Asubuhi hii Umepandisha Majini yako na kuanza kubwabwaja ovyo!!!Kwaiyo mtu akivaa kanzu ni muislamu!!!
Waarabu pia wana Jamii kubwa wapo Christian wa Lebanon japo nawao ni Waarabu✝️
kuna Makabila mengi uko Iraq Waarabu lkn sio Waislam Syria Iran yenyewe Nk.
So kuvaa kanzu hakuwakilishi Dini kwasasa !!
Hata Nigeria. kujua uyu ni Muislamu uyu ni Christian ngumu mana wote wanavaa nguo za kufanana!!!
So picha km izo ndio mnadanganywa na Wachungaj wenu kisha mnatoa na pesa ya Sadaka 😜
na kupiga Mikelele Yesuuuu oyeeeeeee mchungaji oyeeeeeee
wakidai za Waislam.
Lkn Wachungaj wapo kimyaaa kuzungumzia WAZUNGU na Ushoga uliotamalaki kila kona kwao kiasi umeingia Makanisani mwao.😜
UISLAMU ndio Dini kwasasa imejidhibitisha kupinga Ushoga kimataifa mfano Qatar kwenye kombe la Dunia ✅️
Lkn Wachungaj wanafanya kazi Kipropaganda kwa Waumini na jamii kutafuta vi clip ili kudanganya waumini wao na Jamii.
cha kuchekesha Dunia kwasasa ipo mikononi mwa Waumini wao pamoja na jamii zetu kupitia simu 😜
wanajua wanaona jinsi Wazungu wanavyopigania Upatu wa Ushoga. Na sio Waraabu✍️
Mzee wa Uharo majini kapandisha huyu mungu wenu😂Asubuhi hii Umepandisha Majini yako na kuanza kubwabwaja ovyo!!!
Wanaukumbi.
🇺🇸🇮🇷 Iran yakataa usitishaji vita wa muda uliopendekezwa na wapatanishi wa Pakistan
Afisa wa ngazi ya juu wa Iran alisema Tehran haitafungua tena Mlango-Bahari wa Hormuz kwa kubadilishana na usitishaji mapigano kwa muda na anaamini kwamba Marekani "haina utayari wa kusitisha mapigano ya kudumu."
Kusema kweli, Marekani na Israel hazina rekodi nzuri kuhusu kudumisha usitishaji mapigano.
Chanzo: Reuters
================
Iran rejects temporary ceasefire proposed by Pakistani mediators
A senior Iranian official said Tehran will not reopen the Strait of Hormuz in exchange for a temporary ceasefire and believes that the U.S. "lacks readiness for a permanent ceasefire."
To be fair, the U.S and Israel don't have a great track record when it comes to maintaining ceasefires.
Source: Reuters
View: https://x.com/marionawfal/status/2041056358200480102?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
UP DATE========
BREAKING:
🇮🇷🇺🇸🇮🇱Iran has submitted its response to Pakistan regarding the U.S. 45-day ceasefire proposal – IRNA
Iran rejects a temporary ceasefire and demands the following:
– A permanent end to the war on all theatres in the Middle East, including Lebanon and Gaza, with guarantees.
– The dismantling of all U.S. bases in the Persian Gulf.
– Implementation of a new transit protocol that recognizes Iranian control over the Strait of Hormuz and allows Iran to collect tolls.
– The lifting of economic sanctions on Iran.
– Acknowledging Iran’s right to peaceful uranium enrichment per its inherent right under the NPT and the United Nations charter.
– The paying of reparations for economic damages suffered during the war.
Uzuri iran kaishawashtukia ndio maana kakamatia hapo hapo hateterekiIran ashikilie hapo hapo, hao wahuni watarudi mezani na kumchorea mchoro kabambe, hatochomoka awamu ya pili
Hii mbuzi inahangaika tu kila siku shenzi kabisaMadai ya "muda wa ushindi" wa Trump.
Machi 3: "Tulishinda vita."
Machi 7: "Tuliishinda Iran."
Machi 9: "Lazima tushambulie Iran."
Mar 9: "Vita inaisha karibu kabisa, na kwa uzuri sana."
Mar 11: "Kamwe hupendi kusema kuwa umeshinda mapema sana. Tulishinda. Saa ya kwanza ilikuwa imekwisha." Mar 12: "Tulishinda, lakini bado hatujashinda kabisa."
Mar 13: "Tulishinda vita."
Mar 14: "Tafadhali tusaidie."
Mar 15: "Ikiwa hautatusaidia, hakika nitakumbuka."
Mar 16: "Kwa kweli, hatuhitaji msaada wowote."
Mar 16: "Nilikuwa nikijaribu tu kuona ni nani anayenisikiliza."
Mar 16: "Ikiwa NATO haitasaidia, watateseka na kitu kibaya sana."
Mar 17: "Hatuhitaji wala hatutaki msaada wa NATO."
Machi 17: "Sihitaji idhini ya Congress kujiondoa kutoka NATO."
Mar 18: "Washirika wetu lazima washirikiane katika kufungua tena Mlango-Bahari wa Hormuz."
Machi 19: "Washirika wa Marekani wanahitaji kupata mshiko - piga hatua na kusaidia kufungua Mlango-Bahari wa Hormuz."
Machi 20: "NATO ni waoga."
Mar 21: "Mlango wa bahari wa Hormuz lazima ulindwe na nchi zinazoutumia. Hatuutumii, hatuhitaji kuufungua."
Mar 22: "Hii ni mara ya mwisho. Nitaipatia Iran saa 48. Fungua mlango wa bahari"
Machi 22: "Iran Imekufa"
Machi 23: "Tulikuwa na mazungumzo mazuri na yenye tija na Iran."
Machi 24: "Tunafanya maendeleo."
Mar 25: "Walitupa zawadi na zawadi ilifika leo. Na ilikuwa zawadi kubwa sana yenye thamani ya kiasi kikubwa cha pesa. Sitakuambia zawadi hiyo ni nini, lakini ilikuwa zawadi muhimu sana." Mar 26: "Fanya makubaliano, au tutaendelea kuwapuuza."
Machi 27: "Sio lazima tuwe pale kwa ajili ya NATO."
Machi 28: Hakuna nukuu kuu
Machi 29: Mazungumzo yaliyodaiwa yalikuwa yakiendelea
Mar 30: "Fungua Mlango-Bahari wa Hormuz mara moja, au ukabiliane na matokeo mabaya."
Machi 31: Ilidai kuwa makubaliano yalikuwa "karibu sana" na kwamba Iran "itafanya jambo sahihi"
Apr 1: "Tutaona kitakachotokea hivi karibuni."
Apr 2: Ilirudiwa kuwa kuna uwezekano wa makubaliano, huku ikionya kuhusu kuendelea kwa maonyo ikiwa sivyo
Apr 3: "Kitu kikubwa kitatokea."
Apr 4: Alisema Iran lazima ifuate "mara moja" au itakabiliana na matokeo zaidi.
Apr 5: "Fungua Mlango wa Kuzimu, enyi wanaharamu vichaa, la sivyo mtakuwa mnaishi Kuzimu - TAZAMA TU! Asifiwe Mwenyezi Mungu."
😂
Na ikitoboa hii mbungi hakuna atakaeigusa kweliIran wamesema wazi wanapigana hii vita ya mwisho hamna mbwa yeyote atakayetamani tena kuichokoza Iran.
Wewe humuoni ila hii vita iran kaishatoboaUnajua USA anaogopwa na dunia nzima, sio UK, FRANCE NK, wote wanamuogopa simuoni IRAN akitoboa hii vita.
Anaanza poteza masoko, mchina na wengine watafakamia hapo..🚨 BREAKING: Rais Trump anasema anafikiria kukata BIASHARA YOTE na Uhispania kutokana na wao kutoshirikiana KABISA na Amerika na NATO
"Hawashirikiani KABISA. Nadhani wamekuwa wabaya SANA — si wazuri hata kidogo. Tunaweza kukata biashara na Uhispania!"
Wamekuwa wabaya sana kwa NATO... Wanapata ulinzi, lakini hawataki kulipa sehemu yao ya haki. Wamekuwa hivyo kwa miaka MINGI kweli."