MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
- Thread starter
- #81
Pole sana HIMARS hazina kazi kwasasa, Ukraine ameomba silaha ambazo hata EU wenyewe hawana kwa wingi wake, sasa sijui watazitoa wapi?UK watu wanataka mishahara iongezeke wanaambiwa wakulaumiwa ni Putin , serikali haina pesa zinakwenda Ukraine, huyu sasa ndio Urusi ametikisa Ulaya na US kwa ujumla wao
Hehehe muulize Mrusi ndiye hana hamu na HIMARS, zimemaliza wanajeshi wake wote hadi ameanza usaili upya, kulazimisha raia wajiunge jeshini wakafe kwa HIMARS, hata waarabu wakuu wa dini yenu wameziogopa sana kiasi cha kutaka kuzinunua.