Iran yashambulia makao makuu (HQ) ya Mossad leo asubuhi huko Tel Aviv

😁😁😁😁 Njoo uchukue Pepsi big mkuu
 
Safi sana.

Huyu ni Muajemi sio mwarabu watu hawaelelewi tu.

Na bado kipondo kitazidi hadi Israel aombe poo kmmmk.

Usiku wa mateso kwa Mazayuni umewadia tena.

Israel atajuta kuanzisha ugomvi asiouweza kwa Muajemi.
 
Dadeki Wamemchokoza Beya
😁😁😁😁
 
Kwamba unakataa makao makuu ya MOSSAD hayajashambuliwa ama unabisha nini?

Fuatilia vyombo vya habari vya kuaminika acha kuokoteza vijihanari huko kanisani kwa kondoo wenzako halafu unazileta humu kwa GT.
Uongo Njoo utam kolea
 
Halafu baadae tutakuja kulalamika Marekani anamsaidia Myahudi. Wabongo tunashida si kitoto.
 
Hawajui kuwa muajemi Alishawahi kutawala Dunia enzi hizo wakiitwa Persia
Safi sana.

Huyu ni Muajemi sio mwarabu watu hawaelelewi tu.

Na bado kipondo kitazidi hadi Israel aombe poo kmmmk.

Usiku wa mateso kwa Mazayuni umewadia tena.

Israel atajuta kuanzisha ugomvi asiouweza kwa Muajemi.
 
Mzee Mohamed Said niliwahi kusoma sehemu kuwa umewahi kuishi kama siyo kufika Iran. Je unaweza kutudokeza kwa ufupi wairan kwa ujumla ni watu wa aina gani na uwezo wao katika masuala mbalimbali? Natanguliza shukrani
Sir...

Mwaka wa 2006 Iran ilifanya Hawli ya Imam Khomeini na walialika watu kutoka kila pembe ya dunia na watu wa imani zote.

Nilibahatika kuwa mmoja wa walioalikwa kutoka Tanzania.

Kulifanyika Kongamano la Kimataifa na suala la nuclear lilizungumzwa na Iran ilishikilia kuwa wao hawana nia wala haja ya kuwa na bomu hilo.

Mimi nilijiuliza huu mwaliko wa ulimwengu mzima nini hasa nia yake?

Nilichokiona ni kuwa Iran ilitaka ieleweke duniani na kama kuna wasioijua nchi yao waifahamu.

Nadhani kwa kiasi fulani walifanikiwa.

Mimi nifanya vipindi kadhaa vya mahojiano na Radio Tehran Idhaa ya Kiswahili na naamini Idhaa nyingine zifanya vipindi mfano wa nilivyofanya mimi.

Bahati mbaya nilipotua uwanja wa ndege Dar es Salaam nikakamatwa kwa tuhuma za kuwa muuzaji wa mihadarati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…