maranguvillage
JF-Expert Member
- Sep 8, 2023
- 935
- 2,096
Subiri uone Wanaume wameingia Kazini.Msalimie NetanyahuSasa ni rukhsa kwa Israel kupanua Ardhi yake upande wa Lebanon
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Subiri uone Wanaume wameingia Kazini.Msalimie NetanyahuSasa ni rukhsa kwa Israel kupanua Ardhi yake upande wa Lebanon
Mzigo huo😀😀Si usubiri yatue? Haraka ya nini?
Endelea kujilia kitimoto tu uongeze tumbo hilo haya mambo ya wanaume hufanywa na Iran tu.Iran atapigwa kama ngoma.
GOD BLESS ISRAEL
Sio kuhit target (maana hakuna anayeweza kuthibitisha moja kwa moja kwa sasa) sema kutua ardhini na kulipuka.nachek aljazeera naona kuna mabomu yamepiga target tena ni zaidi ya matano
Kwakweli hata mm sikutegemea kama Iran inaweza kuishambulia Israel kwa wakati huu.Hii leo imekuwa surprise kwa wengi ngoja tuone ndege ngapi zitapaa kuzuia. Na je Israel itatumia ndege au ballistic
Kwi kwi kwi🤣🤣🤣Mwisho wa aayatollah, ilikuwa lazima iwe hivyo.
Rais wa zamani wa Iran alionya MOSSAD wapo kila angle na kwenye kila mtandao ndani ya Iran
Nyengine hiyoHata zile 300 zilitoka video kama hizi kuwa yametua kumbe hamna kitu.
Hivi ni kweli huoni mzigo unavyoshuka na ku hit target?Hakuna madhara bado vitu vina dakwa angani huko huko
View: https://x.com/WarMonitors/status/1841163063040291307?t=DbFf-1u273W8Azb0MbvZyw&s=19
Mengine hayo yakitua kwenye base yao ya kijeshi huko Israel
View: https://x.com/WarMonitors/status/1841165312856666162?t=cIieWzAnJl4SW62phKZ2Og&s=19
Mbwembwr tu hizo za Iran inarusha kombora haliui hata mendeDuru la pili la makombora limekamilika, sahivi naona wanalaunch duru la tatu la makombora.
Iron dome imefanikiwa kuintercept makombora kadhaa wakati mengine yakipiga target na kuleta madhara kwa binadam na miundombinu
Iran katishia kama Israel ikijibu basi anapigwa mara kumi