Iran Yatangaza Ongezeko la Vifo Kutokana na Mashambulizi ya Israel

Na ile mnayoiita Vita ya msalaba ilikua ni ya kupigania P Diddy na wake zake wawe wengi?
 
Watu wanataka ndugu zao Netanyahu anatakiwa kupanda ndege kwenda Doha , watu wamechoka 😂😂😂

View attachment 3136093
Kinachowaunganisha waislamu wote hapo Middle East ni chuki kwa Israel na Israel ndiye ana balance Amani ya Middle East.
Bila Israel kuna vita kubwa sana ya Sunni na Shia yaani wavaa kobazi watauana balaa.
Israel ana faida kwa Sunni kuliko Iran kwa Sunni
 
Hapa Iran imeficha taarifa nyingi!
Hata Israel ilipopigwa na Iran op iliyopita ilificha taarifa nyingi juu ya uharibifu uliofanyika!
Nadhani hapa Iran haitarudia tena!
Maana viwanda muhimu vya kutengeneza Silaha vimeharibiwa!
Na ukitaka kujua kachapika angalia walivyo kimya.Hawaongelei kulipiza kabisa.
Tofauti na hapo mwanzo.walisema watalipiza.lakini.saa hizi wako kimya sana.
 
Waliojeruhiwa wamekugfa. Tatizo nini?

Iran hawana cha kuficha, wanasema ukweli. Wafiche au wadanganye ili iweje?

Iran wametagaza kuwa hawatalipa kisasi. Wanasamehe.

Hilo umesikia au vyombo vyako vya kikondoo havijatangaza?
Kwa nini Iran hatalipa kisasi?Anapingana na maandiko ya kitabu kitakatifu cha dini ya haki?
Ukweli ni kwamba strategically Iran kapigwa PRECISELY hana tena ujanja wa kurusha makombola hadi ajifanyie matengenezo ya muda mrefu.
Uzuri Mzayuni akishapiga anakaa kimya.
Lipizeni kisasi kiwakute kitu!
 
Hii ni ramli chonganishi, amani ya wasuni na washia ni juu lao wenyewe hakuna balance yeyote kutoka kwa Muisrael
 
Na Marekani katoa onyo kwa Iran huyu akishupaza shingo watamfutilia mbali.
 
Kwahio Iran anatumia s300 na s400 pekee kwenye ulinzi? Irani nzima inalindwa na s300 na 400 idadi 4.?
Ndugu yangu ili ujue kuwa Iran imefanywa vibaya sikiliza hotuba ya kiongozi wao mkuu, ndie aliekuwa anatoa amri Israel ipigwe lakini leo kasema swala hilo analiachia jeshi liamue na akatumia usemi kuwa uvamizi wa Israel usifanywe mzaha na wala usikuzwe (downplayed or exagerated), walichotaka Israel ni kuondoa uwezo wa Iran kufanya chochote next au kuwa tishio kwao na limefanikiwa. S300 ni mfumo unaoweza kuziona F35 ukikosa huo F35 inakuja hadi jikoni bila kuiona.
 
Kumbuka Israel anazo F35 na F22 za kutosha, ni s300 na s400 ambazo kidogo zinaweza kuipa tabu f22 na f35, sasa israel kaharibu mifumo hiyo zile sehemu nyeti, sikiliza vizuri hotuba ya Khamenei utajua nini kimewasibu Iran, mbaya ni kuwa Mosadi wako kila sehemu hata ndani ya serikali ya Irani yenyewe na jeshi la Israel halivamii sehemu bila taarifa ya Mosadi.
 
Na Iran aliweka wanaomlinda ili Israel asitoke kuja kwake nao ni Hamas, Houth na Hezebolah ambao tayari Israel kaanza nao hivyo Iran yuko pagumu kwa sasa.
 
Vita ni akili, siyo kujimwambafai.
 
Ndivyo mnavyodanganyana!?
Iran ana Bavaar-373 zingine ziko store zinasubiriwa kufungwa tu.
Kusema hivyo haimaanishi Iran haina uwezo wa kulipiza.
Hata Israel alipolipa kisasi cha May kwa kushambulia Isfahan Iran ilipuuzia lile shambulio na kuliita dhaifu na kutokulitilia maanani kama hili.
Ila utofauti hili kuna waliokufa,tarajia kisasi lazima.
 
Na Iran aliweka wanaomlinda ili Israel asitoke kuja kwake nao ni Hamas, Houth na Hezebolah ambao tayari Israel kaanza nao hivyo Iran yuko pagumu kwa sasa.
Israel hadi sasa huko Lebanon Hizbollah inaua askari wake hadi reservists wanagoma kwenda kuungana na askari wengine huko Lebanon.
Houthi wapo pale mpakani na Gollan heights.
Israel ni kama farasi anayekufa akirusha teke la mwisho.
Mtu pekee anayempa nguvu ni USA na UK na France.
Apart from that Israel ingekua ina collapse.
 
Sheikh Kitinku aliwadanganya hawa jamaa zangu wa Tandale kwa Tumbo wakasema shambulio halikuwa na madhara kabisa.

Ritz Webabu Adiosamigo Malaria 2

Na wengine wengi tulianzisha nyuzi nyingi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…