Technophilic Pool
JF-Expert Member
- Jan 18, 2024
- 2,597
- 3,965
Kumekua kunazagaa taarifa kwamba Iran inajiandaa kuishambulia Israel kama kujibu mashambulizi…..
Basi huo ndio utakua mwisho wa Iran.
Ikumbukwe kwamba Israel imekua ikimtamani Iran siku nyingi sana na ilishajipanga hata kupigana vita na iran bila hata ya US.
Kwasababu israel haikuweza kuishawishi NATO au US kuingia vita moja kwa moja na iran basi imekua ikichochea kuongezeka kwa sanction kwene serikali hiyo ya iran kila kukicha.
Iran inafahamu hili ndio maana haijawai kuishambulia Israel moja kwa moja pamoja na kua Irael imekua ikihusika na milipuko mbalimbali ndani ya Iran,kuuliwa kwa wanasayansi na kupandikiza wapelelezi kuihujumu.
Kushawai kuwa na utabiri kutoka kwa Senetor wa marekan Lindsey Olin Graham kua Israel Itaishambulia Iran na marekani itafanya.
Bye bye Iran