Bwana Tony Cipriano
JF-Expert Member
- Nov 17, 2022
- 4,401
- 9,555
Ukiacha mahaba ya dini ni kwamba kwa Iran Kupeleka ndege zake Israel kungitia hasara Iran! Ndege zake nyingi zingeshambuliwa njiani kwa sababu mataifa mengi ya waarabu hapo mashariki ya kati yalimruhusu Israel kutumia anga zao lakini sio Iran. Israel alizipunguza air defence system za Iran akiwa mbali na Iran.Adui namba moja wa ukiristo ni Israel.
Yaani Israel anawachukia wakiristo kuliko imani nyingine yoyote ile.
Pale Israel dini ya pili jwa ukubwa ni uislamu baada ya Uyahudi. Wakiristo wapo wachache sana na ndiyo wanaofanyiwa vituko na udhalilishaji kila uchwao na Wayahudi.
Lakini utakuta mkiristo anavyomshobokea Myahudi utadhani wana uhusiano wowote hata kwa mbali kumbe ni ardhi na mbingu.
Hahaha! Kumbe kina Yahaya Sinwar walikuwa wanafanya maigizo tu kuchinja watu na kubaka October 7?Umesahau kuiweka na Palestine na hata Mimi pia katika vita ya Putin namuumga mkono Putin
Hizo nchi ulizozitaja pamoja na Palestine zote ni nchi za waislam lazima tuwaunge mkono
Lakini hata siku Moja hauwezi kukuta Muislam anaziongelea hizo na machafuko yake akaingiza mambo ya udini dhidi ya ukristo Kwa sababu tunajua hizo vita sio za kidini ila ni za kisiasa
Kama ingekuwa hizo nchi Kuna vita Kwa sababu waislam wanazuiwa kufanya ibada ingekuwa ni vita ya kidini na waislam tungeingia front kuwasapoti
Hizo vita ni za kisiasa na kiuchumi na kitu ambacho nyinyi wagalatia hamkijui hizo vita zote Zina mkono wa Marekani Yani Marekani ndio mdhamini wa hizo vita na si Kwa sababu za kidini Bali ni sababu za kiuchumi
Ukanda wa Gaza Kuna hazina kubwa ya gasi lengo la Marekani kumiliki hiyo gasi Kwa hiyo anaipa siraha na pesa Israel Ili kufanikisha hilo lengo la kuwaondoa wapalestine ukanda wa Gaza Lile shambulio la Hamasi dhidi ya Israel walilipanga wenyewe Israel na Marekani Ili kuwazuga mambumbu kama nyinyi
Vita vya Lebanon na Syria pia mdhamini ni Marekani lengo lake aweke vibaraka wake katika hayo Maeneo Ili aweze kupitisha gasi kutoka Qatar kuenda Ulaya Kwa lengo la kuikomoa Urusi Yani nchi za Ulaya zitumie gasi ya Qatar na kuachana na gasi ya urusi na ndio maana hata Urusi pia wapo katika hizo vita hapo mashariki ya kati Ili kuzuia Hira za Marekani
Irani ana utajiri mkubwa wa uraniam na gasi lakini pia ni kikwazo Kwa Marekani kufanya unyonyaji katika nchi za mashariki ya kati ndio maana Marekani anataka kuung'oa utawa madhubuti wa Ayatollah aweke vibaraka wake Ili afanye anachotaka kama alivyofanya Saudi Arabia na Iraq
Wakati Sadam anauliwa na Marekani Anna Tibaijuka alikuwa UN kipindi kile juzi hapa amesema Sadam hajauliwa Kwa sababu ya Nyukilia na Ugaidi ila aliuliwa na marekani Kwa sababu za kiuchumi alikuwa anataka mafuta yake Yasiuzwe Kwa Dora na Anna Tibaijuka anasema walitumia nguvu nyingi kumuokoa lakini ilishindikana hasa ukizingatia tayari Marekani alishaeneza propaganda zake
Gadafi naee hivyo kisingizio ni ugaidi lakini sio kweli alivunja mikataba yote ya kinyonyaji nchini Kwa akapelekwa mahakamani akapigwa fain akasema nitalipa na kweli akalipa alipo maliza madeni akawa anataka kuanzisha system mafuta yake Yasiuzwe Kwa Dora ndio Marekani wakamua
Kwa hiyo waislam wakiichukia Marekani sio Kwa sababu za udini ila Kwa sababu ya dhuluma yake anayoifanya dhidi ya nchi za waislam wenzetu
Sasa nyinyi wagalatia mnadangwa kuwa sijui vita vya udini dhidi ya ukristo huo ni ujinga wenu
Hata nchi ya Kongo kama ingekuwa na waislam wengi wale M23 wangeitwa Islamic state na nyinyi wagalatia mngekubali hizo propaganda kumbe ni kikundi cha Ufaransa na Marekani Kwa ajili ya kuiba madini ya Kongo
Yani nyinyi wagalatia Kila sehemu mnadanganywa tu katika dini yenu mnadanganywa sijui Mungu wenu Yesu
Sasa hata katika mambo ya kidunia Nako mdangwanywe ?
Kwan Israel alitumia missile kama alivyotumia Iran? IADF mostly katumia dronesUmeelewa hoja? Kwqmba Iran haikutuma ndege wala wanajeshi Israel ila bado ikafanya damage. Maana yake wana teknolojia kubwa sasa imagine nao wangetuma ndege au jeshi la ardhini si pangenoga zaidi.
Nioneshe wapi na nani ameomba pooHivi kati ya Iran na Israel Nani aliomba poo?
ππππUsa yenyewe na NATO Yao,hawawezi kukaa ofisi mpaka wapige kiguu na njia,Iran katuheshimishaView attachment 3416221
π€£π€£π€£Kumbe Yesu alikuwa hana akili nilikuwa sijui
Hili ni Jengo la kitivyo Cha sayansi nchini Israelvipi magenerali wa Iran na mkuu wao wa majeshi wameuawa hizo office za Iran walishindwa kuyazuia hayo
Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
Ndio unavyojidanganya,top commanders na top government wote waliuawa mpaka leo haiujulikani khamanei alipo halafu unasema Israel kapata hasara kuna hasara zaidi ya kupoteza uhai?Israel sio mjinga atumie ndege zenye rubani ni kweli ni hatari kwenda kwenye anga la mtu ukiwa na ndege zako lakini sio kwa Israel mwenye intelligence bora duniani(mossad) aliweza kuharibu mifumo ya ulinzi ya irani na akatawala anga na kufanya aliyoyataka akalipua kinu cha kwanza mpaka cha mwisho sio kila nchi inauwezo huo,hujiulizi kwanini irani ilishindwa kulinda vinu vyake na viongozi wake waandamizi,wewe achana na Israel bwana!Wacha kuropoka,Iran ametumia bajeti ndogo ya vita na kuiipa hasara Israel kuliko unavyodhani.
Israel imepata hasara kubwa kuliko udhaniavyo,Kuna vituo vya uwekezaji vimelipuliwa,bandari Haifa imelipuliwa,kituo Cha usafishaji mafuta Haifa kimelipuliwa,kambi Tano za jeshi zimelipuliwa.
Kama ulikua hujui utumiaji makombora ni bora kuliko ndege kwasababu ni costless na damage ni ndogo kwa mtumiaji.
Ndege gharama kwa mafuta pia gharama ya maisha inaweza kuhusika ya marubani.
Sasa sijui nani ni mjanja kati ya Iran na Israel!?
kila mtu alikuwa ana target zke yy israel ilikuwa ku target wana science wao iran wamevunja kabisa kituo kikuu cha utafiti wa science kilichokuwa kinategemewa na israel zaidi ya miaka 70,iran wamepga mossad hq,wamepiga wizara ya ulinzi ya israel ,kambi za jeshi zaidi ya 5 zimekuwa majivu mwisho israel soldiers wakahamisha ofisi kwenye hospital iran akajua akaanza kupga mpk hospital hv kwa akili yako unafikiri israel angekua kaweza kumdhibiti iran angekubali vita isitishwe?angekuwa anaendelea kushambulia mpk leo km anavyofanya huko syria
Kwa taarifa yako Israeli hakuingia miguu yote kwenye ile vita,malengo yake yalikuwa kuharibu vinu na kuondoa viongozi waaandamizi wa jeshi na serikali, alikuwa na uwezo wa kufanya zaidi ya aliyofanya ila hakuwa kama huyo mrusha vimondo maadmu kiruke kikadondoke kwenye makazi ya watu,ndio maana hukusikia amekufa kiongozi wa jeshi wala serikali,kwasababu iran kazi yake ilikuwa kufurusha tu makombora,kumbuka trump ndie alitaka vita isimame.kila mtu alikuwa ana target zke yy israel ilikuwa ku target wana science wao iran wamevunja kabisa kituo kikuu cha utafiti wa science kilichokuwa kinategemewa na israel zaidi ya miaka 70,iran wamepga mossad hq,wamepiga wizara ya ulinzi ya israel ,kambi za jeshi zaidi ya 5 zimekuwa majivu mwisho israel soldiers wakahamisha ofisi kwenye hospital iran akajua akaanza kupga mpk hospital hv kwa akili yako unafikiri israel angekua kaweza kumdhibiti iran angekubali vita isitishwe?angekuwa anaendelea kushambulia mpk leo km anavyofanya huko syria
Hakuingia mazima kivipi??Huku Netanyau alisema lengo la mashambulizi ilikuwa regime change??Kwa taarifa yako Israeli hakuingia miguu yote kwenye ile vita,malengo yake yalikuwa kuharibu vinu na kuondoa viongozi waaandamizi wa jeshi na serikali, alikuwa na uwezo wa kufanya zaidi ya aliyofanya ila hakuwa kama huyo mrusha vimondo maadmu kiruke kikadondoke kwenye makazi ya watu,ndio maana hukusikia amekufa kiongozi wa jeshi wala serikali,kwasababu iran kazi yake ilikuwa kufurusha tu makombora,kumbuka trump ndie alitaka vita isimame.
Umeisahau Marekani, France na Uingereza.China, Urusi, Iran wanaamini sana Makombora kuliko NDEGE Vita.
Ila Magharibi yote wanaamini NDEGE Vita ndio njia Bora..
Mataifa hayo 3 Wana Idadi kubwa sana ya Makombora ya masafa marefu na mafupi. Let say, Urusi anaweza ipoga Kampara Uganda akiwa kwake. But USA mpaka afanye mobilization ya Air craft carrier hili akukaribie arushe NDEGE Vita.
Ni gharama sana!
Swali!
Kwanini Urusi hatumii NDEGE Vita Ukraine?
Jibu: Hana NDEGE za kutosha kukabiliana na Air defences za Magharibi zilizorundikana Ukraine.
Anatumia Askari wa Miguu na Makombora yenye vilipuzi.
Endapo yupo mwingine ana majibu Tofauti na hayo karibu.
Iran hajatumia bajeti ndogo, katumia bajeti kubwa sana tu, ku launch makombora karibu 600 ni gharama kubwa sana.Wacha kuropoka,Iran ametumia bajeti ndogo ya vita na kuiipa hasara Israel kuliko unavyodhani.
Israel imepata hasara kubwa kuliko udhaniavyo,Kuna vituo vya uwekezaji vimelipuliwa,bandari Haifa imelipuliwa,kituo Cha usafishaji mafuta Haifa kimelipuliwa,kambi Tano za jeshi zimelipuliwa.
Kama ulikua hujui utumiaji makombora ni bora kuliko ndege kwasababu ni costless na damage ni ndogo kwa mtumiaji.
Ndege gharama kwa mafuta pia gharama ya maisha inaweza kuhusika ya marubani.
Sasa sijui nani ni mjanja kati ya Iran na Israel!?
Huo ni ukweli, Kama Israel angekua hapati madhara hadi leo wangekua wanatuma ndege kushambulia Iran.kila mtu alikuwa ana target zke yy israel ilikuwa ku target wana science wao iran wamevunja kabisa kituo kikuu cha utafiti wa science kilichokuwa kinategemewa na israel zaidi ya miaka 70,iran wamepga mossad hq,wamepiga wizara ya ulinzi ya israel ,kambi za jeshi zaidi ya 5 zimekuwa majivu mwisho israel soldiers wakahamisha ofisi kwenye hospital iran akajua akaanza kupga mpk hospital hv kwa akili yako unafikiri israel angekua kaweza kumdhibiti iran angekubali vita isitishwe?angekuwa anaendelea kushambulia mpk leo km anavyofanya huko syria
halafu kuna kamanda mmoja mshenzi anakwambia hizo silaha tulizotumia siku 12 hizi ni silaha zilizotengenezwa na vijana wakati wapo field,yaani hawakutumia kabisa silaha ambazo wao IRAN wanona ndo silahaKatika Ile vita ya siku 12 Irani ametuonyesha maajabu sana kumbe vita sio lazima utumie Ndege au manuari au mimeli mikubwa mikubwa au wanajeshi unaweza tu kukaa ofisini na ukatoa kichapo kitakatifu
Irani walikuwa wapo tu ofisi wanacheza na mausi Kutoa kichapo Kwa Israel
Na Ile kazi yote ilikuwa inafanywa na wadada tu
Shikamoo Irani natamani Netanyau atume tena magaidi kuishambulia Irani na vindege vyake vya msaada Ili tone round ya pili itakuwaje
View attachment 3416211View attachment 3416212
Kilichobaki ahimarishe sana kitengo chake cha ujasusi na kurutubisha urani kwa ajili ya amani π€πππTena wadada warembo kweli kweli.
Iran ni baba lao pale Middle East hilo atakayebisha apimwe akili.
Niliwaambia humu Iran hakunyanyua hata futi moja ya mguu kuhangaika kupaa angani badala yake ame relax ofisini na kikombe cha kahawa huku anaitwanga Israel kimya kimya.