela anatamka hayo hawa magaidi wa Hamas walikuwa hawajakuwapo bado. Madiba asingeunga mkono hawa wahuni, wauaji..
Russia alianza kuvamia Ukraine kama Hamas walivyoanza kuvamia Isreal. Kwa hiyo tupo consistent