Mo makambako
Member
- Dec 13, 2019
- 30
- 13
Wabongo kwa ushabiki,
Mwanajeshi wa US kaivujisha wenzake walivyo sambaratishwa.
Iran ni moto lazima mawigi ale kona 😂 😬 😎
Haha dogo hukusikia sauti ya kingora hio sauti huwa inatoa taarifa kitu kinakuja, we kweli ume pitwa na wakati.Huyo mtu alie rekodi hiyo video alijua vipi kwamba kombora linakuja kulipua mahala hapo mpaka akasubiri na kamera yake??
Haha dogo hukusikia sauti ya kingora hio sauti huwa inatoa taarifa kitu kinakuja, we kweli ume pitwa na wakati.
ok papaa wewe c dogo ni PapaaKwahiyo mm nimekuwa dogo tena.!!
Kuna Viumbe Watakuja Kupingana Nahizi FactsMK254 asante kwa uchambuzi mzuri.Kwa jinsi Marekani ilivyo respond,naweza kusema mambo matano yafuatayo:-
1.Makombora 22 hayawezi kukosa kuua askari hata mmoja wa wa Coalition forces (Marekani,Poland,Denmark etc.),askari wao wameuwawa ila Trump anaficha ukweli.
2.Iran imewadhalilisha sana Wamarekani kwa shambulio hili,na imeonyesha wazi kwamba ni nchi yenye nguvu nyingi za kijeshi na nchi za Mashariki ya Kati na West Asia zinaweza kuitegemea.
3.Iran pia imeonyesha kwamba hata pamoja na vikwazo vingi vya kinyama vya Marekani imeweza kustahimili na kwa hiyo nchi zingine zinaweza kupinga hegemony ya Marekani na zikastawi.Ni mfano mzuri wa kuigwa kwa kweli.
4.Iran imeonyesha dunia kwamba The American Empire is on the decline,na kwamba nguvu inazodai inazo haina kwa sasa,ni debe shinda.Ukweli ni kwamba America depends on mercenaries for its' many wars,huku the few soldiers it has wakitumika for logistics and air combat.The truth however is that the Airforce can never win a war,it is soldiers on boots who wins a war.
4.Marekani kwa kusema kwamba hawahitaji mafuta ya Mashariki ya Kati inaonyesha wazi kwamba sasa ina mpango wa kuondoka Mashariki ya Kati.Hata hivyo ni vema ikafanya hivyo haraka kwa kuwa isipofanya hivyo,askari wake watarudi Marekani in plastic bags.Hali ilivyo Mashariki ya Kati ni ya hatari mno kwa Marekani na other coalition forces.
5.Kwa missiles hizi za Iran ambazo zimeweza kupenya anti-missile systems na missile interceptors za Coalition forces,Iran imeonyesha kwamba ina missile technology ambayo it's no match to Israel and American technologies,kwa hiyo Israel na Marekani sio tishio tena kwake.
Nimalizie kwa kusema Bravo Iran,you are our role model.You have shown that we can stand up against US hegemony, bullying,tyranny and imperialism and win.
Kuna watu watakuja na pointless zao kupingana na hizi facts.....Uchambuzi umeenda shule huu
Trump amesemaje kuhusu hili?!GAZETI LA NEWS WEEK LA MAREKANI LAFICHUA KUWA ASKARI 270 WA MAREKANI WAMETEKETEZWA NA IRAN NCHINI IRAQ:
Kwa mara ya kwanza mtandao wa habari wa gazeti la News Week la nchini Marekani limefichua habari kwamba, jumla ya askari 270 wa Kimarekani wameangamizwa jana na lran nchini lraq.
Gazeti hilo la Marekani ambalo limeyasema hayo kwa kuwanukuu askari wa nchi hiyo walioko lraq limebainisha kuwa, Trump amesema uongo kwamba eti hakuna askari aliyeuawa wala kujeruhiwa katika shambulizi la lran.
Hata hivyo baada tu ya kufichua habari hiyo, mtandao wa gazeti hilo umefungwa ghafla na idara za usalama za Marekani, kwa kuifuta habari hiyo.
Wakati huo huo jeshi la lraq limefichua kwamba awali lran ilituma kombora kali la kusambaratisha rada inayozuia makombora. Kwa mujibu wa jeshi hilo la lraq baada ya kusambaratisha rada, makombora mengine ilikuwa ni kama kunywa maji tu kutandika kambi hiyo vizuri.
Wakati huo huo, leo Wasyria wameshuhudia msafara mrefu wa askari wa Marekani wanaokimbia nchi hiyo. Kwa mujibu wa habari hiyo askari wa Marekani wameanza kukimbia kutoka Syria baada ya lran kuwatandika nchini lraq.
Hii ni katika hali ambayo jana Trump alisema kuwa hakuna askari wa nchi yake atakayeondoka katika eneo la Mashariki ya Kati.
Aidha wakati Trump akisema kuwa kulikuwa na uharibifu mdogo sana kwenye shambulizi la lran, video za awali zilizosambaa na kuonyesha mwenekato katika kambi ya Marekani ya Ainil Asad, zinabainisha uharibifu mkubwa usiovumilika. Kadiri siku zinavyoendelea ndivyo inadhihiri uongo mkubwa wa rais huyo wa Marekani.
GAZETI LA NEWS WEEK LA MAREKANI LAFICHUA KUWA ASKARI 270 WA MAREKANI WAMETEKETEZWA NA IRAN NCHINI IRAQ:

Hawakosi hao,tuwavumilie tu.Kuna Viumbe Watakuja Kupingana Nahizi Facts
Mbaya zaidi wao wataleta Twaarab [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app