MK254 asante kwa uchambuzi mzuri.Kwa jinsi Marekani ilivyo respond,naweza kusema mambo matano yafuatayo:-
1.Makombora 22 hayawezi kukosa kuua askari hata mmoja wa wa Coalition forces (Marekani,Poland,Denmark etc.),askari wao wameuwawa ila Trump anaficha ukweli.
2.Iran imewadhalilisha sana Wamarekani kwa shambulio hili,na imeonyesha wazi kwamba ni nchi yenye nguvu nyingi za kijeshi na nchi za Mashariki ya Kati na West Asia zinaweza kuitegemea.
3.Iran pia imeonyesha kwamba hata pamoja na vikwazo vingi vya kinyama vya Marekani imeweza kustahimili na kwa hiyo nchi zingine zinaweza kupinga hegemony ya Marekani na zikastawi.Ni mfano mzuri wa kuigwa kwa kweli.
4.Iran imeonyesha dunia kwamba The American Empire is on the decline,na kwamba nguvu inazodai inazo haina kwa sasa,ni debe shinda.Ukweli ni kwamba America depends on mercenaries for its' many wars,huku the few soldiers it has wakitumika for logistics and air combat.The truth however is that the Airforce can never win a war,it is soldiers on boots who wins a war.
4.Marekani kwa kusema kwamba hawahitaji mafuta ya Mashariki ya Kati inaonyesha wazi kwamba sasa ina mpango wa kuondoka Mashariki ya Kati.Hata hivyo ni vema ikafanya hivyo haraka kwa kuwa isipofanya hivyo,askari wake watarudi Marekani in plastic bags.Hali ilivyo Mashariki ya Kati ni ya hatari mno kwa Marekani na other coalition forces.
5.Kwa missiles hizi za Iran ambazo zimeweza kupenya anti-missile systems na missile interceptors za Coalition forces,Iran imeonyesha kwamba ina missile technology ambayo it's no match to Israel and American technologies,kwa hiyo Israel na Marekani sio tishio tena kwake.
Nimalizie kwa kusema Bravo Iran,you are our role model.You have shown that we can stand up against US hegemony, bullying,tyranny and imperialism and win.