Walitakiwa wasitishe ndege za Abiria zisitembee kwenye anga lao kama walikuwa wanajua watafyatua makombora 12 kwenda Iraq na kwamba ni uwanja wa mapambano.Hivi mbona mnakuwa wapumbavu mmeshaambiwa ni makosa ya kibinadamu, vipi na marekani ilipo idungua ndege ya abilia na kuuwa raia miambili na uchafu ilikuwa ni mihemuko?
Wewe ndiye umeelewa hili picha. Na ndio maana wenyewe walijua mapema kama "ndege yao" imetunguliwa; likely walikuwa wakiifuatilia. Na kitendo cha kuwahi kukiri pia ni strategy nzuri kwa Iran kwasababu inapunguza "scope" ya uchunguzi ambao ungefanyika ambapo US na washirika wake wangetumia "uchunguzi" huo kuchunguza na vingine visivyohusika.Ndege za abiria kuna wakati mwingine hulazimika kutunguliwa na hulazimika kutunguliwa neno makosa sio makosa wakati mwingine hutumika kutuma tarifa Na picha!!
Jamaa walidhani ni drone nyingine ya Marekani imekuja kummaliza Ayatollah nini
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa somo ni Iran kujipiga wenyewe na wa Iran kuweka box la data kwapani na kukanusha vikali na kutukana USA.
Na leo wamekubali wao ndio wamesababisha ajali na kuua.
Kumbuka ni walitakiwa wasitishe ndege za abiria za kawaida zisiruke lakini wao wakarusha makombora nchi nyingine huku wakijua ndege za abiria zinaruka kama kawaida wala hawakuzisitisha.
Sasa anzia hapo ujinga wa USA mada tofauti kabisa mkuu, punguza. hasira
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani hii ni strategy yao kupunguza "scope" ya uchunguziIran wameniangusha sana,yaani wamejifunga wenyewe
Kiukweli, ushahidi ulikuwa mwingi mno usio na kificho na wala hakukuwa na haja ya kuutafuta sana kwa kufanya uchunguzi wa muda mrefu.
Mnavyopenda kutetea ujinga, mtakuja kutuambia alibonyeza button ni kibaraka wa USA, hata kama ilishatokea huko nyuma haina maana kwamba Iran hajafanya kosa,Akikujibu niambie unajua humu watu wanajuaga iran ndio mwenye makosa watu watu wake hawana thamani.ila wazungu ndio wako sawa kuua kutesa kuharibu nk.shuba miti us na washirika wake wanalipwa walchopanda
Yap ilitokea Tehran kwenda Ukrain na ndege ilipewa direction ya kupita ila inasemekana rubani alibadiri uelekeo na alikuwa anarudi alikotoka mfano ndege inatoka Dsm inaeleke mbeya ghafla inageuzia morogoro kurudi Dsm ,na haikutunguliwa na makombora yaliyoelekwezwa Iraq ni makombora ya ulinzi wa anga.
Acheni kupost vitu kishabiki, mtu kashaongezewa vikwazo, we unasema negotiations without preconditions
Teh teh eti walikuwa Makomando,so walikuwa wanaenda Iraq kuvamia kambi za U.S?wala sikushangai kuna mwenzako Elungata baada ya missile za Iran kurushwa kwenda Iraq alikuja hapa na kudai eti Iran katungua ndege Moja ya Kivita ya Marekani F-35 iliyokuwa inaenda Iran kushambulia kumbe Iran kajitia kidole yeye mwenyewe.Kuna theories nyingi; mojawapo ni kuwa wale raia wa Iran walikuwa commandos.. Ndege ikawa hacked, Iran radar zikaidetect kama ndege ya kivita ya adui.. wakaitia kitu.
Sasa uchunguzi wa Kazi gani wakati anajua ndege katungua yeye mwenyewe?MKWEPA KODI Iran haijakiri kutokana na mashinikizo lakini imekiri baada taratibu za kiniplomasia baina ya mataifa mawili kati yake na Ukraine! Iran ilishatoa tamko kuwa wenyewe Ukraine watakuwepo wakati wa uchunguzi wa tukio ila haitakuwa tayari hyo black box kuipeleka USA au kuwakabidhi Boeing.
Mkuu, unasema na mimi?Mnavyopenda kutetea ujinga, mtakuja kutuambia alibonyeza button ni kibaraka wa USA, hata kama ilishatokea huko nyuma haina maana kwamba Iran hajafanya kosa,
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu kwa kutetea, ni uzembe kuruhusu ndege kuruka wakati upi katika tahadhari ya kushambuliwa, USA walizui a ndege zao zote zisipite katika anga hiyo baada ya kupata taharifa za kushambuliwaIle ndege ilibadili route bila taarifa,wakati huo Iran anapiga base ya USA,kwa hiyo kwanza Iran alikuwa na tension ya anga lake kuingiliwa na USA.Ifahamike kwenye rada unaona object tu kujua civil plane mpaka mawasiliano inawezekana Iran hawakutaka kupoteza muda kuuliza kwanza...
Sio huyo tuu,kuna mmoja Elungata alidai kuwa Iran imetungua F-35 ya Marekani ilipokuwa inaenda kujibu mapigo ya missile na operation nzima ikahairishwa.Kuna Uzi mmoja kwa Macho yangu yanashuhudia Member mmoja akiapa kwa Mizimu ya kwao huko Mpwapwike kuwa Iran haiwezi kuitungua Ndege iliyokua na Abiria wengi toka Irani...
Leo yako wapi?