Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
HakikaaaaUlisikia vyema mkuu ndivyo US alivyo sema, tena akasema na akimuondoa kwa nguvu atamuwekea vikwazo vya kiuchumi,
US akiwa rafiki yake ujiandae tu ipo siku atakuduwaza.
Sent using Jamii Forums mobile app