Iran yageuza gia angani, yasema haitalipa kisasi kwa Israel kama wakisitisha vita Gaza

Israeli Siku zote sio mwanzilishi wa vita.

1. Unajua vita huku ni kutokea 1947?

IMG_1567.jpg

2. Kwamba wewe ni mjuzi kuliko hata kina Madiba?

3. Huwa hata tunajihurumia kweli?

4. Aibu mbona naona miye? Looh!
 
Isarael waliishindwa enzi hizo ikijikusanya watu wake kutoka mataifa mbalimbali, wasahau kabisa kuipiga kwa sasa, inauwezo wa kufanya chochote kwenye taifa lolote hapo mashariki ya kati!

Unajua, Mungu aliyewapa hiyo nchi na hilo jina Israel, nchi hiyo inautisho wa ajabu na kuogofya, jiulize Umoja wa mataifa mbali na veto yao, wamefanya nini sasa?

Bado Israel ameendelea kuwatandika warabu kama watoto

Mpaka sasa Israel na watu wake, ni watu wanaotegemewa mno duniani, DUNIA INAIHITAJI ISRAEL kwa mambo ya technology kuliko watu wowote duniani

Unapokuwa na taifa la watu dizaini hiyo, unategemea Iran afanye nini sasa?
we ndo unawasemea??
we ni waziri wa ulinzi wa Iran
hiki n kichaa mkuu
 
Mmhh kweli kuna watanzania huwaambii kitu kwa israel, mpaka bendera kwenye magari yao wameweka na wanatembea nazo 🇮🇱

Al hamduliLlah najivunia sana sana kuwa Muislamu
 
Apa ndoo utaona tofauti ya Israel na Urrusi, yaan myahudi anakushughulikia faster haji kulalamika hovyo hovyo kama mrusis. Maana warusii utasikia mara ooooh magaidi yalikuwa yanaenda ukrane mara ooooh magaidi wametumwa na marekani, wazeee Israel hana pigo kama hizo
 
1. Mafundisho yetu ni ya amani tuwafundishe tunaowadhania kuwa washari Kwa vitendo.

2. Hata Petro alipomkata adui sikio, si kuwa alikumbushwa tu, bali Yesu alilirejesha kama lilivyokuwa.

3. Tupambane dhidi ya ubaya kwa wema.

Au nasema uongo ndugu yangu?
Mkuu,
Siyo kwa hawa magaidi wa sasa wa Kiarabu wanaoua hovyo watu wasio na hatia.
Ukiwachekea nyani utavuna mabua
 
1. Mkuu, nakubaliana nawe kuwa gaidi si wa kuvumilia.

2. Zingatia tofauti ya HAMAS, Palestina na magaidi wale Boko Haram, ISIS au Al Shabab:

IMG_1567.jpg

3. Kwa tafsiri ya Leon Panetta Ex-CIA, kwenye mzozo huu:

IMG_20240406_063942.jpg

4. Mtambue mwenyewe anayeuwa watu hovyo hapo.

5. Ni muhimu consistent kwenye kushutumu; huwezi mshutumu Russia kule Ukraine ila ukawa na mahaba na Israel hapa!
 
1. Mkuu, nakubaliana nawe kuwa gaidi si wa kuvumilia.
Vizuri mkuu
2. Zingatia tofauti ya HAMAS, Palestina na magaidi wale Boko Haram, ISIS au Al Shabab:

IMG_1567.jpg
Zingatia kuwa wakati Mandela anatamka hayo hawa magaidi wa Hamas walikuwa hawajakuwapo bado. Madiba asingeunga mkono hawa wahuni, wauaji..
5. Ni muhimu consistent kwenye kushutumu; huwezi mshutumu Russia kule Ukraine ila ukawa na mahaba na Israel hapa!
Russia alianza kuvamia Ukraine kama Hamas walivyoanza kuvamia Isreal. Kwa hiyo tupo consistent
 
Tuliambiwa watapiga ndani ya masaa 48, Israel ikasema thubutu. Sasa naona wameufyata na kuja na mengine.

Msichokijua nyie wavaa makobaz ni kwamba Israel ilipiga hao makamanda wa Iran ikijua inachokifanya na huyo kubwa gaidi lenu Iran amekua makini sana kutonasa kwenye huo mtego.

===============

Iran informed the US that it would refrain from responding to the airstrike in which senior Islamic Revolutionary Guard Corps (IRGC) commanders were killed in Damascus if a ceasefire in Gaza is reached, Jadeh Iran reported on Sunday.

The news outlet cited an anonymous Arab diplomatic source, saying the source spoke to the news outlet two days ago. The source added that "If America succeeds in containing the situation, it will be a great success for the Biden administration and we can build on that."

The report comes as negotiations for a ceasefire and hostage release deal resume between Israel and Hamas in Cairo and as Israel continues preparations for a possible response to the Damascus airstrike that Syria and Iran blamed on Israel.

The airstrike targeted the Iranian consulate in Damascus last Monday, killing IRGC commander Mohammad Reza Zahedi - the main Iranian official responsible for operations in Syria and Lebanon - as well as his deputy and several other IRGC officers.

Iran's Supreme Leader, Ayatollah Ali Khamenei looks at the coffins of members of the Islamic Revolutionary Guard Corps who were killed in the Israeli airstrike on the Iranian embassy complex in the Syrian capital Damascus, during a funeral ceremony in Tehran, Iran April 4, 2024 (credit: Office of the Iranian Supreme Leader/WANA/Handout via Reuters)

Iran threatens 'harsh response' to Damascus airstrike

Since the airstrike, Iran has made repeated threats of a "harsh response" against Israel. US media has reported that US and Israeli intelligence believe that Iran could target Israel directly with cruise missiles and kamikaze drones. The reports indicated that the response could come by the end of the month of Ramadan, which is expected to end on Tuesday or Wednesday, depending on the sighting of the moon.

IDF Chief of Staff Herzi Halevi stressed on Sunday that Israel knows "how to handle Iran."

"We are prepared for this; we have good defensive systems and know how to act forcefully against Iran in both near and distant places. We are operating in cooperation with the USA and strategic partners in the region," said Halevi.

Jerusalem Pom

Jerusalem Post
Mpango wa Iran ni kuishinikiza Marekani amwambie jamaa yake Israel asitishe vita ya Gaza kwa kudumu.Iwapo atafanikiwa Iran ataongeza ushawishi mkubwa sana Mashabiki ya Kati kidiplomasia.Iran anaicheza vizuri sana hii karata pande zote mbili.Ngoja tusubiri kama Israel itakubali kumaliza vita yake,kukubali kumaliza vita ni ushindi mkubwa kwa Hamas.Hapo Netanyau atajiweka karibu sana kuangushwa utawala wake.
 
Vizuri mkuu

Maridadi; nathibitisha.

Zingatia kuwa wakati Mandela anatamka hayo hawa magaidi wa Hamas walikuwa hawajakuwapo bado. Madiba asingeunga mkono hawa wahuni, wauaji..

1. Mkuu wewe si nabii kudhani Madiba asingewaunga mkono. Zingatia SA wajukuu wa Madiba wako nao na kesi imeunguruma ICJ huko.

2. Zingatia pia ANC kama HAMAS na wapalestina njia zote za kudai uhuru wao ziliposhindikana walibeba silaha, watu walikufa na wa kuwaita wahuni, wauwaji na magaidi walikuwapo. Madiba mwenyewe alikuwa blacklisted kama gaidi.

3. Uzi huu na mada yake unahusika sana hapa:

Kama Maji Maji au Mau Mau ilikuwa halali, iweje lawama kwa wapalestina?

Russia alianza kuvamia Ukraine kama Hamas walivyoanza kuvamia Isreal. Kwa hiyo tupo consistent

1. HAMAS hakuanza mgogoro na Israel. Mgogoro huu upo tangia 1947 huko. Mgogoro huo Madiba kafa kauacha:

IMG_1567.jpg

2. Au ni kauli yako kuwa mgogoro aliokuwa akiuongelea Madiba hapo ulikwisha?

3. Tumtafute mchokozi wa aina ya Russia hapa; kwani tunakubaliana Russia ni mwovu.
 
Back
Top Bottom