Hiki kitendo cha kupaa higher altitude kwa mimi nilidhani itakua ni stealth kwa mtazamo wangu.Nimekuandikia jina la hiyo drone in full isearch halafu utuletee jibu
RQ-4A Global Hawk BAMS-D
Mkuu mbona we unajibiwa lakini wewe haupendi kujibu??Ndo maana nimekwambia usidhani wote ni mbumbumbu haya sema Ile drone ilikuwa na stealth techology au la?
Mjadala umeisha you made your point broMkuu mbona we unajibiwa lakini wewe haupendi kujibu??
Hiyo comment nimekujibu baada ya kusema khordak imeundwa 2019 akati khordak ya kwanza iliundwa 2014 khordak-3 kesha ikaundwa mpya 2019 ambayo ni khordak-15.
Ndio maana nilikuuliza unajua kuna version ngapi za khordak??
Je ulinijibu mkuu?
Ukaenda mbali zaidi kusema ilotumika kudungua haikua khordak bali ni s200 ya Russia.
Mie nimekusahihisha hizo hoja mbili.
Kwamba khordak ilotumika kudungua hiyo drone ni la toleo la 2014 na mfumo uliotumika ni huo haukutumika wa Russia wa s200.
Na huo ndiyo ujinga namba moja ...kwamba zile ni ngumi za kulipwa au?Iran jeshi la mtu mmoja.hawabebwi
ndicho kilichobakiWow!!!
Naona vijana wenzangu mnashabikia vita kama pambano la masumbwi kati ya Tyson Fury na Anthony Joshua.
we ndo akili hunaIran jeshi la mtu mmoja.hawabebwi
High altitude unazidi kua vulnerable kwa SAMHiki kitendo cha kupaa higher altitude kwa mimi nilidhani itakua ni stealth kwa mtazamo wangu.
Maana ni vema surveillance drone iwe hivyo ili kukamilisha uchunguzi pasi na kukatishwa.
Ila ahsante kwa kunirekebisha.
kuna makamanda na wanascience wa nyuklia naoMakamanda wa irani wamekua ni soft target mbele ya jeshi la israel kwa miaka
Kunasiku mzee tola nae atakula shaba wasipo angaliakuna makamanda na wanascience wa nyuklia nao
Siku zake zinahesabikaKunasiku mzee tola nae atakula shaba wasipo angalia
Wanaokua nje ya Iran sio ndani ya Iran.Makamanda wa irani wamekua ni soft target mbele ya jeshi la israel kwa miaka
Haya maneno tu mkuu.Israel has notified the United States that if Iran makes the decision to Target the Territory of Israel, then they will be forced to Respond.
ila wanasayansi wa nyukliq walikua wanauwawa ndaniWanaokua nje ya Iran sio ndani ya Iran.
90% ya makamanda waliouawa ni wa nje ya Tehran.
Ngumu sana umuue IRGC commander ndani ya Tehran.
Damage ni kawaida wale n wanadamu wanapiganaHaya maneno tu mkuu.
Hizbollah wamefanya damage kubwa Northern Israel ila hakukua na harsh response yeyote.
Ila IDF hawajaweza kuwadhibiti sasa.Damage ni kawaida wale n wanadamu wanapigana
Kinachojalisha ni ushindi