Iraq: Iran yashambulia kwa makombora kambi mbili za Jeshi za Marekani, Ain al-Asad na Erbil

[emoji2][emoji54][emoji23][emoji23][emoji15][emoji12][emoji12][emoji14][emoji14][emoji14]
Kama Israel atahusika kwa namna yoyote ile, hamna haja ya kumuomba Mungu. Msimamo wake unaeleweka.
Unakumbuka maneno yangu nikikwambia kama kisasi lazma kilipwe US Wamebakia wanabweka kama Umbwa


ISRAEL Nae Akijipendekeza Atapigika 2 Kama Haamini Ajaribu Aone Kitakachomkuta ........

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haijalishi madhara ni makubwa ama madogo lakini Iran kashambulia kambi mbili kwa mpigo pasipo rada za Marekani kuyapangua makombora
Hakuna rada za marekani zilizotambua hapo ndo wajue sio wao pekee tu wana vifaa bora, umesikia kauli ya trump kua wana vifaaa bora ukitafasri utaona Iran imetumia vifaa bora mpaka kuweza kushambulia kambi 2,kama wakati wa nyuma Iran aliweza kusambaratisha ile dron ambayo haionekani kwenye rada watashindwa nn kupiga kambi za jeshi la marekani maana inaonekana sasa marekani anapata tabu kuongia Iran kufanya mashambulizi ndo maana alimuua jeneral akiwa Iraq

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Makombora 15 yaliyo hit 11? Mifumo ya ulinzi wa anga ya Marekani tuisemeaje sasa? Tuilete picha gani?

Houthi waliporusha makombora Saudi Arabia na Saudi mifumo ya ulinzi ya anga anayotumia ni ya Marekani. Kilichotokea Saudi Arabia kinafahamika!

Ngoja nisubiri kwanza, sitaki kuamini haraka haraka!
 
Point
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yote haya kayataka Mpuuzi Wakimarekani[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]Sad[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo na wewe umeamini Iran wametungua hiyo Boeing 737 old model kwa bahati mbaya?😎
.
Muwe mnatafuta habari wenyewe aisee atawalisha kinyesi sana huyo
 
Hizo ni fake news Mkuu...Hivi Iran itungue Ndege ya Marekani hasa kipindi hiki wasituonyeshe kwenye Press TV?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unachojua ni tofauti na uhalisia,USA &mabeberu wa ulaya wanaamini kuwa serikali ya Iran na ndiyo inayohusika na ugaidi dunia hvyo wanatamani hata Leo Irani ipigwe ila serikali za mabeberu walikuwa wanamsuka ili aingie kwenye radar na kweli Irani kaingia yaani hapa ndiyo kathibitisha kweli anafadhili kwa kujibu mapigo baada ya kuuwa uyu bwana kamanda ambaye wamarekani wanadai anausika na mauaji ya zaidi ya wamarekani 600( inaonekana serikali yao imewajenga HV RAIA wake)

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • Screenshot_2020-01-08-04-22-26.jpeg
    17.6 KB · Views: 1
  • Screenshot_2020-01-08-04-21-14.jpeg
    16.2 KB · Views: 1
  • Screenshot_2020-01-08-04-20-45.jpeg
    15 KB · Views: 1
  • Screenshot_2020-01-08-04-18-39.jpeg
    17 KB · Views: 1
  • Screenshot_2020-01-08-04-20-27.jpeg
    20.2 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…