Iran yashambulia makao makuu (HQ) ya Mossad leo asubuhi huko Tel Aviv

Nilichogundua JF kuna maskhara mengi sana, unaweza ukakutana na taarifa humu lakini usikutane nazo pengine popote pale kwenye maistream.
But anyways, ni vita yao kivyao sisi tuna ya kwetu huko mpaka
Ndio maana taarifa zikiwekwa humu kunakua na supporting documents ili kwa wasiyo a mini inakwenda ku verify . Usipende kujifungia ndani
 
Tunaomba tu, USA+CHINA+URUSI na mwingine yeyote asiingilie Ili tuone kati ya Kulwa na Dotto nani atamtia mwenzake adabu. Maana Tuliaaminishwa sana kua Dotto ndio Kila kitu anaakili kuliko yeyote yule. Lakini Kulwa anatuonyesha upande Halisi wa nduguye.
 
Wewe muabudu wa allah mwenzio mwingine huko ambaye hata mshahara wa Uteuzi mpya hajaupata kapelekwa kwa mabikira 72

View: https://x.com/Osint613/status/1934927814622314781
Sasa hivi wanalialia ati Israel wanatumia majini

View: https://x.com/TheMossadIL/status/1934899625858617444
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…