Iran yakataa usitishaji vita wa muda uliopendekezwa na wapatanishi wa Pakistan

Iran yakataa usitishaji vita wa muda uliopendekezwa na wapatanishi wa Pakistan

Mie sikatai, lakin dunia ambayo tunaathirika lini tulipaza sauti kwa marekani kumpinga na ushenzi wake, je tunataka wateseke wachache.
Anachokifanya iran ni kwamba kila mtu ateseke, aidha tutoke mafichoni tupaze sauti ama tukae kiwoga tufe mafichoni
Unajua USA anaogopwa na dunia nzima, sio UK, FRANCE NK, wote wanamuogopa simuoni IRAN akitoboa hii vita.
 
Madai ya "muda wa ushindi" wa Trump.

Machi 3: "Tulishinda vita."
Machi 7: "Tuliishinda Iran."
Machi 9: "Lazima tushambulie Iran."
Mar 9: "Vita inaisha karibu kabisa, na kwa uzuri sana."
Mar 11: "Kamwe hupendi kusema kuwa umeshinda mapema sana. Tulishinda. Saa ya kwanza ilikuwa imekwisha." Mar 12: "Tulishinda, lakini bado hatujashinda kabisa."
Mar 13: "Tulishinda vita."
Mar 14: "Tafadhali tusaidie."
Mar 15: "Ikiwa hautatusaidia, hakika nitakumbuka."
Mar 16: "Kwa kweli, hatuhitaji msaada wowote."
Mar 16: "Nilikuwa nikijaribu tu kuona ni nani anayenisikiliza."
Mar 16: "Ikiwa NATO haitasaidia, watateseka na kitu kibaya sana."
Mar 17: "Hatuhitaji wala hatutaki msaada wa NATO."
Machi 17: "Sihitaji idhini ya Congress kujiondoa kutoka NATO."
Mar 18: "Washirika wetu lazima washirikiane katika kufungua tena Mlango-Bahari wa Hormuz."
Machi 19: "Washirika wa Marekani wanahitaji kupata mshiko - piga hatua na kusaidia kufungua Mlango-Bahari wa Hormuz."
Machi 20: "NATO ni waoga."
Mar 21: "Mlango wa bahari wa Hormuz lazima ulindwe na nchi zinazoutumia. Hatuutumii, hatuhitaji kuufungua."
Mar 22: "Hii ni mara ya mwisho. Nitaipatia Iran saa 48. Fungua mlango wa bahari"
Machi 22: "Iran Imekufa"

Machi 23: "Tulikuwa na mazungumzo mazuri na yenye tija na Iran."
Machi 24: "Tunafanya maendeleo."
Mar 25: "Walitupa zawadi na zawadi ilifika leo. Na ilikuwa zawadi kubwa sana yenye thamani ya kiasi kikubwa cha pesa. Sitakuambia zawadi hiyo ni nini, lakini ilikuwa zawadi muhimu sana." Mar 26: "Fanya makubaliano, au tutaendelea kuwapuuza."
Machi 27: "Sio lazima tuwe pale kwa ajili ya NATO."
Machi 28: Hakuna nukuu kuu
Machi 29: Mazungumzo yaliyodaiwa yalikuwa yakiendelea
Mar 30: "Fungua Mlango-Bahari wa Hormuz mara moja, au ukabiliane na matokeo mabaya."
Machi 31: Ilidai kuwa makubaliano yalikuwa "karibu sana" na kwamba Iran "itafanya jambo sahihi"
Apr 1: "Tutaona kitakachotokea hivi karibuni."
Apr 2: Ilirudiwa kuwa kuna uwezekano wa makubaliano, huku ikionya kuhusu kuendelea kwa maonyo ikiwa sivyo
Apr 3: "Kitu kikubwa kitatokea."
Apr 4: Alisema Iran lazima ifuate "mara moja" au itakabiliana na matokeo zaidi.

Apr 5: "Fungua Mlango wa Kuzimu, enyi wanaharamu vichaa, la sivyo mtakuwa mnaishi Kuzimu - TAZAMA TU! Asifiwe Mwenyezi Mungu."
😂
Yaa April 5 😂😂😂
 
Unajua USA anaogopwa na dunia nzima, sio UK, FRANCE NK, wote wanamuogopa simuoni IRAN akitoboa hii vita.
Ndio inabidi ashikilie hapo hapo, ndio silaha yake kuu.
Ni kama vile ukumbane na mamba ama shark, ukishikilia jicho ndio hapo hapo usithubutu kuachia, hakuna kusitisha ugomvi wakati bado upo kwenye maji ikiwezekana toboa jicho kabisa, ndio vita isitishwe, utatoka kwenye maji salama ukijichanganya unageuzwa msosi
 
🇺🇸🇮🇷 Trump alisema ulinzi wa anga wa Iran "uliangamizwa 100%."

Kisha ndege ya kivita ilianguka kutoka angani ndani ya Iran.

Na hapo ndipo mambo yanapozidi kuwa magumu.

Mara ya mwisho Marekani kupoteza ndege ya kivita kutokana na mashambulizi ya adui ilikuwa mwaka 2003, wakati wa Iraq.

Sasa angalia saa 48 tu.

1x F-15E ilipigwa risasi juu ya Iran.

1x A-10 Warthog ilianguka karibu na Hormuz.

2x HH-60 Black Hawks ilipigwa wakati wa uokoaji.

4x Drones za MQ-9 Reaper zilipotea wakati wa operesheni.

Hilo si dogo.

F-15E pekee ni karibu dola milioni 30. Weka iliyobaki, na unaangalia mamia ya mamilioni yaliyopotea katika siku mbili.

Na hizi ni hasara tu ambazo Marekani imethibitisha.

Ambayo ndiyo sehemu ambayo watu wanaizingatia kimya kimya.

Kwa sababu ikiwa hivi ndivyo "kuangamizwa" kunavyoonekana...

basi chochote kilichobaki bado kiko kwenye mapambano.

Chanzo: Al Jazeera, CBS News, Military.com, The Week, Washington Post, CNN,
Wapi alidhibitisha huo UHARO wako tupe hiyo link tuone!!
 
Afu wameangusha leo F35 na wamepiga askari wengi kule Kuwait wa kimarekan pia wamepiga UAE wameuwa wanajeshi wa kiamerikani na pia wamepiga carriers inayo beba Helicopter tu hizo ndio hasara alizo pata leo America
Endeleeni kujifariji tu kuficha aibu baada ya Marekani kuwaokoa wale Marubani wa F-15 E!! Sasa hivi mnabwabwaja sana tu!!
 
Kuna IRAN. Halafu kuna MAGAIDI wa IRGC.

Ni wepi waliokataa?
 
Madai ya "muda wa ushindi" wa Trump.

Machi 3: "Tulishinda vita."
Machi 7: "Tuliishinda Iran."
Machi 9: "Lazima tushambulie Iran."
Mar 9: "Vita inaisha karibu kabisa, na kwa uzuri sana."
Mar 11: "Kamwe hupendi kusema kuwa umeshinda mapema sana. Tulishinda. Saa ya kwanza ilikuwa imekwisha." Mar 12: "Tulishinda, lakini bado hatujashinda kabisa."
Mar 13: "Tulishinda vita."
Mar 14: "Tafadhali tusaidie."
Mar 15: "Ikiwa hautatusaidia, hakika nitakumbuka."
Mar 16: "Kwa kweli, hatuhitaji msaada wowote."
Mar 16: "Nilikuwa nikijaribu tu kuona ni nani anayenisikiliza."
Mar 16: "Ikiwa NATO haitasaidia, watateseka na kitu kibaya sana."
Mar 17: "Hatuhitaji wala hatutaki msaada wa NATO."
Machi 17: "Sihitaji idhini ya Congress kujiondoa kutoka NATO."
Mar 18: "Washirika wetu lazima washirikiane katika kufungua tena Mlango-Bahari wa Hormuz."
Machi 19: "Washirika wa Marekani wanahitaji kupata mshiko - piga hatua na kusaidia kufungua Mlango-Bahari wa Hormuz."
Machi 20: "NATO ni waoga."
Mar 21: "Mlango wa bahari wa Hormuz lazima ulindwe na nchi zinazoutumia. Hatuutumii, hatuhitaji kuufungua."
Mar 22: "Hii ni mara ya mwisho. Nitaipatia Iran saa 48. Fungua mlango wa bahari"
Machi 22: "Iran Imekufa"

Machi 23: "Tulikuwa na mazungumzo mazuri na yenye tija na Iran."
Machi 24: "Tunafanya maendeleo."
Mar 25: "Walitupa zawadi na zawadi ilifika leo. Na ilikuwa zawadi kubwa sana yenye thamani ya kiasi kikubwa cha pesa. Sitakuambia zawadi hiyo ni nini, lakini ilikuwa zawadi muhimu sana." Mar 26: "Fanya makubaliano, au tutaendelea kuwapuuza."
Machi 27: "Sio lazima tuwe pale kwa ajili ya NATO."
Machi 28: Hakuna nukuu kuu
Machi 29: Mazungumzo yaliyodaiwa yalikuwa yakiendelea
Mar 30: "Fungua Mlango-Bahari wa Hormuz mara moja, au ukabiliane na matokeo mabaya."
Machi 31: Ilidai kuwa makubaliano yalikuwa "karibu sana" na kwamba Iran "itafanya jambo sahihi"
Apr 1: "Tutaona kitakachotokea hivi karibuni."
Apr 2: Ilirudiwa kuwa kuna uwezekano wa makubaliano, huku ikionya kuhusu kuendelea kwa maonyo ikiwa sivyo
Apr 3: "Kitu kikubwa kitatokea."
Apr 4: Alisema Iran lazima ifuate "mara moja" au itakabiliana na matokeo zaidi.

Apr 5: "Fungua Mlango wa Kuzimu, enyi wanaharamu vichaa, la sivyo mtakuwa mnaishi Kuzimu - TAZAMA TU! Asifiwe Mwenyezi Mungu."
😂
Aiseee, hili Zee ni chizi tu wala halijarogwa na yeyote!.
 
Tushangilie asee Allah akbar Allah akbar
View attachment 3568569

Kwaiyo mtu akivaa kanzu ni muislamu!!!

Waarabu pia wana Jamii kubwa wapo Christian wa Lebanon japo nawao ni Waarabu✝️

kuna Makabila mengi uko Iraq Waarabu lkn sio Waislam Syria Iran yenyewe Nk.

So kuvaa kanzu hakuwakilishi Dini kwasasa !!

Hata Nigeria. kujua uyu ni Muislamu uyu ni Christian ngumu mana wote wanavaa nguo za kufanana!!!

So picha km izo ndio mnadanganywa na Wachungaj wenu kisha mnatoa na pesa ya Sadaka 😜

na kupiga Mikelele Yesuuuu oyeeeeeee mchungaji oyeeeeeee

wakidai za Waislam.

Lkn Wachungaj wapo kimyaaa kuzungumzia WAZUNGU na Ushoga uliotamalaki kila kona kwao kiasi umeingia Makanisani mwao.😜

UISLAMU ndio Dini kwasasa imejidhibitisha kupinga Ushoga kimataifa mfano Qatar kwenye kombe la Dunia ✅️

Lkn Wachungaj wanafanya kazi Kipropaganda kwa Waumini na jamii kutafuta vi clip ili kudanganya waumini wao na Jamii.

cha kuchekesha Dunia kwasasa ipo mikononi mwa Waumini wao pamoja na jamii zetu kupitia simu 😜

wanajua wanaona jinsi Wazungu wanavyopigania Upatu wa Ushoga. Na sio Waraabu✍️
 
Leo ukitaka kwenda Ulaya ukidai wewe shoga unaweza pata ifadhi!!!

lkn nenda kwa Waislam kadai wewe Shoga na muonekano wako uwe ni Shoga kama utaona jua la kesho..✅️
 
Leo ukitaka kwenda Ulaya ukidai wewe shoga unaweza pata ifadhi!!!

lkn nenda kwa Waislam kadai wewe Shoga na muonekano wako uwe ni Shoga kama utaona jua la kesho..✅️
Usrjifariji na maneno ya kipumbavu maeneo mengi yanayoongoza kwa ushoga Tanzania ni yale ya mwambao yanayokaliwa na waislamu wengi kulikuwa na aina ya Muziki wa Mwambao aina ya Chakacha nyimbo nyingi zinaimbwa kwa "Code" za ushoga..mwambao unaweza kumkuta mzee wa miaka 70 akimwambia mtu "nitakufira" kufirana maeneo ya mwambao ni random story zinazofanyika katika maisha ya kila siku...
 
Pro Iran endelee kujifariji wakati kila siku viongozi muhimu wanaliwa vichwa, huyo Majtaba wanamlia timing tu muda wowote watapita naye, utapiganaje na watu ambao wana uwezo wa kumuua kila wamtakaye ? ukweli ni kwamba ndani ya iran kuna agent wengi sn wa Mossad na CIA..
 
Usrjifariji na maneno ya kipumbavu maeneo mengi yanayoongoza kwa ushoga Tanzania ni yale ya mwambao yanayokaliwa na waislamu wengi kulikuwa na aina ya Muziki wa Mwambao aina ya Chakacha nyimbo nyingi zinaimbwa kwa "Code" za ushoga..mwambao unaweza kumkuta mzee wa miaka 70 akimwambia mtu "nitakufira" kufirana maeneo ya mwambao ni random story zinazofanyika katika maisha ya kila siku...

Naomba usikimbie Mlokole wa Buza Twende kwa hoja!!

Ili Walokole wenzio wanaokusoma hapa kupitia jamii forum usiwaangushe kwakujibu kwa kutukana badala ya hoja muhimu!!!!

Taja maeneo gani ya pwani yana ushoga mwingi!!
Pwani kubwa kuna Dar kibaha mlandizi Kibiti Zanzibar Tanga mafya. wapi kwako ndio kuna Ushoga zaidi tuanzie apo??
 
Kabla ujakimbia walokole wenzio wasishangae ikiwa hoja hii ndogo utashindwa kujibu!

Mimi nasema WAZUNGU ndio wanasambaza Ushoga✍️

na sio Waraabu❌️ kwa hoja hiii

Ktk Africa nchi yenye Ushoga zaidi na ndio imeasirika zaidi ni Africa kusini uko Waarabu hakuna Waislam hakuna km wapo ndio wachache sana!!

lkn ndio nchi ya kwanza ktk Africa USHOGA umeruhusiwa Kisheria. ‼️
Africa kusini hakuna Mwarabu kuna WAZUNGU wengi Makaburu..

Nenda Angola ivyo ivyo Mwarabu hayupo UISLAM wakutafuta kwa torch. Njoo kwenye USHOGA umeruhusiwa Kisheria ‼️
tatizo lilelile MIZUNGU Yamejazana pale!!!

twende Zimbabwe❗️ napo MIZUNGU mingi chunguza USHOGA ni hatari !!!

Namibia❗️ ivyo ivyo Botswana ivyo ivyo

nenda KENYA pwani ya LAMU Mombasa napo WAZUNGU wamejazana waitaliano Napo Ushoga umetamalaki ❗️

Mashoga wanaotoka Lamu ndio wanakuja Tanga.chanzo ni Lamu ❗️

Zanzibar pia kuna tatizo chanzo WAZUNGU kama ujui we Mlokole wa Buza !!

Zanzibar kuna WAZUNGU wengi kuliko WAZUNGU wote waliokuwepo uku Bala.!!

Uwanja wa ndege wa Zanzibar upo biz zaidi ya Viwanja vyote vya Bala yani nimechanganya na wa Dae es Salaam!!!

Sababu kuu ni Safari za Wazungu.

Ajabu zaidi sio Tanzania tu Africa nzima nchi yoyote ambayo WAZUNGU sio wengi basi pia imesalimika na Ushoga !!

Hakuna nchi hata moja yenye Ushoga mwingi na hakuna WAZUNGU kwanini???

kama ipo mtu yoyote anaijua ruksa kuingia kwenye hoja saidia kuelimisha jamii taja tu ipi??

msaidieni Mlokole wenzeni najua chagua lake ni kukimbia tu!!

MWARABU UISLAM hawausiki na Ushoga
zaidi ni Propaganda tu za Wachungaj wahuni wa mjini!!!

Pwani kibiti rufiji Lindi mbona kuna Waislam wengi lkn hakuna Ushoga kwanini !!!

Kwann kuliko tu na Wazungu ndio kuwepo na Ushoga tafakari chukua atua weka mbali tako lako na MZUNGU !!!

Mzungu ukimuona popote hata mkutane Kanisani bado chunga Tako lako.

Zaidi jamii ya wamatumbi Cristian wakimuona MZUNGU kiakili wanaona kama mbele yake yupo mtu anafanana na YESU tatizo linaanzia apo!!!

Ndugu zangu YESU hafanani kabisa na MZUNGU Mzungu ni Pepo chafu Shetani kwenye hii Dunia kajifananisha na YESU kimipango kimchongo

WAZUNGU hawakuwepo kabisa eneo la Middle East vipi YESU awe MZUNGU🚮❌️
 
Naomba usikimbie Mlokole wa Buza Twende kwa hoja!!

Ili Walokole wenzio wanaokusoma hapa kupitia jamii forum usiwaangushe kwakujibu kwa kutukana badala ya hoja muhimu!!!!

Taja maeneo gani ya pwani yana ushoga mwingi!!
Pwani kubwa kuna Dar kibaha mlandizi Kibiti
Vitendo vya ufiraji kwa mikoa ya Pwani ni culture yao ya muda mrefu kuna misemo yao maarufu,"Raha ya Nanga itoke na tope" .. "Utamu wa Embe umenyewe kisha ukatiwe" ...Adhabu ya mgoni pwani akifumaniwa mwenye mke humfira mgoni, Kule kwenye mapombe ya kienyeji mtu akilewa na kudondoka vijana wa pwani hukushika kumfira wao wanaita Mdondo haya mambo ni nadia sana kuyakuta mikoani hususani kanda ya ziwa la sivyo utakalambwa viboko na sungusungu na kutengwa na jamii..
 
Back
Top Bottom