Aaah atleast hii ni feasible explanation... Sio ile wanaosema yale mabom yaliyotumwa Iraq moja lilikosea likaipiga ndege...Iran inadai kuwa, waliitambua hiyo ndege kama ndege ya adui.
Kwa maana hiyo ni kuwa, waliiona hiyo ndege katika radar zao na kisha waliitungua ingawa wanadai ni "kimakosa".
Jamaa walidhani ni drone nyingine ya Marekani imekuja kummaliza Ayatollah nini
Sent using Jamii Forums mobile app
Unadhani watu maskini kama taifa lako linalotegemea misaadaHizo fidia lazima nchi ifilisike
Jamaa walidhani ni drone nyingine ya Marekani imekuja kummaliza Ayatollah nini
Sent using Jamii Forums mobile app
US alitungua kwakukusudia nandio maana baada ya lile tukio jamaa waloripua walipandishwa vyeo na US awali waligoma kuomba radhi.....Tambua hiyo mitambo inaongozwa na binadamu kwa hiyo suala la kukosea ni jambo la kawaida.
Hata marekani mnao msifu kuwa na ujuzi wa hali ya juu alisha itungua ndege ya abilia kimakosa sijui na yeye tusemeje.
Wewe sijui upo dunia ipi??---
Warusi walitungua kwa maksudi ndege ya Ukraine iliyokuwa maelfu ya Feet.
Kuna makombora special kwa kazi ya kutumgulia ndege tu-- they are so eccurate that they deviate a foot in long distances---- ask the Russians.
Kwahiyo hapo lengo la Iran ni kuuwa raia wake ambao ndo wengi waliokufa kwenye ajali hiyo.
Kakubali baada ya team kutaka kuundwa kwenda kuchunguza tukio zimaIran alikanusha mwanzo kwa sababu ya tension iliyokuwepo.
Mbna kakubali saiv
Sent using Jamii Forums mobile app
Na sababu za kuipiga zilikuwepo pia!!!!Huwezi piga kitu kinachotembea km800 kwa saa kimakosa. Walidhamiria
Sent using Jamii Forums mobile app
Marekani alishaipiga ndege ya abiria Airbus A300 flight 655 ya Iran wakafa watu 290.
Naona watu wanajisahaulisha au hawajui
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwez kuhalalisha kosa kwa kufanya kosa acha upumbavu, jitafakarAkikujibu niambie unajua humu watu wanajuaga iran ndio mwenye makosa watu watu wake hawana thamani.ila wazungu ndio wako sawa kuua kutesa kuharibu nk.shuba miti us na washirika wake wanalipwa walchopanda
Uwezo wa Iran mdogo sana kuliko hata inavyodhaniwa.
Kwanza walishindwa kumlinda General wao, huu ni udhaifu wa hali ya juu, hata Makonda analindwa bongo let alone Mabeyo.
Sasa wamekiri wenyewe kutungua ndege kwa kukosa utaalamu wa kutosha eti bahati mbaya baada ya kujaribu kuficha ila imeshindikana. Ni kwasababu hizi USA haitaki Iran iwe na nuclear sababu wanajua uwezo wao bado mdogo sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndo ulikuwa unaoongoza hapa kupinga Iran haijadungua hiyo ndege, naona sasa umehamisha goli!
Kama ni "kimakosa", basi hapo kuna uwezekano mkubwa wa kuwa na tatizo ama udhaifu wa kimfumo katika mtambo uliotumika kufyatua hilo kombora.Aaah atleast hii ni feasible explanation... Sio ile wanaosema yale mabom yaliyotumwa Iraq moja lilikosea likaipiga ndege...
Hii explanation though imekaa kisiasa zaidi kwani itakuwaje ndege inaondoka airport yenu na bado inawasiliana na air control wa nchi yenu halafu ikahesabiwa kama ndege ya adui??
Mkuu unachangia mada au?!USA ni kubwa jinga la dunia, siku zote linahangaikia kulinda ukubwa wake "by hooks or crooks"--- limeshikwa na taharuki na kuweweseka baada ya China kuja juu kiuchumi linaona ukubwa wake sasa unaelekea "finito".
Haa we mkenya naona unatumia kivuri kutungulia ndege kujifariji baada ya baba yako Trump kuufyata.Sasa uchunguzi wa Kazi gani wakati anajua ndege katungua yeye mwenyewe?
Sent using Jamii Forums mobile app