Dah...Wachambuzi wa kibongo kaz kweli? Eti ndo itakua mwisho wa Iran? Ivi unajua umbali wa kutoka Israel mpaka Iran ni Km? Apo kinachofanyika ni just Prox wars tu kushambuliana kwa km wanavofanya...Iran imekua ikiishambulia Israel miaka yote kwa kutumia makundi yake na Israel pia kwa kutumia makundi inayoyafadhili japo mengi hayafanikiwi sana... Kila muIsrael anaekufa kuna namna moja au nyingine Iran anahusika maana yeye ndo anawapa Silaha na kuyaongoza... Israel anachofanya Syria ni kujaribu kupunguza uwezo huo ona Lebanon kundi la Hezbollah lina nguvu kuliko Serikali ya Leban na lina silaha za kutosha na limeshashindwa kuondolewa ata na Israel yenyewe wamebaki kutishiana tu kua wasipigane full war...Njoo Yemen kundi la Ki Houth mziki wake umeuona wamepigana na Saud wakisaidiwa na mataifa makubwa km Bahrain,UAE, Misri nk mpaka nchi hizo zote zika choka wakakubaliana leo mziki wake tunauona wanashambulia Israel na kuweka naval blockage leo bandari za Israel zimeyumba hadi Baba zake mkubwa na mdogo US/UK wameingilia kati kumshambulia Houth....Njoo Irak kuna Makundi ya Iran ambayo yameshakua na Nguvu kuliko ata Serikal juzi wameshambulia Bandar ya Eliat ya Israel na wamekua wakishambulia kambi za US na kuua pia... Kwahiyo km US/Irael wasipofanya juhudi kwa cost yoyote ile ili Syria isiwe na kundi km Hezbollah na Houth basi Israel itakua imezungukwa kila pande... Imagine wanamgambo wa Hamas leo ni mwezi wa 5 hawana support yoyote ile ya silaha ambazo zinaingizwa lakin bado wapo njoo Israel nchi kibao wanapeleka Silaha kwa wingi...Sasa Ndo vita kati ya Israel na Iran ndo ataweza? Anachokifanya Israel ni kutaka Iran na US zipigane kwa niaba ndo maana wakati mwingine israel ikifanya tukio Iran au makundi yake yana dili na US...... US mwenyewe kashakili km kumvamia IRan ilikua nimiaka ya 2012 Iran ikiwa haina airdefence system za maana just HAWK na S-200 za kizamani sana na haikua na precision missile km leo....Leo Iran ana airdefence system anazotengeneza mwenyewe ,drone na makombora yakufika Israel... Mpango wa Iran ni kuizunguka kwanza middle east kwa kuhakikisha kila angle kundi lake linakua na nguvu.... Nenda ktk military news ka google uone nguvu ya Hezbollah wanasema ina silaha kuliko ata baadhi ya nchi za Eu... Bila US hakuna Israel