Mtemi mpambalioto
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 3,436
- 7,955
mchina naye anapiga jaramba kumsaidia Iran! baada ya hapo Kiduku ataweka mguu kati! dunia inachafuka tunaanza tena Upyausimtaje urusi, anayesumbuliwa hadi na nchi kama ukrane kweli ndio umtaje?
iran hana cha kupoteza! israel ndio ana cha kupoteza!ninachoshangaa, mashambulizi ya makombora karibia 300 lakini Israel haijaumia wala nini. biden amesema netanyahu asijibu, ila bibi kasema ndani ya masaa 48 anajibu. iran anasema yeye ameshapiga na hapigi tena, hahaha, ati anaogopa anajitetea kuwa ameshamaliza kazi hivyo hatarusha tena ila israel wakimpiga atatumia vichwa vya nukes. cha ajabu, israel ina makombora ya nukes kati ya 100 hadi 200, iran hana hata moja ila nukes aliyeenrich wanasema anaweza kutengeneza mabom 3 tu ya nukes. mtu anayetarajiwa kutengeneza bomb anamtishia mtu ambaye tayari anayo. tuombe tu Mungu vita iishe, though haipendezi kuisha wakati iran ambaye ni threat kwa kila mtu, amesimama. anatakiwa kudondoshwa ili dunia ikae salama.
mchina hawezi kuingia kwenye vita yeyote ndugu, hataki kabisa kuharibu uchumi wake kijinga. hata hivyo ninachojiuliza, makombora yote yale, kiasi gani israel imeathirika? hicho ndicho kipimo cha uwezo wa kivita wa haya mataifa mawili.mchina naye anapiga jaramba kumsaidia Iran! baada ya hapo Kiduku ataweka mguu kati! dunia inachafuka tunaanza tena Upya
kweli urushe makombora karibia 200 au 300 na Israel hajaathirika chochote, wao wanaita ni total failure, tulitegemea moto uwe unawaka mtaani sasaidi israel, lakini hakuna lolote. ndicho ninachojiuliza.iran hana cha kupoteza! israel ndio ana cha kupoteza!
Israel kasaidiwa na West! US na UK! walikuwa na ndege kibao angani! lasivyo leo mngeongea mengine leo! na kwa taarifa yako iran ana tudude tule kibaoooo yaan vingi kama sukari kwemye kilokweli urushe makombora karibia 200 au 300 na Israel hajaathirika chochote, wao wanaita ni total failure, tulitegemea moto uwe unawaka mtaani sasaidi israel, lakini hakuna lolote. ndicho ninachojiuliza.
kweli urushe makombora karibia 200 au 300 na Israel hajaathirika chochote, wao wanaita ni total failure, tulitegemea moto uwe unawaka mtaani sasaidi israel, lakini hakuna lolote. ndicho ninachojiuliza.
Unahitaji ushahidi gani wa moja kwa moja? Wa Iran kuifadhili Hezbollah dhidi ya Israel?hilo halina ushahidi wa moja kwa moja....ila
Israeli kuushambulia ubalozi wa Irani ni jambo liko wazi kwa dunia kujua kuwa Israeli imeishambulia Irani.
hivyo sheria za kimataifa zinairuhusu Irani kujibu mashambulizi.
Nadhani hata wao Waisrael wanajua kwamba wakiachwa wapigane tu wenyewe, huo ndo utakuwa mwisho wao.Nyani Ngabu
Tulisema mapema katika huu uzi kwamba kinachosemwa ni vita ya Israel-Iran si kweli. Ni vita kati ya nchi za Magharibi na Iran. Hakuna tena siri, mataifa haya yalishiriki kuzuia drones na missile za Iran yakisema wazi ;
USA , UK, EU , Jordan na unknown Arab country ambayo ni Saudi Arabia.
UK imesema imetuma ndege zaidi za kijeshi
Mtu anayesema makombora hayakuwa na effect na kwamba yamezuiliwa na Israel si kweli, yamezuliwa na mataifa ya Magharibi. Rais wa Israel Isaac Herzog ametokea CNN akizishukuru nchi za Magharibi (allies).
Biden ameitisha kikao cha G7 ili kutengeneza ushirika wa kuishambulia Iran kwa jina la Israel, lakini ukweli unabaki pale pale IsraeL hamna kitu, bila msaada wa USA, EU na UK
By the way hili halikuwa shambulizi la vita. Wachambuzi wote wanasema ''iran ili telegraph' kila ilichokifanya ikiwa ni pamoja na kuwaeleza Marekani saa ngapi drone na missile zitaondoka. Biden alirudi Ikulu kwasababu hizo.
Kwahiyo nchi za Magharibi na Israel zilikuwa zina monitor kila hatua, hii haikuwa shambulio la vita
Tatizo linaloikabili Iran ni majirani maadui kama Saudi Arabia wanaotoa usaidizi kwa Israel na Marekani.
Shambulio lolote litatoa hapo kwasababu ni karibu na Israel ingawa Marekani wanaweza kushambulia kwa makombora kutoka popote. Challenge ni kwamba hawataki kujiingiza katika Vita kwasababu wataunganisha mataifa ya Uarabuni.
JokaKuu
Leo katika TV Israel wanasema ''Iran ni tishio middle east' kwamba hata nchi za Ulaya hazipo salama, kwamba USA na masilahi yake wapo matatani. Yote hayo ni kuhakikisha wanaungwa mkono kwasababu wakiachwa wenyewe ni wepesi na wanapiga vizuri.Nadhani hata wao Waisrael wanajua kwamba wakiachwa wapigane tu wenyewe, huo ndo utakuwa mwisho wao.
Yaani nchi zote hizo zimeisaidia Israel hiyo jana halafu watu wanashangilia ‘uwezo’ wa Israel 😀.
Bure kabisa.
Wamesharekebisha huo uharibifu mdogo.Uthibitisho uko wapi?
Huu unaona ushahidi tosha!?
Makombora mengi ya ballistic (zaidi ya 100) yamezuiwa na Israel yenyewe kupitia Arrow 2 na Arrow 3 defense systems kwa sababu uelekeo wa msafara wa hayo makombora ni tofauti na drones ama cruise missiles.Mtu anayesema makombora hayakuwa na effect na kwamba yamezuiliwa na Israel si kweli, yamezuliwa na mataifa ya Magharibi. Rais wa Israel Isaac Herzog ametokea CNN akizishukuru nchi za Magharibi (allies).
Kuna picha za satellite zimetoka, zinaonesha hakuna damage yoyote significant. Anayesema airbase haifai tena kwa matumizi ana ushahidi gani?Huu unaona ushahidi tosha!?
Aya.
Ziko wapi hizo picha?Kuna picha za satellite zimetoka, zinaonesha hakuna damage yoyote significant. Anayesema airbase haifai tena kwa matumizi ana ushahidi gani?
Ila pia USA imesaidia na Jordan ku intercept mashambulizi mengine.Makombora mengi ya ballistic (zaidi ya 100) yamezuiwa na Israel yenyewe kupitia Arrow 2 na Arrow 3 defense systems kwa sababu uelekeo wa msafara wa hayo makombora ni tofauti na drones ama cruise missiles.
Marekani, Uingereza na washirika wengine wa Israel wamezuia zaidi cruise missiles pamoja na drones ingawa Israel pia ilirusha ndege zake za kivita kwenda kufanya interceptions kadhaa nje ya mipaka yake.
Cruise missiles pamoja na drones zinapita usawa wa ndege vita ama chini yake. Ballistic missiles zinasafiri kwa kasi zaidi zikitumia projectile motion, na zinasafiri mpaka anga za juu ama nje kabisa ya atmosphere kabla ya kurejea ardhini kwenye target. Ndio maana idadi kubwa ya ballistic missiles kati ya 120 zilizofyatuliwa na Iran zilifanikiwa kuvuka interceptions za ndege na kukaribia anga la Israel.
Baadhi zilitunguliwa na defense systems za Israel zikiwa outer space kabla hata ya kugeuza uelekeo ili kurudi ardhini. Chache sana ndiyo zilikutana na mifumo ya ulinzi wa anga ya Marekani huko baharini. Huku chache pia zikipenya bila kuleta madhara.
Kwa kifupi, mifumo ya ulinzi wa anga ya Israel imeonesha uwezo mkubwa dhidi ya hizo ballistic missiles ambazo ndizo zilikuwa hatari zaidi kuliko cruise missiles na drones ukizingatia flight time pamoja na payload delivery. Ni mtu asiyefahamu kinachoendelea kuhusu haya masuala ndiye anaweza kusema Israel haijafanikiwa chochote dhidi ya hayo makombora.
Arrow?Makombora mengi ya ballistic (zaidi ya 100) yamezuiwa na Israel yenyewe kupitia Arrow 2 na Arrow 3 defense systems
Nadhani wewe huelewi kabisa. Defensive system ya Israel ni ya USA, EU na UKKwa kifupi, mifumo ya ulinzi wa anga ya Israel imeonesha uwezo mkubwa dhidi ya hizo ballistic missiles ambazo ndizo zilikuwa hatari zaidi kuliko cruise missiles na drones ukizingatia flight time pamoja na payload delivery. Ni mtu asiyefahamu kinachoendelea kuhusu haya masuala ndiye anaweza kusema Israel haijafanikiwa chochote dhidi ya hayo makombora.
Habari zako za kipuuuuzi unajitungia tungiaTulia dogo kamikaze drones zaid ya 100 zipo hewani saahizi zinaelekea Tel aviv subiri majibu. Hizo hazitunguliwi na kima yeyote .saahizi ndege ya Netanyahu imeondoka Jerusalem
Netanyahu kaishakimbia Jerusalem kamikaze zinaelekea IsraelMsije kuanza kusema Israel anapiga watoto na wanawake wenu mana vita haina macho