Iran yakiri kuitungua "kimakosa" ndege ya Ukraine

Hayanaga akili siku zote.

Hata ingekuwa ya USA ndege si ya kijeshi unatungua ya nini?
 
UPDATE: "I Wish I Had Died" instead of seeing Ukranian Airlines Crash, Iranian Revolutionary Guards aerospace commander says. [Newsweek]
 
Huu ni ukilaza au uzwazwa?Ni nani mpumbavu atembee na karatasi eti siri?
Kama ni electronic document hakuwa na njia nyingine ya kuipeleka?

Acheni kutetea ushetani kuua watu bila hatia
Sent using Jamii Forums mobile app
 


umelenga sawia.

Takkbiirr ...Allahu Akbar!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iran wanastahili kuadhibiwa kwa kuua watu wengi America ameuwa watu wangapi? Au nyinyi ndio wale nyani kwa hamuoni makalio yenu mnaona ya wenzenu? Tumieni akili basi za kuzaliwa mnapocomment

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mabadiliko ya madai.

Wanadai kuwa ndege ilikuwa katika mwenendo ama uelekeo wa kawaida tu na wala haikugeuza kurudi ilikotoka.

Kuhusu kama ilitunguliwa kwa bahati mbaya ama kwa makusudi, uchunguzi huru utakapofanyika, huenda ukabaini hilo hapo baadaye.
 
Angalau basi muwe mnafuatilia taarifa ya habari. Kama hilo ni gumu angalau tumia sehemu yako ya akili japo kidogo.

Anga ya Iran ilikuwa kwenye war zone! Na radar huwa haionyeshi ndege ya raia au ya kijeshi. Kinachoonekana ni object tu. Kwenye tension waliyokuwa nayo Iran ya kurusha makombora kwenye kambi ya Amerika nchini Iraq unafikiri kitakachokatiza kwenye anga yao watakiuliza?

Jaribu kufikiri tu! Hata Tanzania ingelikuwa kwenye hiyo hali halafu iwe ndege inapita kwenye anga yake itaiuliza?

Na swali jengine, kwa nini hiyo ndege ikatize kwenye anga ya nchi ambayo ilikuwa kwenye hali ya kushambulia na kujihami (war zone)?
 
Hahahahahahaha
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa ni nani zuzu???--- si wewe unayeiga kuapa kwa jua !![emoji1787], kama kiapo hicho ni kibaya mbona umeiga??.--- hivi wewe kweli unajitambua??.

Maana yake isiwe ninaongea na mtu asiyejitambua!!!
Kwani nmesema kiapo ni kibaya???
Kama kibaya kwanini niliapa mwanzoni??we vipi??wakati nilipoapa we ndo ukanijia juu na kuanza kunitukana eti nitachomwa na jua ninaloliapia...namimi nikakuambia nimemuiga Allah basi mwambie Allah nayeye atachomwa na ilo jua analoliapia au unamuogopa?
 
Nasema kama walikua majasusi wamepata walichokistahili sanaa

Kama walikua raia wakawaida jamaa wamefanya unyama wahali yajuu kabisaaa....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Former member of the United States Senate Daniel Patrick Moynihan alisema
"Everyone is entitled to his own opinion, but not to his own facts."

Ndege ya Ukrain ilichelewa kutuma signal wakati Iran inarusha makombora. Kilichotokea nayo ikafyatuliwa kombora. Unfahamu hili?

Iran amewekewa vikwazo na Marekani na Boeing ni kampuni ya Marekani ambayo kutokana na vikwazo haitakiwi kuwa na mahusiano na Iran. Umejiuliza na hili?

Ukraine, Canada na nchi nyenginezo ziliruhusiwa kwenda Iran kwa ajili ya uchunguzi. Iliyokataliwa ni Amerik tu! Unafahamu hili? Wewe kweli taarifa ya habari unaangalia?

Mbona mnaandika vitu vya ajabu sana?
 
...kinaachoonekana ni object tu...
Hammaz, kwani wewe una knowledge yoyote kuhusu masuala ya rada au utaalamu wako uko nyuma ya keyboard?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Me nakuletea theories tu mkuu.
Theory ya pili inasema inawezekana ndege ilibeba sensitive information kwa usiri/usalama wa yanayoendelea Iran/Iraq. Hasahasa kwenye ile timing ya missile walizorusha.. Iran had no choice but to bring it down.
Haya mambo huwa yanatokea sana! Tatizo watu hawajui kwa sababu hawataki kufuatilia mambo.

Urusi iliishusha ndege ya abiria sikumbuki ni ndege ya nchi gani ilipita karibu na usawa na Chuo chao cha Ujasusi.
 


Wewe nimegundua ni mtu usiyetafakari mambo, huwa unakurupuka tu.

Wewe umetoa kiapo (cha jua) kwa mambo ya Uongo, Binadamu huwa anaapa kwa Mungu na hata maraisi hushika vitabu vya Mungu wanapoapa kwa maana ya kuapa mbele ya Mungu, sasa Mungu anapoapa unataka aape mbele yake mwenyewe?? that's nonsense and inconceivable. Mungu anaapa kwa jua kwasababu jua ni Universal object, hakuna binadamu aliyekuwa kamili ambaye hajaliona jua katika uhai wake hivyo jua linathibitisha uwepo wa Mungu na utukufu wake, kwa kuliona jua tu mtu unaweza kutambua uwepo wa Mungu nk, Mungu hawezi kuapa kwa kitu ambacho hakina athari kwa wanadamu kwa ujumla hiyo kwa kifupi ndiyo falsafa behind God oaths.

Sasa wewe unajifanya Mungu kwa kula kiapo cha jua kwa habari yako ya uzushi, uongo na uzandiki, Nakutahadharisha kama Binadamu mwenzangu kwamba; you are exceeding the limits, God will catch you unexpectedly, I argue you to stop immediately. Qur'an is His words no one dared to play with it remained safe. After this warning I surely believe that you will grasp the point.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…