Anaowalipua kila siku pale Gaza ni mashudu ya alizeti yale siyo?Israel Hana mentality ya kulipua raia
Alishasema akiingilia direct kumsaidia mkewe Israel hapo ndipo atazisambaratisha kambi zote za USA hapo mashariki at ya kati.Sasa mbona Iran alionya kwamba atakayeingilia nayeye kipondo kinamhusu vipi ashaanza kushusha kipondo kwenye base za US hapo middle east?
Ninacho mpendea Iran ni chizi mtakatifu piga nikupige anapenda kweli kweli yani.Anaowalipua kila siku pale Gaza ni mashudu ya alizeti yale siyo?
Hawezi kulipua makazi ya raia kule Iran kwasababu anajua vizuri Iran atawalipua raia wa Israel kwa maelfu ndani ya dakika chache.
Watu wanajadili mambo ya vita jinsi vinavyopoteza uhai, halafu kuna hiyo ng'ombe ya Lissu inaleta ujinga!!Makao makuu ya intelligence ya Israel (Mossad) Leo asubuhi.
Wachambuzi wanaeleza kuwa Iran ilitumia teknolojia ya juu kuudanganya mfumo wa kiulinzi wa Israel ambao ulirusha makombora 10 bila mafanikio.
Tuombe amani Hali ni tete. View attachment 3372854
Mbona unajitekenya na kucheka mwenyewe? Mpaka umejuwa wewe huku shithole country kwamba anamsaidia unadhani Iran yeye atakuwa hajui?Alishasema akiingilia direct kumsaidia mkewe Israel hapo ndipo atazisambaratisha kambi zote za USA hapo mashariki at ya kati.
Hanaga mbambamba anakulipa kisasi kabla maumivu hayajaisha.Ninacho mpendea Iran ni chizi mtakatifu piga nikupige anapenda kweli kweli yani.
Nawaza tu kama Iran wasingekuwa na vikwazo,wangekua mbali sana kijeshi,hata kimaendeleo,big up sana kwao,mungu ajalie waendelee na mwendo huo huo non-stop.
Hahaha kikubwa anaangalia hali ya mgonjwa tu hii safi kabisaHanaga mbambamba anakulipa kisasi kabla maumivu hayajaisha.
Hii ni siku ya tano mfululizo Mazayuni hawajapata usingizi na sasa ni mwendo wa dozi ya asubuhi na usiku.
Nafikiri Iran ataongeza dozi kadri siku zinavyozidi kwenda inaweza kuwa kutwa mara tatu.
Una kichwa kigumu mithili ya nazi mbata.Mbona unajitekenya na kucheka mwenyewe? Mpaka umejuwa wewe huku shithole country kwamba anamsaidia unadhani Iran yeye atakuwa hajui?
Hivi hii kauli ya kuwa asingekuwa na vikwazo mnaibebea bango sanaNawaza tu kama Iran wasingekuwa na vikwazo,wangekua mbali sana kijeshi,hata kimaendeleo,big up sana kwao,mungu ajalie waendelee na mwendo huo huo non-stop.
Wewe Mwarabu Koko ndo Una fuvu la ajabu !Una kichwa kigumu mithili ya nazi mbata.
Iran anajua Israel anasaidiwa na USA kwa kificho na kila mara USA amekuwa akikanusha kwamba hana mkono wake kwenye mgogoro huu.
Sasa Iran anataka Marekani ijitokeze hadharani kumsaidia mke wake Israel ndiyo apate dozi inayomstahili.
Israel ameshamchokoza kichaa na huwa Iran hatanii anakubutua kweli hana ahadi feki.
Sir...Makao makuu ya intelligence ya Israel (Mossad) Leo asubuhi.
Wachambuzi wanaeleza kuwa Iran ilitumia teknolojia ya juu kuudanganya mfumo wa kiulinzi wa Israel ambao ulirusha makombora 10 bila mafanikio.
Tuombe amani Hali ni tete. View attachment 3372854
Casualty rate ni 4 tu, haikuwa smart attackMakao makuu ya intelligence ya Israel (Mossad) Leo asubuhi.
Wachambuzi wanaeleza kuwa Iran ilitumia teknolojia ya juu kuudanganya mfumo wa kiulinzi wa Israel ambao ulirusha makombora 10 bila mafanikio.
Tuombe amani Hali ni tete. View attachment 3372854
Allah huichukua akili ya mtu na yule mtu akafanya mambo ya ovyo.Makao makuu ya intelligence ya Israel (Mossad) Leo asubuhi.
Wachambuzi wanaeleza kuwa Iran ilitumia teknolojia ya juu kuudanganya mfumo wa kiulinzi wa Israel ambao ulirusha makombora 10 bila mafanikio.
Tuombe amani Hali ni tete. View attachment 3372854
Tupo kinyongeSema we jamaa kila nyuz za Iran upo 🤣🤣🤣
Kwani yumo humu mzee Mohamed!!🤔🤔Mzee Mohamed Said niliwahi kusoma sehemu kuwa umewahi kuishi kama siyo kufika Iran. Je unaweza kutudokeza kwa ufupi wairan kwa ujumla ni watu wa aina gani na uwezo wao katika masuala mbalimbali? Natanguliza shukrani