Kama ulifatilia kauli za Neta akiwa UNAisee kumekucha! Tel Aviv hakukaliki leo
Iran mbwembwe tu iron dome inapangua manati za irani kwa kwenda mbele.Huo ndio wakati wa Iran kuonyesha hasira dhidi ya mashambulizi ya Israel huko Lebanon.
Siyo moja tu yametua mengi hatariKuna moja limetua, lazima limeua.
Iran kaingia kwenye mfumo.
USA, NATO, UK Bado wanawasaidia Isreal mwaka wa 59 sasa. Hamas wamenyimwa msaada wa silaha mwaka wa 20 sasa. Lkn majeneza yanayorudishwa televiv kwa mamia. Waislam watashinda vita hivi hata wewe ukikasirikaSio kurusha tu, je na wao wakirushiwa wataweza kuhimili?
Hezbollah na Hamas kwisha habari yao ndio maana boss wao kaamua aingie mwenyewe.
Wanazi wanasema Iran alikuwa anasubiriwa, ngoja tuone. Mimi binafsi naamini Iran yuko overated
Ndege za kivita za Marekani zinajiandaa.... kushambulia
SanaaaaWakiristo wa jf wamefurahi sana.
Lilikuwa ni suala LA muda mkuu. Middle East Kimewaka Tuanze kuweka Akiba Hatujui Yajayo.Safi kwa Iran Alikuwa Anaenda Geuzwa kibondeKuna moja limetua, lazima limeua.
Iran kaingia kwenye mfumo.
Wakiristo wa jf hivi vita kati ya mayahudi na waislam..lkn Wakiristo wa jf naona mnafuraha nyinyiMoja ya yamini wanayoweka magaidi wa tehran & co
Namimi Nategemea aingie mzigoni iwe vita ya Moja kwa moja kati ya Iran na Israel. Sasa mambo ya Nentanyau kumpigia Putin asimamishe vita Iran asimshambulie yananishangaza.Kumbe ataishia kulipiza kisasi kwa kurusha makombora tu?
Mbona umesema Iran ameingia kwenye mfumo nikajua Israel atatangaza vita rasmi kuingia mzigoni aone moto wa Muajemi.
Wewe upo IDUNDA unaweza kuropaka lolote salamu wanazipata mabwana zenu Tel Aviv.