Unasoma kwa uelewa au kwa kukurupuka??kukataa kuweka base siyo ndo kuwa anti USA kuna mataifa kibao ya USA lakin hayajakubali kuwa na base!!!
Je tanzania ni Ant US??
Kipindi cha Saddam Hussein nchi za kiarabu zilikua zina approve airbase zao zitumike na USA.
Tofautisha kuweka kambi na kutumia kambi.
Ila msimu huu hayo mataifa yamekataa kambi zao kutumika dhidi ya Houthi.
Natumai utakua umenielewa,pia usisahau mataifa ya kiarabu yanamkaribisha sana Iran kwa nyanja tofauti hususan ya ulinzi.