Iraq: Iran yashambulia kwa makombora kambi mbili za Jeshi za Marekani, Ain al-Asad na Erbil

Nadhani wale waluokuwa wanapiga kelele akiwemo trump mwenyewe wameanza kuiona sura halisi ya iran. Sasa iran imesema US akijaribu kutuma hata bomb moja middle east kitawaka. Mshirika wake israel hatobaki salama. Kazi kwake trump kusuka au kunyoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23]
Side ya America umeshaisikia wamesema nini?
Don't rush things subiri Trump aongee soon from now.
Ayatollah kashazungumza kasema ni wao walioshambulia
Unahisi kama wangekanusha [emoji23][emoji23]

US Akijibu Leo Mwezi Hauishi Huu Tuta Anza Kutumia PetroYuan


Huyu Bwege US Hawez Kuwafanya Watu Wapuuzi Miaka Yote Hii SHUBAAMIT

Sent using Jamii Forums mobile app
 
US = Akikanyaga Mziki Wa Waajemi Tutasimuliana Mambo Mengine Baada Ya Mwezi


US Carries Ndani Ya Mashariki Yakati Ni Safeless Base Zake Ni Defenceless Na Wanajeshi Wake Pia Watakua Ni Useless

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waziri wa Ulinzi wa Irani Brigadier Amir Hatimi alisema leo, Jumatano, kwamba somo ambalo vikosi vya Irani vimewafundisha Wamarekani kamwe halwaitasahau.
 
Kwa hiyo na wewe umeamini Iran wametungua hiyo Boeing 737 old model kwa bahati mbaya?[emoji41]
.
Muwe mnatafuta habari wenyewe aisee atawalisha kinyesi sana huyo
Nimeifatilia kmbe ilikua yenyewe bnafsi


Ila nilichofurahi machuma chuma ya US Yamekua Vyuma Chakavu Hayana Madhara Kabisaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yes ile ni picha ya Iran soldiers na mpk Paka anatii amri.

Nadhani umejionea na wanajeshi wa US mnaowategemea namna walivyo.

dodge
Nyie mnaweka nyau, angalieni hii kutoka huko kwa waliowafundisha mbinu za kivita

It's Scars
 
Hawana Jipya Sababu IRAN Alikua Anasababu Zakupigwa Na Western Toka Mwaka 1979 Ila Jamaa wanaruka ruka

Kosa Kubwa walolifanya Wamagharibi Ni Kuchemka Kuiangusha Serikali Ya IRAN Wakati Wa Vita Na IRAQ

Kwasasa Hata Kama Vita Itatokea IRAN Atapigwa Hili Lipo Wazi Ila Maumivu Atakayoyapata US Atajuta

Pia US Asidhani Ataweza Kujenga Kambi IRAN Baada Ya Vita Kama Alivyofanya IRAQ Watachinjwa Kama KUKU


US =PAPEE TIGER.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Iran bhana...nasikia wametangaza wameua 80 wakati huohuo Iraq inasema hakuna aliyekufa.

Ngoja tusubiri taarifa kamili

Sent using Jamii Forums mobile app
Kambi Za US Zimekua Kama CHUJIO Lanazi Asee Zinapenyeka Kirahisi Mno Zaidi Ya Anga La Kenya [emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…