Ground warfare ni ngumu sana naona wengi humu mnachukulia poa sana. Wafanye mazungumzo ya amani maama Hamas kuwamaliza ni ngumu kuna watu zaidi ya million 1 Gaza pekee so wata recruit tena na tena na vita haitoisha zaidi ya civilians wa pande zote kufariki.
Israel jeshi lake linatengenezwa na reservists then uwapeleke front line dhidi ya watu wasio na cha kupoteza!! It'll be brutal combat and should be avoided at all costs.