Iraq: Iran yashambulia kwa makombora kambi mbili za Jeshi za Marekani, Ain al-Asad na Erbil

Iraq: Iran yashambulia kwa makombora kambi mbili za Jeshi za Marekani, Ain al-Asad na Erbil

Mkuu tazama Al Jazeera kila kitu iko wazi

Hakika Mungu ni mwema, magaidi ya kimarekani yameteketezwa.
Wewe unayetizama ndiye utuhabarishe hayo magaidi ni kina nani?
.
Mimi natizama TRT world ayatollah anaongea mashudu
 
Mashambulizi yaliyofanywa na Iran dhidi ya kituo cha jeshi la Marekani nchini Iraq yasababisha vifo vya watu 80
Televisheni ya Iran “Press TV” imeripoti kuwa, mashambulizi yaliyofanywa na Iran dhidi ya kituo cha jeshi la Marekani nchini Iraq yamesababisha vifo vya watu 80.

Habari kutoka Shirika la habari la Iran FNA zinasema ofisa wa kitengo cha ujausi cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) ameeleza kuwa, kwa mujibu wa ripoti inayoaminika, hadi sasa wanajeshi wasiopungua 80 wa Marekani kwenye kituo cha jeshi la anga cha Al-Asad nchini Iraq wameuawa, na wengine 200 kujeruhiwa.

Ofisa huyo ameongeza kuwa shabaha 20 muhimu kwenye kituo hicho zimeshambuliwa kwa makombora 15, ndege zisizo na rubani na helikopta nyingi zimeteketezwa.
 
Halafu Iran wametuma ujumbe hasa, yaani wameshambulia kambi iliyokaribu sana na wao na ile iliyo mbali na wao. Kwamba wanaweza kufika popote walipo US soldiers ndani ya Mashariki ya kati.
Hahhahh...

Sijui hali ipoje huko white house muda huu.
IMG_20200108_104928.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Swali la kujiuliza mifumo ya anga ya Marekani ilikuwa wapi? Kushambulia kambi si kitu rahisi.

Nawashangaa sana watu wanao i-underestimate Iran. Hizi movie tunazo angalia na series za kimarekani zinatutia upofu na kupitiliza upenzi kwa Marekani na kudhania hata kwenye uhalisia wako hivyo. Kwa taarifa hayo ma-movie yao ni sehemu ya gunboat diplomacy.
 
Hivi kuna kambi isiyo na mwanajeshi? baso hizo sio kambi ni Godown za kuhifadhia korosho! Unahani marekani atakubali kusema wanajeshi wake wameuawa??? Siasa nyingi usikute wameuawa ila wanaficha tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa mkuu, marekani hawezi sema idadi kubwa ya watu waliokufa kwenye hizo kambi ila watu wamekufa na pia hakuna kambi isiyokua na watu,hata godown pia uwaga zina walinzi na wafanyakazi. Itakuaje kambi ya jeshi useme hakuna taarifa za watu kuawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwan Jana US Si Alikanusha Yakwamba Haondoi Majeshi Yake Nahata Ondoa Mpaka Alipwe Billions Of Dollars Zake Alizotumia Kuwekeza IRAQ Ama Majicho Namasiko Yangu Tu Ndio Hayakuona Na Kusikia VYEMA...!?

Sent using Jamii Forums mobile app

Ulisikia vyema mkuu ndivyo US alivyo sema, tena akasema na akimuondoa kwa nguvu atamuwekea vikwazo vya kiuchumi,
US akiwa rafiki yake ujiandae tu ipo siku atakuduwaza.
 
habari kutoka ndani ya Iraq
===
09:14

No Casualties Among Iraqi Forces According to Country's Military, 22 Missiles Landed on US-led Coalition Headquaters
Iraq's military said on Wednesday that no casualties were recorded among the country’s forces from the 22 projectiles launched on the Ayn al-Asad Air Base, housing US troops, in the western province of Anbar province and a base in Erbil.
"Iraq was subjected between 1:45 and 2:45 this morning of 8 January 2020 to bombardment by 22 missiles; 17 missiles fell on Ayn al-Asad Air Base including two that did not explode ... and five on the city of Erbil that all fell on coalition headquarters. No casualties among Iraqi forces were recorded", a statement from the Iraqi military said as quoted by Reuters.
No casualties? Independent press muhimu kweli. Anyway casualites are not the dead,casualities are we the living who tarnish humanity with endless brutality and violence.
 
22 ballistic missiles launched, 22 landed on target , 2 failed to detonate. Iran wamekomaa ki teknologia.
As good as gets.
Side ya America umeshaisikia wamesema nini?
Don't rush things subiri Trump aongee soon from now.
Ayatollah kashazungumza kasema ni wao walioshambulia
 
Back
Top Bottom