Iraq: Iran yashambulia kwa makombora kambi mbili za Jeshi za Marekani, Ain al-Asad na Erbil

Iraq: Iran yashambulia kwa makombora kambi mbili za Jeshi za Marekani, Ain al-Asad na Erbil

Nadhani wale waluokuwa wanapiga kelele akiwemo trump mwenyewe wameanza kuiona sura halisi ya iran. Sasa iran imesema US akijaribu kutuma hata bomb moja middle east kitawaka. Mshirika wake israel hatobaki salama. Kazi kwake trump kusuka au kunyoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23]
Side ya America umeshaisikia wamesema nini?
Don't rush things subiri Trump aongee soon from now.
Ayatollah kashazungumza kasema ni wao walioshambulia
Unahisi kama wangekanusha [emoji23][emoji23]

US Akijibu Leo Mwezi Hauishi Huu Tuta Anza Kutumia PetroYuan


Huyu Bwege US Hawez Kuwafanya Watu Wapuuzi Miaka Yote Hii SHUBAAMIT

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na hao ndio wanajeshi wa kutumainiwa wa US wanaotegemea kuishinda Iran?

Likipigwa kombora moja tu,lazima wajiharishie hao.

View attachment 1315739

dodge
Hilo ni jeshi la iran kwani hujasoma maelezo?

Jeshi la US hili hapa unataka nikuwekee la navy au la angani?
FB_IMG_15784683541913708.jpeg


It's Scars
 
Makombora 15 yaliyo hit 11? Mifumo ya ulinzi wa anga ya Marekani tuisemeaje sasa? Tuilete picha gani?

Houthi waliporusha makombora Saudi Arabia na Saudi mifumo ya ulinzi ya anga anayotumia ni ya Marekani. Kilichotokea Saudi Arabia kinafahamika!

Ngoja nisubiri kwanza, sitaki kuamini haraka haraka!
US = Akikanyaga Mziki Wa Waajemi Tutasimuliana Mambo Mengine Baada Ya Mwezi


US Carries Ndani Ya Mashariki Yakati Ni Safeless Base Zake Ni Defenceless Na Wanajeshi Wake Pia Watakua Ni Useless

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waziri wa Ulinzi wa Irani Brigadier Amir Hatimi alisema leo, Jumatano, kwamba somo ambalo vikosi vya Irani vimewafundisha Wamarekani kamwe halwaitasahau.
 
Kwa hiyo na wewe umeamini Iran wametungua hiyo Boeing 737 old model kwa bahati mbaya?[emoji41]
.
Muwe mnatafuta habari wenyewe aisee atawalisha kinyesi sana huyo
Nimeifatilia kmbe ilikua yenyewe bnafsi


Ila nilichofurahi machuma chuma ya US Yamekua Vyuma Chakavu Hayana Madhara Kabisaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yes ile ni picha ya Iran soldiers na mpk Paka anatii amri.

Nadhani umejionea na wanajeshi wa US mnaowategemea namna walivyo.

dodge
Nyie mnaweka nyau, angalieni hii kutoka huko kwa waliowafundisha mbinu za kivita
FB_IMG_15784681245528002.jpeg


It's Scars
 
Hawana Jipya
Unachojua ni tofauti na uhalisia,USA &mabeberu wa ulaya wanaamini kuwa serikali ya Iran na ndiyo inayohusika na ugaidi dunia hvyo wanatamani hata Leo Irani ipigwe ila serikali za mabeberu walikuwa wanamsuka ili aingie kwenye radar na kweli Irani kaingia yaani hapa ndiyo kathibitisha kweli anafadhili kwa kujibu mapigo baada ya kuuwa uyu bwana kamanda ambaye wamarekani wanadai anausika na mauaji ya zaidi ya wamarekani 600( inaonekana serikali yao imewajenga HV RAIA wake)View attachment 1315674View attachment 1315675

Sent using Jamii Forums mobile app
Sababu IRAN Alikua Anasababu Zakupigwa Na Western Toka Mwaka 1979 Ila Jamaa wanaruka ruka

Kosa Kubwa walolifanya Wamagharibi Ni Kuchemka Kuiangusha Serikali Ya IRAN Wakati Wa Vita Na IRAQ

Kwasasa Hata Kama Vita Itatokea IRAN Atapigwa Hili Lipo Wazi Ila Maumivu Atakayoyapata US Atajuta

Pia US Asidhani Ataweza Kujenga Kambi IRAN Baada Ya Vita Kama Alivyofanya IRAQ Watachinjwa Kama KUKU


US =PAPEE TIGER.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Iran bhana...nasikia wametangaza wameua 80 wakati huohuo Iraq inasema hakuna aliyekufa.

Ngoja tusubiri taarifa kamili

Sent using Jamii Forums mobile app
Kambi Za US Zimekua Kama CHUJIO Lanazi Asee Zinapenyeka Kirahisi Mno Zaidi Ya Anga La Kenya [emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom