Iran yarusha Makombora takriban 200 kuelekea Israel, Rais Biden aagiza Jeshi la Marekani kuyazuia

Mchambuzi wa masuala ya vita kutoka kijiji cha Wajuaji akichambua masuala ya kivita.
 
Hapa kinachotakiwa sasa ni Hamas na Hizbollah na wao kuishambulia Israel.

Naamini kabisa endapo Hamas, Hizbollah, na Iran wakirusha makombora 500,000 kuelekea Israel, watafanikiwa kwa kiasi kikubwa.

Iron dome haiwezi kustahimili mvua ya makombora yote hayo.

Swali ni je, Iran na washirika wake wanao uwezo wa kurusha hayo makombora yote?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…