Walitakiwa wasitishe ndege za Abiria zisitembee kwenye anga lao kama walikuwa wanajua watafyatua makombora 12 kwenda Iraq na kwamba ni uwanja wa mapambano.Hivi mbona mnakuwa wapumbavu mmeshaambiwa ni makosa ya kibinadamu, vipi na marekani ilipo idungua ndege ya abilia na kuuwa raia miambili na uchafu ilikuwa ni mihemuko?
usa alipotungua ndege ya iran alikubali wa Iran walikatalia data hawampi Boeing mwenyewe wakaenda kujichimbia wanazichungulia wenyewe, pamoja na lugha za kejeli. Leo wao wana kubali yale yale.
Na wewe acha muhemko ukweli ndio huo.
Sent using Jamii Forums mobile app