Iraq: Iran yashambulia kwa makombora kambi mbili za Jeshi za Marekani, Ain al-Asad na Erbil

Mmarekani peke yake hawezi kuishinda Iran na hilo analijua, akishahikikishiwa support na wapambe wake ndo anafanya vurugu.Bwana mdogo tu mapanki alimtoa jasho.
Kweli hakuna utajiri usio na udhalimu. Anajiita super power kwa mali za kidhalimu tu. Ili dunia ikae na amani Marekani ndo ilitakiwa ifutwe katika uso wa dunia ili hao vibaraka wake wanaoitwa Israel wafe njaa.
 

Naona hii umechanganya kidogo, wamarekani hawajaondoka Iraq, ndio kwanza wameweka BASE zao kule, hata juzi wakati Bunge la Iraq limepitisha maazimio ya pamoja bila kujali tofauti zao, kuwa Marekani waondoe majeshi yake kwao,
Bado marekani kagoma,
Kwa kifupi Iraq anamtimua marekani na majeshi yake,
Marekani kumuua General Soleiman kumewaweka wairaq na wairan pamoja, wamekuwa kitu kimoja.
 
Umevurugwa na jiwe[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16]
Hakuna madhara , Iran wamewah Sana kustrike back mda ambao kambi zote za marekan zpo under high alert , Bora hata wamtafute mtu mmoja mhimu wa Marekan wamuue kuliko kufanya ujinga wanaofanya ....
Hakuna Madhara Unasema Wewe

Halafu Pia Kitendo Cha IRAN Kustrike US Base Hapo IRAQ Inaonesha US Base Ndani Yamashariki Ya Kati Ni Safeless Na Mitambo Yao Wanayoiaminisha DUNI Yakwamba Inazuia Makombora Ni Useless

Inamaana wanajeshi wa US Walishaondoka IRAQ MKUU Ama ?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna Tagerts.3 in short term [emoji117]
1-Yaliko tokea makombora!

2-Komandi za walinzi wa mapinduzi ya iran!

3-kambi za Jeshi za walinzi wa mapinduzi ya iran!
Kama ayatola kajidichimbia huko atoke mapema!

Sent using Jamii Forums mobile app
Senator Graham kampigia simu Trump na Trump kamwambia kuwa watashambulia Visima vya Mafuta ya Iran ili kukata mrija

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upuuzi huu kapeleke dampo hapa sio mahala pake

It's Scars
 
Trump hawezi kukuangusha. Trump is coming. It will be very hard and Fast and Strong.
Marekani anatakiwa a-ignore, hakuna haja ya kumipiga Iran, mwsihowe wata-trigger world war. Halafu nahisi kama huu mgogoro kama utadumu mpaka mwezi huu uishe, kuanzia Februaray 2020 akina sisi ambao kipato chetu kwa mwezi kiko under 1m, tutapaki gari, hata kama ni Toyota IST ambayo huwa haili mafuta mengi; lazima tutapaki!
 
Russia na China ni wanafiki sana Iran akianza kudundwa watakaa pembeni wangojee kulalamika kwenye vikao vyao ili dunia tuwaone ndio wazuri kumbe ni wale wale ila wanakuja kwa njia nyingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…