Iran yaishiwa, yasitisha kufadhili magaidi wa kiislamu

Hehehe muulize Mrusi ndiye hana hamu na HIMARS, zimemaliza wanajeshi wake wote hadi ameanza usaili upya, kulazimisha raia wajiunge jeshini wakafe kwa HIMARS, hata waarabu wakuu wa dini yenu wameziogopa sana kiasi cha kutaka kuzinunua.
 
Kule Ukraine kuna mpaka wa Taiwan wanapigana kwa ajili ya Ukraine, sasa ajabu iko wapi kwa Urusi, huko US njia ya Biden kushawishi watu waruhusu pesa na silaha, imebidi Zelensky aende leo , hii ni kazi ya Urusi
 
Putin kwa mara ya kwanza juzi amelialia hali ngumu kwenye uwanja wa mapambano, wanajeshi wamefyekwa wote, uchumi umeporomoka.
 
Putin kwa mara ya kwanza juzi amelialia hali ngumu kwenye uwanja wa mapambano, wanajeshi wamefyekwa wote, uchumi umeporomoka.
Labda Putin wa buza,, anae lia lia saa hivi yuko US kwa baba zake
 
Mkuu ukisema magaidi inatosha ifike mahala tutoe dhana kuwa magaidi ni waislam bana
 
Kwanza imemuuma sana huyo Putin, uwezo wa Zelensky kutamba mataifa makubwa.
Zelensky anatamba au jamaa wanamfanya uwanja wa vita? hivi unafikiri Urusi ingekuwa Kenya wale US wangeivamia mda mrefu na kuweka kibaraka wao, ila kwasababu Urusi ni nchi kubwa na makini, US na wenzake wasio pungua 30 kila siku vikao na kusafirisha mabomu
 
Alipewa masaa 24 aihame Ukraine, leo ndio bado amiri jeshi mkuu na anatamba dunia kwenye mataifa makubwa, imemuuma sana Putin ambaye nchi yake inaendelea kuporomoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…