Amna unyama mkuu 100% iyo ndege kama iliruka wakati makombora yakirushwa ilikuwa na tarifa nzuri sana za sehemu makombora yalipo tokea! Pia juwa Israel huwa wana juwa kutumia ndege za abiria kujifichia na kupiga na kusepa!Nasema kama walikua majasusi wamepata walichokistahili sanaa
Kama walikua raia wakawaida jamaa wamefanya unyama wahali yajuu kabisaaa....
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini kwa hili kidogo nmegundua nimemzidi tena Allah kwakuwa yeye amejisahau akaapa hadi kwa vitu visivo na athari yoyote wala sio kila Mtu amevionaWewe nimegundua ni mtu usiyetafakari mambo, huwa unakurupuka tu.
Wewe umetoa kiapo (cha jua) kwa mambo ya Uongo, Binadamu huwa anaapa kwa Mungu na hata maraisi hushika vitabu vya Mungu wanapoapa kwa maana ya kuapa mbele ya Mungu, sasa Mungu anapoapa unataka aape mbele yake mwenyewe?? that's nonsense and inconceivable. Mungu anaapa kwa jua kwasababu jua ni Universal object, hakuna binadamu aliyekuwa kamili ambaye hajaliona jua katika uhai wake hivyo jua linathibitisha uwepo wa Mungu na utukufu wake, kwa kuliona jua tu mtu unaweza kutambua uwepo wa Mungu nk, Mungu hawezi kuapa kwa kitu ambacho hakina athari kwa wanadamu kwa ujumla hiyo kwa kifupi ndiyo falsafa behind God oaths.
Sasa wewe unajifanya Mungu kwa kula kiapo cha jua kwa habari yako ya uzushi, uongo na uzandiki, Nakutahadharisha kama Binadamu mwenzangu kwamba; you are exceeding the limits, God will catch you unexpectedly, I argue you to stop immediately. Qur'an is His words no one dared to play with it remained safe. After this warning I surely believe that you will grasp the point.
Ata apa kwetu au nchi yoyote ata burundi ndege za abiria zina julikana kuanzia zinaporuka na ziki cross sehemu ambo hairuhusiwi hupewa onyo kwa tarifa yako ata apa kwetu uki cross kwenye anga zao wana kushusha!...kinaachoonekana ni object tu...
Hammaz, kwani wewe una knowledge yoyote kuhusu masuala ya rada au utaalamu wako uko nyuma ya keyboard?
Sent using Jamii Forums mobile app
Angalau kidogo maelezo yako nimeyaeelewa mkuu.Ndege za abiria kuna wakati mwingine hulazimika kutunguliwa na neno makosa sio makosa!!
wakati mwingine hizi ndege za abiria hutumika kutuma tarifa Na picha!!
Former member of the United States Senate Daniel Patrick Moynihan alisema
"Everyone is entitled to his own opinion, but not to his own facts."
Ndege ya Ukrain ilichelewa kutuma signal wakati Iran inarusha makombora. Kilichotokea nayo ikafyatuliwa kombora. Unfahamu hili?
Iran amewekewa vikwazo na Marekani na Boeing ni kampuni ya Marekani ambayo kutokana na vikwazo haitakiwi kuwa na mahusiano na Iran. Umejiuliza na hili?
Ukraine, Canada na nchi nyenginezo ziliruhusiwa kwenda Iran kwa ajili ya uchunguzi. Iliyokataliwa ni Amerik tu! Unafahamu hili? Wewe kweli taarifa ya habari unaangalia?
Mbona mnaandika vitu vya ajabu sana?
Sasa kama uwezo mdogo kwanini mashariki ya kati amani imeshindwa kupatikana?Huwezi kumuua raia wa Marekani kiboya hivyo achilia mbali kiongozi yeyote yule wa juu. Uwezo wa Iran mdogo sana hawa ni level za Malawi
Sasa kama uwezo mdogo kwanini mashariki ya kati amani imeshindwa kupatikana?
Mambo mengine hayahitaji akili ya PHD.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aliyesema kwamba hyo ndege ilikuwa na majasusi ni Nani? Ina mana hyo ndege iliruka nje ya route yake ya kawaida badala yake ikapita eneo la jeshi? Kama walikuwa na waswas nayo Kwa nn wasingeamuru irud airport Kwa uchunguzi ? Ina maana air defence na airport operetta hawana mawasiliano? Badala yake immediatey baada ya kuruka wakaua raia zao ambao nyie mnatuaminisha ni majasusi...na majina Yao yamekuwa released na ndugu zao wameomboleza......Amna unyama mkuu 100% iyo ndege kama iliruka wakati makombora yakirushwa ilikuwa na tarifa nzuri sana za sehemu makombora yalipo tokea! Pia juwa Israel huwa wana juwa kutumia ndege za abiria kujifichia na kupiga na kusepa!
Mkuu ndege ikisharuka kurudi chini sio kama basi wakati mwingine Adi ichome mafuta kiasi Fulani !!Aliyesema kwamba hyo ndege ilikuwa na majasusi ni Nani? Ina mana hyo ndege iliruka nje ya route yake ya kawaida badala yake ikapita eneo la jeshi? Kama walikuwa na waswas nayo Kwa nn wasingeamuru irud airport Kwa uchunguzi ? Ina maana air defence na airport operetta hawana mawasiliano? Badala yake immediatey baada ya kuruka wakaua raia zao ambao nyie mnatuaminisha ni majasusi...na majina Yao yamekuwa released na ndugu zao wameomboleza......
Battle ya USA na Iran ni one way battle,
Na swali jengine, kwa nini hiyo ndege ikatize kwenye anga ya nchi ambayo ilikuwa kwenye hali ya kushambulia na kujihami (war zone)?
Hilo huenda likajulikana hapo baadaye.
Reaction ya PM wa Canada na Rais wa Ukraine hazina utofauti. Both Canada na Ukraine zime demand full investigation.kama ni bahati mbaya kwanini PM wa Canada anang'ang'ana apate full/complete investigation ndani ya Iran ( tofauti na reaction ya raisi wa Ukraine) wakati anajua ni bahati mbaya?
Ndege haikukatiza kwenye anga la Iran bali hapo ndipo ilipoanzia safari yake.Na swali jengine, kwa nini hiyo ndege ikatize kwenye anga ya nchi ambayo ilikuwa kwenye hali ya kushambulia na kujihami (war zone)?
Ndege ilitokea hapohapo tehran.Hivi hii Ndege ilikatiza anga la Iran au iliruka kutokea hapo hapo Tehran? Kama walikuwa kwenye hiyo Tension kwanini hawakufunga anga yao kwa hicho kipindi?
Must I teach you how to argue??
Raisi kisa anaapa Kwenye kitabu cha mungu ni lazima nimfuate na mimi?? Je siku akiwa shoga??nimuige??
Allah anataka tuwe watu wazuri kwa kuwa Allah ni mzuri....kwanini nisimuige matendo yake (allah)niwe namimi mzuri mbele ya macho yake kuliko kuiga maraisi ambao hawanipi chochote??kama Allah anasema tumuige mtume,,swali: sasa kati ya mtume na Allah mwenyewe Yupi ni mwema zaidi???
Hiyo falsafa ya God's oath namimi pia nimeitumia ndiyomaana nimeapa kwa jua kwasababu jua ni Universal object, hakuna binadamu aliyekuwa kamili ambaye hajaliona jua katika uhai wake hivyo jua linathibitisha uwepo wa Mungu na utukufu wake, kwa kuliona jua tu mtu unaweza kutambua uwepo wa Mungu nk, Mimi siwezi kuapa kwa kitu ambacho hakina athari kwa wanadamu Lakini kwa hili kidogo nmegundua nimemzidi tena Allah kwakuwa yeye amejisahau akaapa hadi kwa vitu visivo na athari yoyote wala sio kila Mtu ameviona
Quran 95:1. Naapa kwa tini na zaituni! 2. Na kwa Mlima wa Sinai! 2.----tini za zaituni sijawahi ziona na haziniathiri
Quran 100:1. Naapa kwa farasi wendao mbio wakipumua, 1---hawa farasi siwajui na hawaniathiri
Quran 90:1 I swear by this city, Makkah --sijawahi fika makka(sijui hata ikoje) na wala makka hainiathiri kitu
Hujajibu hoja...umetumia ile mbinu ya kuhamisha goli...kazi nimemalizaWewe ni mbumbumbu wa mambo ya dini huna tofauti na watu wa vijiweni wanaoshindia mchuzi wa pweza na kahawa.
Sasa kwanza soma ndani ya Biblia yako na ujifunze kwanza huko ndipo uje tujadili Qur'an, Qur'an ni deep sea na ni kwa ajili ya watu wenye akili na kutafakari mambo, angalia falsafa ya kula kiapo, mtu anatakiwa ale kiapo kwa nani na Mungu anatakiwa ale kiapo wapi na hakima (falsafa) ya kuapa ni ipi??---View attachment 1320371View attachment 1320371
Ilikataliwa na nani?Ukraine, Canada na nchi nyenginezo ziliruhusiwa kwenda Iran kwa ajili ya uchunguzi. Iliyokataliwa ni Amerik tu! Unafahamu hili?
Hujajibu hoja...umetumia ile mbinu ya kuhamisha goli...kazi nimemaliza