Iran yarusha Makombora takriban 200 kuelekea Israel, Rais Biden aagiza Jeshi la Marekani kuyazuia

Iran yarusha Makombora takriban 200 kuelekea Israel, Rais Biden aagiza Jeshi la Marekani kuyazuia

Sasa ni rukhsa kwa Israel kupanua Ardhi yake upande wa Lebanon
Subiri uone Wanaume wameingia Kazini.Msalimie Netanyahu
IMG_20240903_215436.jpg
 
nachek aljazeera naona kuna mabomu yamepiga target tena ni zaidi ya matano
Sio kuhit target (maana hakuna anayeweza kuthibitisha moja kwa moja kwa sasa) sema kutua ardhini na kulipuka.
Mimi nimeona zaidi ya mabomu kumi kutua ardhini na kulipuka.
 
Duru la pili la makombora limekamilika, sahivi naona wanalaunch duru la tatu la makombora.
Iron dome imefanikiwa kuintercept makombora kadhaa wakati mengine yakipiga target na kuleta madhara kwa binadam na miundombinu
Iran katishia kama Israel ikijibu basi anapigwa mara kumi
Mbwembwr tu hizo za Iran inarusha kombora haliui hata mende
 
Back
Top Bottom