Hataki kuonekana mchokozi.Tabia ya Israel kusubiri Iran ashambulie haraka madhara ni kidogo ipo siku Iran atapata silaha kali zaidi atampiga Israel na zilete madhara
Na ndicho kafanya Kaua watu 40Ninavyojua hasira za Israel kutwangwa atazimalizia kwa kwenda kupiga Gaza na Lebanon kuwaua raia wasio na hatia
Hebu fikiria kile kinchi kirushiwe mabombo 1000 si kitaangsmia kabisaBREAKING:
Iran yasema Israel ikithubutu kurusha hata jiwe itapata kipigo zankile cha Jana..Netanyahoo alizoea kupigana na Wanamgambo amekutana na Jeshi kamili.
🇮🇷 Statement by the IRGC:
"if Israel responds, we will hit them a thousand times harder"
'In the name of God almighty; as a response to the killing of Ismael Haniyeh, Sayyed Hassan Nasrallah, and Abbas Nilforoushan, we targeted the heart of the Zionist occupying entity – if Israel responds, we will hit them a thousand times harder'
Wayahudi weusi wanachekesha sana maana kabla ya Iran kuishushia kipondo kikali Israel walikuwa wanasema Iran hawezi kurusha hata jiwe kwenye ardhi ya Israel vinginevyo itakuwa ndio mwisho wake.
Kilichofuata ni Iran kujipigia ndani ya ardhi ya Israel atakavyo bila kisasi kulipwa kwa wazi badala yake Israel ananywea anabaki kufanya vitendo vya kigaidi dhidi ya Iran tena kwa kificho akiogopa kukiri.
Hana uwezo huo. Kama mipango ya Iran tu kuishambulia Israel ni bwana wake Marekani ndiye alimsanua kwamba dogo unatwangwa muda sio mrefu unadhani ataweza nini yeye kama yeye?Kuna mmoja kadai wanaiweka kiporo😁😁😁
Israel inpambwa sana tofauti na uhalisia,hata mim nilishangaa kuona mossad inayosifiwa ni hatari,kushindwa kujua hatari itayowakumba kutoka kwa adui masaa machache baadae mpaka wanakurupushwa n USA 🙄Hana uwezo huo. Kama mipango ya Iran tu kuishambulia Israel ni bwana wake Marekani ndiye alimsanua kwamba dogo unatwangwa muda sio mrefu unadhani ataweza nini yeye kama yeye?
Iran ni tishio kwa EU nzima sembuse hako kataifa feki hapo kati?
Iran peke yake amekuwa akikaa vikao vingi na mataifa yote ya Ulaya na baadhi ya Asia ili tu kumpigia magoti Iran asiendelee ama apunguze mradi wake wa urutubishaji madini ya uranium yanayotengeneza makombora ya nyuklia.
Iran isichukuliwe poa kabisa ni tishio halisi linaloonekana sio propaganda za Israel kwamba ana nguvu kuwa shog,a tu.
😂😂😂😂 EU nzima???Mjerumani tu atachukua siku 3 kumalizana na iranHana uwezo huo. Kama mipango ya Iran tu kuishambulia Israel ni bwana wake Marekani ndiye alimsanua kwamba dogo unatwangwa muda sio mrefu unadhani ataweza nini yeye kama yeye?
Iran ni tishio kwa EU nzima sembuse hako kataifa feki hapo kati?
Iran peke yake amekuwa akikaa vikao vingi na mataifa yote ya Ulaya na baadhi ya Asia ili tu kumpigia magoti Iran asiendelee ama apunguze mradi wake wa urutubishaji madini ya uranium yanayotengeneza makombora ya nyuklia.
Iran isichukuliwe poa kabisa ni tishio halisi linaloonekana sio propaganda za Israel kwamba ana nguvu kuwa shog,a tu.
Hao uliwataja wote kunguruBraza Nyau kasema namalizana na Hibollah kwanza baadye anaifuata Iran, UK na USA wako nyuma ya Israel hiyo Iran itakuwa kama Iraq soon.
Huyu hapa anakata upepo kama ngiri pori😂😂Nasikia Netanyahu amekimbia, mwenye update alete hapa fastA
mpuuzi kweli kweli yaani...Wabongo useless hopeless idiots... Mambo ya watu mnajitia ujuaji mna update yanayojiri... Wakat kijijin kwa baba na mama yako wanalala njaa na huna msaada na hujui kinachoendelea...
Huyu hapa anakata upepo kama ngiri pori😂😂Nasikia Netanyahu amekimbia, mwenye update alete hapa fastA
😂😂Nasikia Netanyahu amekimbia, mwenye update alete hapa fastA
Sasa nyie si ndio ma reporters inabid mzimwage peupeeIsreal wanaficha sana vifo vyao kisa wataonyesha udhaifu wao na watadhalilika kwasbb ya kujisifu na propaganda kila wakati.
😂😂😂 Mkuu sina uhakika kama unafuatilia global news unless uwe unasubiri kuhadithiwa tu na mchungaji uchwara kanisani.😂😂😂😂 EU nzima???Mjerumani tu atachukua siku 3 kumalizana na iran