startergear
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 1,148
- 1,478
Ndo maana huwa sipendi kubishana Sana humu jf comment zangu no neno moja au mawili ya mzaha tuNdio maana nasema huna ulijualo na unazidi kuropoka.
Khordak ilifanya kazi kwa kuitungua stealth drone ya USA 2018 tena kwa pigo moja la haraka.
Dunia ni utandawazi nani asiyeona kuwa iron dome ilifeli kuzuia nusu ya roketi hafifu za Hamas??
Ripoti ilitolewa hamas walirusha roketi 5000 oktoba 7 3000 yalipita.
Je kama zile roketi zingekua ni makombora yenye ujazo wa masafa marefu??
Iran inarutubisha nuclear zaidi na ishapita kiwango cha kuunda silaha.
Usiifananishe Iran na Israel.
Ujiulize kwanini USA hufanya msako wa anga mataifa takriban yote middle east na sio Iran??
Iran ana mfumo wa anga madhubuti.
Stealth drone iliyoaminika ngumu kui detect khordak ili detect ikaifumua kwa kombora moja tu.
Unajua kwa Nini? Humu vilaza mpo wengi mtu unashinda kwenye internet unaokoteza tuhabari halafu unasema wenzako hawajui lolote
Sasa sikia hiyo defense system imezinduliwa 2019 iliipigaje drone 2018? Na drone iliyopigwa siyo stealth ilikuwa 2019 soma hii hapa RQ-4A Global Hawk BAMS-D ni suvaillance drone
Na aliyesema katumia hiyo khordak ni Iran lakini wadadisi wanadai ilitumika defense system ya Russian origin