Wewe unayetizama ndiye utuhabarishe hayo magaidi ni kina nani?Mkuu tazama Al Jazeera kila kitu iko wazi
Hakika Mungu ni mwema, magaidi ya kimarekani yameteketezwa.
Hahhahh...Halafu Iran wametuma ujumbe hasa, yaani wameshambulia kambi iliyokaribu sana na wao na ile iliyo mbali na wao. Kwamba wanaweza kufika popote walipo US soldiers ndani ya Mashariki ya kati.
Swali la kujiuliza mifumo ya anga ya Marekani ilikuwa wapi? Kushambulia kambi si kitu rahisi.
Kabisa mkuu, marekani hawezi sema idadi kubwa ya watu waliokufa kwenye hizo kambi ila watu wamekufa na pia hakuna kambi isiyokua na watu,hata godown pia uwaga zina walinzi na wafanyakazi. Itakuaje kambi ya jeshi useme hakuna taarifa za watu kuawaHivi kuna kambi isiyo na mwanajeshi? baso hizo sio kambi ni Godown za kuhifadhia korosho! Unahani marekani atakubali kusema wanajeshi wake wameuawa??? Siasa nyingi usikute wameuawa ila wanaficha tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakristo ni kina nani sasa?Huyo muajemi ndio alimuokoa muyahudi babiloni.
Nani alikudanganya kuwa usa na uk ni wakristo.....wale ni wadogo zake shetani...the new babilon
Sent using Jamii Forums mobile app
Do you real damn know Oli Smith?Hahah we jamaa bana ujue unaongea na watu wazima lkn?
BBC, French 24?
Hahah nimesikia uvivu hata kuendelea kukujibu mzes baba.
View attachment 1315638
dodge
Kwan Jana US Si Alikanusha Yakwamba Haondoi Majeshi Yake Nahata Ondoa Mpaka Alipwe Billions Of Dollars Zake Alizotumia Kuwekeza IRAQ Ama Majicho Namasiko Yangu Tu Ndio Hayakuona Na Kusikia VYEMA...!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu leo umepoa sanaSenator Graham kampigia simu Trump na Trump kamwambia kuwa watashambulia Visima vya Mafuta ya Iran ili kukata mrija
Sent using Jamii Forums mobile app
Targeting culture sites in war is illegal. It is a war crime.Vita haina macho.
No casualties? Independent press muhimu kweli. Anyway casualites are not the dead,casualities are we the living who tarnish humanity with endless brutality and violence.habari kutoka ndani ya Iraq
===
09:14
No Casualties Among Iraqi Forces According to Country's Military, 22 Missiles Landed on US-led Coalition Headquaters
Iraq's military said on Wednesday that no casualties were recorded among the country’s forces from the 22 projectiles launched on the Ayn al-Asad Air Base, housing US troops, in the western province of Anbar province and a base in Erbil.
"Iraq was subjected between 1:45 and 2:45 this morning of 8 January 2020 to bombardment by 22 missiles; 17 missiles fell on Ayn al-Asad Air Base including two that did not explode ... and five on the city of Erbil that all fell on coalition headquarters. No casualties among Iraqi forces were recorded", a statement from the Iraqi military said as quoted by Reuters.
Side ya America umeshaisikia wamesema nini?22 ballistic missiles launched, 22 landed on target , 2 failed to detonate. Iran wamekomaa ki teknologia.
As good as gets.
Kivipi ?
Russia na China ni wanafiki sana Iran akianza kudundwa watakaa pembeni wangojee kulalamika kwenye vikao vyao ili dunia tuwaone ndio wazuri kumbe ni wale wale ila wanakuja kwa njia nyingine
Sent using Jamii Forums mobile app