Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 57,035
- 46,479
Afu wameangusha leo F35 na wamepiga askari wengi kule Kuwait wa kimarekan pia wamepiga UAE wameuwa wanajeshi wa kiamerikani na pia wamepiga carriers inayo beba Helicopter tu hizo ndio hasara alizo pata leo AmericaIran wamesema wazi wanapigana hii vita ya mwisho hamna mbwa yeyote atakayetamani tena kuichokoza Iran.
Afu wameangusha leo F35 na wamepiga askari wengi kule Kuwait wa kimarekan pia wamepiga UAE wameuwa wanajeshi wa kiamerikani na pia wamepiga carriers inayo beba Helicopter tu hizo ndio hasara alizo pata leo America
Wanaukumbi.
🇺🇸🇮🇷 Iran yakataa usitishaji vita wa muda uliopendekezwa na wapatanishi wa Pakistan
Afisa wa ngazi ya juu wa Iran alisema Tehran haitafungua tena Mlango-Bahari wa Hormuz kwa kubadilishana na usitishaji mapigano kwa muda na anaamini kwamba Marekani "haina utayari wa kusitisha mapigano ya kudumu."
Kusema kweli, Marekani na Israel hazina rekodi nzuri kuhusu kudumisha usitishaji mapigano.
Chanzo: Reuters
================
Iran rejects temporary ceasefire proposed by Pakistani mediators
A senior Iranian official said Tehran will not reopen the Strait of Hormuz in exchange for a temporary ceasefire and believes that the U.S. "lacks readiness for a permanent ceasefire."
To be fair, the U.S and Israel don't have a great track record when it comes to maintaining ceasefires.
Source: Reuters
View: https://x.com/marionawfal/status/2041056358200480102?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Sikatai nakubaliana na wewe, ila iran kwa mustakabali wake, inabidi ashikilie hapo, ni aidha dunia nzimaa iwe against marekani na israel ili mambo yakae sawa, ama waendelee na unafiki tuzidi kuumia kiuchumiMaisha yanazidi kuwa magumu, vita ikwishe maisha yalainike
Ujue tunaathirika hadi sisi, ona bei ya wese. Vita iishe tu.Iran ashikilie hapo hapo, hao wahuni watarudi mezani na kumchorea mchoro kabambe, hatochomoka awamu ya pili
Mie sikatai, lakin dunia ambayo tunaathirika lini tulipaza sauti kwa marekani kumpinga na ushenzi wake, je tunataka wateseke wachache.Ujue tunaathirika hadi sisi, ona bei ya wese. Vita iishe tu.