Irani hakutumia Ndege vita Wala wanajeshi kuenda kuenda kuichapa Israel

Kwa hasara Israel amepata hasara zaidi.
Maeneo aliyopigwa ni sensitive sana na yamefanya wawekezaji waondoke pia.
Adani Investment imeguswa,Jengo la uwekezaji Israel limeguswa,ofisi za Microsoft zimeguswa, bandari imeguswa.
Kihasara fidia za makazi tu ya raia ni $ 20 billions+,hujaja kwingine kwenye biashara/ uwekezaji ulioharibiwa,hujaja kwenye vifaa vya jeshi.
Ukija kwa gharama ya vita Israel ametumia gharama kubwa sana zaidi ya Iran,ndege Moja to kurusha gharama ya mafuta na maintainance sio poa.
Pia zile missiles interceptors za iron dome ni bei ghali sana kuliko makombora ya Iran yaliyotumika.

Israel angekuwa na missile power sidhani kama angetumia nguvu kubwa ya ndege,kwa Mimi ningechagua zaidi missiles kwasababu ya uwezo wake wa kufika pahala na kufanya uharibifu,gharama yake na pia kuweza kukwepa kwake interceptors. Kitu kama hypersonic missiles HUWEZI fananisha na ndege aina yeyote.
Israel ilimbidi aitumie mbinu nyingi hadi kutumia mashushushu wa ndani kuharibu ADS pamoja na suicide drones ndani ya Iran ili kuwezesha ndege zishambulie.
Pia ndege sio silaha nzuri kwa war of attrition,zinakufanya mapema unadorora kulingana na cost of running yake.
Pia hata damage inayofanywa na kombora HUWEZI fananisha na ya ndege.
Iran kama atatumia ndege labda ni kulinda anga lake tu kama alivyofanya Pakistan kwa India.
 
ushawahi jiuliza bila israel marekan inakuaje
Israel ndio inamtegemea Marekani.Marekani kipindi inaendesha world war 1 1914 Israel haikuwepo na Marekani ilikua taifa kubwa ulimwenguni.
 
Narudia acha kuropoka.
Israel alitumia ndege za f35 na f16 fighter jets.
Au sikuhizi Kuna f35 zisizo na rubani!?
Hata unachoongea hukijui.
Kwa idadi ya ndege alizotumia Israel lazima tusifu Iran imejitahidi kujilinda,licha ya hivyo ametumia hadi mbinu za kigaidi kwa kutegesha mabomu kwenye magari na kutumia suicide drones ndani ya Iran.
Watu kufa katika vita ni lazima na wanaweza kuwekwa mbadala wake.
Iran Ina nuclear sites 8,zilizoguswa ni 3 tu,utasema hapo Israel amefanikiwa?
Hata Mimi ni baba yako mtihani una maswali nane wewe umefanya maswali MATATU tu aisee nakuzaba mabao.
Angalau ungefanya manne ningesema umefanya nusu ya maswali.
Kiufupi Israel AMEFELI.
Israel imegeuzwa vifusi Kila kona ya Haifa na TelAviv.
Raia wamekimbia nchi wengi tu kwenda Cyprus.
Wewe Baki na akili yako kisoda hapo.
 
Israel ndio inamtegemea Marekani.Marekani kipindi inaendesha world war 1 1914 Israel haikuwepo na Marekani ilikua taifa kubwa ulimwenguni.
vita gan marekan kashinda mpaka sasa
 
Mkuu kutumia missiles ni bora kuliko fighter jets??
Fighter jets ni launch platform, missiles ni weapon.
Kutuma missiles ndio inabidi kuwe na zile missiles launchers, Sasa basi fikiria zile missiles launchers zingekua zinapaa kuifuata Target ilipo alafu kuishushia kombora.

Hiyo kazi sasa ndio inafanywa na fighter jets, badala ya kutumia missiles launchers kutuma makombora, ndio zinatumika fighter jets kufuata targte ilipo na kuishushia makombora. Hapo naamini umeelewa njia ipi ni Bora

Kwenye Vita fighter jets huchaguliwa sababu ya flexibility. Fighter jets zinafuata Target ilipo na kushusha makombora, hata iwe moving target bado itashushiwa kombora

Damage inayofanywa na kombora huwezi linganisha na itayofanywa na ndege? Mkuu hapa umeteleza, Kuna bunker buster, Kuna GBU-57 kama ile iliyoshushwa fordow.
Mkuu fighter jets zinabeba hadi nuclear bomb.

Yoyote mwenye uwezo wa kutawala anga, hutumia fighter jets sababu ya kupata flexibility wakati wa kushambulia
 
Hivi Kuna usawa wa kombora linalorushwa na missile launcher pamoja na kombora linalorushwa na ndege!?
Hapana HUWEZI fananisha mkuu.
Embu tizama precision ya hypersonic missile ikirushwa na missile launcher halafu fananisha na missile zinazorushwa na ndege.
Kwanza missile launcher Ina uwezo wa kurusha makombora mazito kiuwepesi tofauti na ndege.
Hapo juu umeshasema Kuna ndege za kubeba makombora tofauti tofauti,pia tuombee Mungu kusiwe na ADS yenye uwezo wa kuziona hizo ndege basi ni kwishnei.
Ndio maana millitary industry za mataifa takriban yote imeunda missile launcher wanajua uwepesi wake na ufanisi wake wa kutumia.
Kombora likirushwa na missile launcher linakua na high precision kuliko lilidondoshwa toka kwenye fighter jet.
Mie nakuhakikishia mkuu,kama Iran angepiga Sejjil hypersonic missile kwenye nuke sites za Israel tungeongea mengine hapa.
 
Mkuu hili umeamua kubisha tu. Jets zinafuata Target ilipo, inakuaje na precision ndogo kuliko kombora lililorushwa kutoka kwenye missiles launchers?
Hivi unajua yapo ambayo Kuna muda yanarushwa yanashindwa hata kuingia nchi husika na kupotelea nchi nyingine??

Mkuu in a simple logic tu, ndege inayokufuata kupiga Target hapo ilipo inakiuwaje na precision ndogo kuliko kombora lilitumwa kutoka kwenye launchers? Mkuu nimekueleza kuwa launchers na fighter jets zote kazi zao ni kushambulia Target kwa kushusha makombora.
Fighter jets inakufuata ulipo na kushambulia inachotaka, launchers inatuma haikufuti ulipo, haiwezi kuwa more precise kuliko jets
 
Kafuatilie operation Cabanatuan ya 1944 Kesha urudi hapa.
Ni vita gani Israel amepigana peke yake bila msaada wa Marekani?
unajua israel alishawahi kumshambulia marekan?
 
Ulitaka watumie vitu wasivyokuwa navyo?
 
Kalitafiti kombora la hypersonic mkuu nahisi inaweza kuimaliza huu mjadala.
Kasi ya kutua kombora linaporushwa na launcher ni tofauti na linalodondoshwa na ndege mkuu.
Embu katizame Hypersonic missiles zinaporushwa na missile launcher zinakuwaje.
 
Hizi ni propaganda, baada ya kusikia Israel ilitumia marubani wa kike kwenda kuwashambulia.
 
View attachment 3417139

na sio hii tu, marekani ilishawahi kujivamia
Umesoma maelezo yote mkuu!?
Israel inadai ilikua ni mistake,walidhani ni meli vita ya Misri.
Mie nilidhani Israel ameishambulia USA kama alivyoshambulia Iran.
Pia baada ya hili rais wa US alitoa tamko Israel isitishe mashambulizi na ikasitisha kwa kufata amri yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…