Iraq: Iran yashambulia kwa makombora kambi mbili za Jeshi za Marekani, Ain al-Asad na Erbil

Hivi jaman mungu ni wa upande mmoja.....hao Israel wananguvu kwa sabu tu wanaungwa mkono na USA ...zngatia mungu hawez wafanyia miujiza kwa kuchokoza taifa tulivu kama Iran .pia vita vyao zid ya palestna ulikua ngumu bla msaada wa usa .taarifa zilizotumwa kuhusu vita n za uongo ndo maana aljazira ilifungiwa kwa kutangaza ukwel
 
Mwanajeshi wa US kaivujisha wenzake walivyo sambaratishwa.

Iran ni moto lazima mawigi ale kona 😂 😬 😎
 
Apigwe au asipigwe tutulie kwanza. Tulioneshwa kifo cha yule kamanda na Iran ikasema italipiza. US akamwambia; Endapo atalipiza atamtandika bakora ka mtoto. Sasa tusubiri ni nani msemakweli. Siku, saa bado saana ila wale wenye kiu ya kuona vita ndo nyiye mnaobeza
 
MK254 asante kwa uchambuzi mzuri.Kwa jinsi Marekani ilivyo respond,naweza kusema mambo matano yafuatayo:-
1.Makombora 22 hayawezi kukosa kuua askari hata mmoja wa wa Coalition forces (Marekani,Poland,Denmark etc.),askari wao wameuwawa ila Trump anaficha ukweli.
2.Iran imewadhalilisha sana Wamarekani kwa shambulio hili,na imeonyesha wazi kwamba ni nchi yenye nguvu nyingi za kijeshi na nchi za Mashariki ya Kati na West Asia zinaweza kuitegemea.
3.Iran pia imeonyesha kwamba hata pamoja na vikwazo vingi vya kinyama vya Marekani imeweza kustahimili na kwa hiyo nchi zingine zinaweza kupinga hegemony ya Marekani na zikastawi.Ni mfano mzuri wa kuigwa kwa kweli.
4.Iran imeonyesha dunia kwamba The American Empire is on the decline,na kwamba nguvu inazodai inazo haina kwa sasa,ni debe shinda.Ukweli ni kwamba America depends on mercenaries for its' many wars,huku the few soldiers it has wakitumika for logistics and air combat.The truth however is that the Airforce can never win a war,it is soldiers on boots who wins a war.
4.Marekani kwa kusema kwamba hawahitaji mafuta ya Mashariki ya Kati inaonyesha wazi kwamba sasa ina mpango wa kuondoka Mashariki ya Kati.Hata hivyo ni vema ikafanya hivyo haraka kwa kuwa isipofanya hivyo,askari wake watarudi Marekani in plastic bags.Hali ilivyo Mashariki ya Kati ni ya hatari mno kwa Marekani na other coalition forces.
5.Kwa missiles hizi za Iran ambazo zimeweza kupenya anti-missile systems na missile interceptors za Coalition forces,Iran imeonyesha kwamba ina missile technology ambayo it's no match to Israel and American technologies,kwa hiyo Israel na Marekani sio tishio tena kwake.

Nimalizie kwa kusema Bravo Iran,you are our role model.You have shown that we can stand up against US hegemony, bullying,tyranny and imperialism and win.
Kuna Viumbe Watakuja Kupingana Nahizi Facts

Mbaya zaidi wao wataleta Twaarab [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
GAZETI LA NEWS WEEK LA MAREKANI LAFICHUA KUWA ASKARI 270 WA MAREKANI WAMETEKETEZWA NA IRAN NCHINI IRAQ:

Kwa mara ya kwanza mtandao wa habari wa gazeti la News Week la nchini Marekani limefichua habari kwamba, jumla ya askari 270 wa Kimarekani wameangamizwa jana na lran nchini lraq.

Gazeti hilo la Marekani ambalo limeyasema hayo kwa kuwanukuu askari wa nchi hiyo walioko lraq limebainisha kuwa, Trump amesema uongo kwamba eti hakuna askari aliyeuawa wala kujeruhiwa katika shambulizi la lran.

Hata hivyo baada tu ya kufichua habari hiyo, mtandao wa gazeti hilo umefungwa ghafla na idara za usalama za Marekani, kwa kuifuta habari hiyo.

Wakati huo huo jeshi la lraq limefichua kwamba awali lran ilituma kombora kali la kusambaratisha rada inayozuia makombora. Kwa mujibu wa jeshi hilo la lraq baada ya kusambaratisha rada, makombora mengine ilikuwa ni kama kunywa maji tu kutandika kambi hiyo vizuri.

Wakati huo huo, leo Wasyria wameshuhudia msafara mrefu wa askari wa Marekani wanaokimbia nchi hiyo. Kwa mujibu wa habari hiyo askari wa Marekani wameanza kukimbia kutoka Syria baada ya lran kuwatandika nchini lraq.
Hii ni katika hali ambayo jana Trump alisema kuwa hakuna askari wa nchi yake atakayeondoka katika eneo la Mashariki ya Kati.

Aidha wakati Trump akisema kuwa kulikuwa na uharibifu mdogo sana kwenye shambulizi la lran, video za awali zilizosambaa na kuonyesha mwenekato katika kambi ya Marekani ya Ainil Asad, zinabainisha uharibifu mkubwa usiovumilika. Kadiri siku zinavyoendelea ndivyo inadhihiri uongo mkubwa wa rais huyo wa Marekani.
 
Trump amesemaje kuhusu hili?!

Cᵃʳᵉᵉᵐ ₜₕₑ ᴸᵉᵍᵉⁿD
 
Trump amekua akilaumiwa na kukosolewa kila mtu tangu aingie madarakani. Na madai yasio na idadi na mengi yasio na kichwa wala mguu. Na Kwa uzushi na sometimes exaggerations kwa hiyo Huwezi Kutumia habari kama hizi Kua ndio ushahidi sahihi.

Na kuhusu Idara ya Marekani Kufungia, ni jambo la kawaida. Nchi inapokua Vitani. Hairuhusiwi kuruhusu taarifa ambazo zinaweza kuondoa Uzalendo au kudhohofisha Morali za askari Au kuleta ghasia wakati nchi iko katika Hali ya Vita.

Sioni sababu kwanini uendelee kuliamini Hilo Gazeti(lisilo na Jina) ni la kupuuza tu. Maana kutaja namba 200 au hata 300 inawezekana mitandaoni. Hata kama wanasema Kweli. Bado Sio chanzo cha kujiaminisha nacho

Kuhusu USA kuondoka Syria, ni mpango wa siku nyingi wa Trump, uliokua ukipigwa na nchi nyingi washirika wa marekani. Ulifanyika kabla hata hawajamuua kamanda wa Iran, Suleiman.
 
Iran General Haji-Zadeh summary press conference IRGC missile attack to US air bases in Iraq
 
Hiii inavoonekana Kama joto la mmarekani limepanda na amekuwa na hofu sana juu ya iran so kwa mujibu wa hivo vitisho vya Iran kwa US tuangazie nn kitatokea kwa saa zikazo
 
Back
Top Bottom